Rais wa Syria akimbomoa mwandishi wa Marekani

Assad alichokifanya ni rahisi sana!! Ni kukataa kusimama kwenye msingi wa hoja! Hiyo report!! Kama angejichanganya kukubali kuijadili hiyo report ya amnesty intl angejikuta ameshabanwa mbavu!! Foot point yake imekuwa ni "Concrete evidence"na Credibility ya western countries kuwanyooshea vidole!! Na amenyoosha hapo amemweleza mwandishi kuwa "Kwetu sheria inaruhusu kunyonga"mwandishi kashikwa na kigugumizi!!
 
Wabongo bhana mtu akiwa na "POMPOSITY" tu mnamwita Genius! No wonder kuna watu mnamwona Magufuli naye ni genius!

Hapo unaona kabisa Assad amekuwa "cornerd in gas chamber", ila anaamua tu kujificha kwenye his so called "concrete evidence". Sijui alitaka mwandishi alete hizo maiti hapo studio au vipi!
 
Kiukweli kabisa nimeipenda sana hii interview. Nimevutiwa sana na Ujasiri, Uchokozi na Umakini wa mwandishi aliyekuwa akimuhoji huyo Rais wa Syria, lakini pia nimevutia sana na huyo Rais wa Syria kwa Ujanja na werevu wake wa kuyapangua maswali au kuyakwepa. Nimependa sana.

MY TAKE.
Waandishi wa kitanzania na Viongozi wa kitanzania wana safari ndefu sana kufikia kiwango cha kufanya mahojiano yenye hadhi ya kimataifa. Bado sana.
 
Back
Top Bottom