Status
Not open for further replies.
Tunapomalizia siku 21 za maombolezo imanibidi nimalizie kwa kuiruhusu adhabu hiyo ifanye kazi endapo kuna 'fault play' ilifanyika kupelekea kumpoteza shujaa wetu aliyeacha 'road map' ya kuifikia Kaanani yetu! Nchi ambayo ingekuwa zaidi ya nchi ya Gaddafi wakati akiwa hai! Baada ya kumaliza miradi ya kimkakati, kingefuata elimu bure mpaka chuo kikuu kokote duniani! Huna ajira unapewa mtaji! Nk!
Mungu wetu Mwema, tunaomba kwa kadri ya wingi wa rehema zako, Umpe pumziko la amani la milele, mwanao, shujaa wetu Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, rais wetu mpendwa sana wa serikali yetu pendwa sana ya awamu ya ✊, amen🙏🙏🙏!
Wakati huohuo, tunamuombea rais wetu mpendwa Mh Mama SSH rais wetu mpendwa umjalie moyo mkuu, wa ushujaa na hekima ili aliongoze vyema zaidi taifa letu la Tanzania! Mungu husika Mwenyewe ktk uongozi wa taifa letu, viongozi binadamu tulionao tunaomba uwatumie kama vifaa tu bali Wewe Mwenyewe Mungu uongoze Mwenyewe nchi yetu ya Tanzania 🙏🙏🙏, amen!
Amen🙏🙏🙏🙏!
 
Corona, Covid 19, Ukovi 19 Mkombozi wa Mtanzania. Bila hii makitu Jiwe angeendelea kuwa the most notorious happiness snatcher.
 
Tunapomalizia siku 21 za maombolezo imanibidi nimalizie kwa kuiruhusu adhabu hiyo ifanye kazi endapo kuna 'fault play' ilifanyika kupelekea kumpoteza shujaa wetu aliyeacha 'road map' ya kuifikia Kaanani yetu! Nchi ambayo ingekuwa zaidi ya nchi ya Gaddafi wakati akiwa hai! Baada ya kumaliza miradi ya kimkakati, kingefuata elimu bure mpaka chuo kikuu kokote duniani! Huna ajira unapewa mtaji! Nk!
Mungu wetu Mwema, tunaomba kwa kadri ya wingi wa rehema zako, Umpe pumziko la amani la milele, mwanao, shujaa wetu Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, rais wetu mpendwa sana wa serikali yetu pendwa sana ya awamu ya , amen!
Wakati huohuo, tunamuombea rais wetu mpendwa Mh Mama SSH rais wetu mpendwa umjalie moyo mkuu, wa ushujaa na hekima ili aliongoze vyema zaidi taifa letu la Tanzania! Mungu husika Mwenyewe ktk uongozi wa taifa letu, viongozi binadamu tulionao tunaomba uwatumie kama vifaa tu bali Wewe Mwenyewe Mungu uongoze Mwenyewe nchi yetu ya Tanzania , amen!
Kwani yeye akiulizwa anasemaje?nini ilikuwa tatizo hadi kurudisha namba
 
Shujaa yupi alietaka tuishi kama mashetani? Mchwa wanafanya yao sasahivi na mafunyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom