Mliweka mayai yote kwenye kapu mojaDamn it. Nimeumia sana.
Tumepoteza mtu muhimu sana.
Now Tanzania tutapelekeshwa sana.
Mkaldayo umefurahi naonaDah kauli yake ya mwisho hadharani. Bakini na mavi yenu nyumbani.
R. I. P
Aliipenda nchi , Ila ubaguzi nao ulikubuhu., Apumike kwa amani, tunaumia.Hakika nchi imempoteza kiongozi aliyeipenda nchi kwa mapenzi ya dhati. Apumzike kwa amani Rais Magufuli
You are on the same realm!.Safi Sana Pumbavu sanaaa
Kumbe ukali wa maneno ndugu
Mwamba wa kifo ni Yesu Kristo wa NazarethNaanza kubadili taswira yangu juu ya imani kumbe ni kweli Mungu yupo huu ni muujiza risasi 16 kapona halafu daaaa mengine siwezi endelea ....
Mataga nakusihi uchutame, mambo yameharibika kuwa mtulivu.Mzee hiyo chanjo unayoshadadia ndo' unaona usalama? Mbona huko walipoanza wameisitisha?