Status
Not open for further replies.
Wakuu tupeane njia za kupunguza stress, kuweka akili sawa katika wakati huu wa maombolezo maana ukisema uwashe TV zetu habari ni hizo tu, ukiingia mtandaoni habari ni hizo tu, ukikaa mtaani ndo usiseme, unajikuta muda wote unasikitika tu.
Kwa kweli hizi siku ni nyingi mno zitatupunguzia seli hai km hatutotafuta njia mbadala ya kurefresh mind, tusaidiane hapa wadau.
Note: Hata km ulikuwa humpendi marehemu ila ukikutana na wanaolia watakuondolea furaha tu maana nawe ni binadamu siku yako lazima uiwazie.
 
Wakuu tupeane njia za kupunguza stress, kuweka akili sawa katika wakati huu wa maombolezo maana ukisema uwashe TV zetu habari ni hizo tu, ukiingia mtandaoni habari ni hizo tu, ukikaa mtaani ndo usiseme, unajikuta muda wote unasikitika tu.
Kwa kweli hizi siku ni nyingi mno zitatupunguzia seli hai km hatutotafuta njia mbadala ya kurefresh mind, tusaidiane hapa wadau.
Sikiliza music katika simu/laptop yako
 
Wakuu tupeane njia za kupunguza stress, kuweka akili sawa katika wakati huu wa maombolezo maana ukisema uwashe TV zetu habari ni hizo tu, ukiingia mtandaoni habari ni hizo tu, ukikaa mtaani ndo usiseme, unajikuta muda wote unasikitika tu.
Kwa kweli hizi siku ni nyingi mno zitatupunguzia seli hai km hatutotafuta njia mbadala ya kurefresh mind, tusaidiane hapa wadau.
Najinywea tu tubia twa baridi
 
Hua nashinda huku japo hata siinjoi kivile
Screenshot_20210320-181225~2.png
 
إِنَّا لِلَّٰهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ‎

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
 
Rais wangu, furaha yangu, msitakabali wa maisha yangu vyote vimepotea😫😥😪😭😭😭
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom