Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,089
Wakuu,
Ukweli mchungu ambao upinzani na watanzania kwa ujumla tunapaswa kuujua ni kwamba bila mbinu tofauti, kusema Lissu atashinda ni kujipa matumaini potofu. Achia mbali Lissu kushinda, kuna hii sheria ya vyama vya upinzani, sidhani hata kama atapata nafasi ya kugombea. Mbaya zaidi there is nothing you (watanzania) can do zaidi ya kutoa frustration kwenye mtiandao ile au kauli maarufu ambayo watanzania tunasifika nayo "Tumwachie Mungu".
We're a bunch of cowards! don't get me wrong, ninapenda tupate Rais anayeheshimu katiba na sheria za nchi kama Lissu, lakini ukubali ukweli, na ukweli utakuweka huru. Upinzani bila kuja na mipango dhabiti na tofauti, Lissu hatafanikiwa. Labda safari zake zizae matunda, jumuiya za kitataifa ziingilie kati in a big way.
Haya ni maoni yangu,Nawasilisha.