digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,883
- 14,322
Anatakiwa kwanza abadilishe sera za CHADEMA ili ziingie kwenye Ilani ya Uchaguzi baada ya kuukumbatia ushoga ili wapate msaada wa pesa kutoka Ulaya na Marekani.
Mahojiano kwenye kipindi cha HARDtalk yamefunua siri ambayo tungejikuta tunauziwa sera ya ushoga bila kujua.
Mahojiano yalikuwa hivi;
STEPHEN SACKUR: Hivyo, utazifuta hizi sheria zinazosema ushoga ni uhalifu?
TUNDU LISSU: Kama zinaingilia na nafikiri zinaingilia haki ya faragha inayolindwa na Katiba, moja kwa moja hizo sheria hazikubaliki kikatiba. Kwa Katiba ya Tanzania, siongelei Katiba ya sehemu nyingine yoyote. Katiba yetu inasema haya ni mambo ya faragha na yanapaswa kubaki kuwa mambo ya faragha.
.Hapo vip!!
Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.
Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.
Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.
Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
Nguvu za giza aziwezi kuzuia mpango wa Mungu.
Hata kama tunatofautiana itikadi, Ulikuwa mmoja wa watu wenye hoja makini hapa JF. Lakini siku hizi umeshuka kiwango kwa kasi ya ajabu sanaAnatakiwa kwanza abadilishe sera za CHADEMA ili ziingie kwenye Ilani ya Uchaguzi baada ya kuukumbatia ushoga ili wapate msaada wa pesa kutoka Ulaya na Marekani.
Mahojiano kwenye kipindi cha HARDtalk yamefunua siri ambayo tungejikuta tunauziwa sera ya ushoga bila kujua.
Mahojiano yalikuwa hivi;
STEPHEN SACKUR: Hivyo, utazifuta hizi sheria zinazosema ushoga ni uhalifu?
TUNDU LISSU: Kama zinaingilia na nafikiri zinaingilia haki ya faragha inayolindwa na Katiba, moja kwa moja hizo sheria hazikubaliki kikatiba. Kwa Katiba ya Tanzania, siongelei Katiba ya sehemu nyingine yoyote. Katiba yetu inasema haya ni mambo ya faragha na yanapaswa kubaki kuwa mambo ya faragha.
Time will tell..
sawa Mtabiri..ebu tusubiri tuoneHapo vip!!
Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.
Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.
Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.
Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
Na mfalme wanae pia Afande SeleHata manzese wana Marais wao, tena wawili Madee na Ney wa Mitego.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi dhihaka mwisho wake, aibu.Na mfalme wanae pia Afande Sele
Mungu hata thubutu ila hatafanya na itakuwaTHUBUTU YENU
Kwaio huyo sasa atakua ni rais wa watanzania au rais wa taifa hilo waliomueka madarakani? Unadhani ataweka mbele maslai yako wewe, au maslai ya wale waliomueka madarakani?. Kwa hakika sidhan kama mtanzania alie na akili timamu anaeza tamani na kufurahia nchi yake ipate rais kwa kupitia utaratibu anaousema mtoa mada, kwa hakika ninakushangaa sana wewe unaesema na kufurahia eti bora iwe, labda kama wewe sio mtanzania bas kwa kiasi flani unaeza kueleweka.Na iwe hivyo maana tumelichoka hili lijamaa linalo chungulia simu za wenzie!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kati ya Raisi na raisi mkuu take noteHata manzese wana Marais wao, tena wawili Madee na Ney wa Mitego.
Sent using Jamii Forums mobile app
narudia tena THUBUTU YENU:Mungu hata thubutu ila hatafanya na itakuwa
Tena atakuwa the best president ever..Kwaio huyo sasa atakua ni rais wa watanzania au rais wa taifa hilo waliomueka madarakani? Unadhani ataweka mbele maslai yako wewe, au maslai ya wale waliomueka madarakani?. Kwa hakika sidhan kama mtanzania alie na akili timamu anaeza tamani na kufurahia nchi yake ipate rais kwa kupitia utaratibu anaousema mtoa mada, kwa hakika ninakushangaa sana wewe unaesema na kufurahia eti bora iwe, labda kama wewe sio mtanzania bas kwa kiasi flani unaeza kueleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimuambie Mungu thubutu yako.narudia tena THUBUTU YENU:
Katiba iliyoundwa na ccm inasemaje kuhusu ushoga na mashoga?Lissu huyuhuyu anayepigania haki za mashoga au mwingine?