Uchaguzi 2020 Rais wa Tanzania 2020 ni Tundu Lissu

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,061
3,682
Hapo vip!!

Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.

Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.

Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.

Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
 
Lissu huyuhuyu anayepigania haki za mashoga au mwingine?
 
Anatakiwa kwanza abadilishe sera za CHADEMA ili ziingie kwenye Ilani ya Uchaguzi baada ya kuukumbatia ushoga ili wapate msaada wa pesa kutoka Ulaya na Marekani.

Mahojiano kwenye kipindi cha HARDtalk yamefunua siri ambayo tungejikuta tunauziwa sera ya ushoga bila kujua.

Mahojiano yalikuwa hivi;
STEPHEN SACKUR: Hivyo, utazifuta hizi sheria zinazosema ushoga ni uhalifu?

TUNDU LISSU: Kama zinaingilia na nafikiri zinaingilia haki ya faragha inayolindwa na Katiba, moja kwa moja hizo sheria hazikubaliki kikatiba. Kwa Katiba ya Tanzania, siongelei Katiba ya sehemu nyingine yoyote. Katiba yetu inasema haya ni mambo ya faragha na yanapaswa kubaki kuwa mambo ya faragha.
 
Aja sapoti ila
Ametumia vifungu vya katba hyo hyo ya Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo vip!!

Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.

Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.

Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.

Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
Hivi ninyi hao wazungu ndio mnaona watetezi wenu? Endeleeni kuota mkimaliza nendeni Zanzibar mkajifunze kwa Maalim Seif wa CUF. Baada ya uchaguzi yeye alikaa mwaka mzima huko kwa wazungu na hakuambulia chochote wakati hswakuwa hata mgonjwa kama Lissu.

Safari hii hata ndoto za Ubunge afute itakuwa Urais
 
Hapo vip!!

Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.

Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.

Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.

Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
Bado unaota?
Toka usingizini kwanza..
Magufuli tunaye Hadi 2025+

Lissu Hana sifa za kuwa rais.
usidhani urais upo Kama unavyofikiri.

HAKUNA TAIFA LENYE,UWEZO WA KUINGILIA SIASA ZA TANZANIA
 
Anatakiwa kwanza abadilishe sera za CHADEMA ili ziingie kwenye Ilani ya Uchaguzi baada ya kuukumbatia ushoga ili wapate msaada wa pesa kutoka Ulaya na Marekani.

Mahojiano kwenye kipindi cha HARDtalk yamefunua siri ambayo tungejikuta tunauziwa sera ya ushoga bila kujua.

Mahojiano yalikuwa hivi;
STEPHEN SACKUR: Hivyo, utazifuta hizi sheria zinazosema ushoga ni uhalifu?

TUNDU LISSU: Kama zinaingilia na nafikiri zinaingilia haki ya faragha inayolindwa na Katiba, moja kwa moja hizo sheria hazikubaliki kikatiba. Kwa Katiba ya Tanzania, siongelei Katiba ya sehemu nyingine yoyote. Katiba yetu inasema haya ni mambo ya faragha na yanapaswa kubaki kuwa mambo ya faragha.
Kwani hapo kuna sehemu amesema kutokana na sera ya chadema? Au hadi kiswahili ni tabu kwako? Nilifikiri utasema tubadili katiba kumbe sera? Bullshit!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom