Rais wa Sierra Leone atangaza kujitenga baada ya mlinzi wake kuthibitishwa kuwa na Coronavirus

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1587474448984.png

Mlinzi wa Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio ameambukizwa virusi vya corona.

Rais wa nchi hiyo alitangaza siku ya Jumatatu usiku kuwa ana afya njema ingawa mfanya kazi wake ana maambukizi.

Amesema pia familia yake yote iko salama na hakuna aliyeonesha dalili za kuwa na maambukizi ya virusi vya corona.

Rais Bio atakaa karantini kwa siku 14 kwasababu alikuwa karibu na mlinzi wake, kwa mujibu wa mwandishi wa BBC Umaru Fofana.

Sierra Leone mpaka sasa ina wagonjwa 43 wa virusi vya corona.

Chanzo: BBC Swahili

======
Sierra Leonean President Julius Maada Bio announced on Monday that he is going into self-isolation for 14 days as a precautionary measure after one of his bodyguards tested positive for Covid-19.

President Bio made the revelation to the nation in a televised address. He assured Sierra Leoneans that neither he nor any member of his family had developed any coronavirus symptoms.

According to the presidency, the unnamed bodyguard had been in quarantine when he eventually tested positive for the virus.

The development comes amid rising cases of the disease in the country.

Monday’s announcement came as shock to many as they were expecting that Mr Bio would be announcing another nationwide lockdown.

A press conference scheduled Sunday was repeatedly postponed at least three times before the president eventually made the televised address.

On Monday eight cases were confirmed, bringing the total tally to 43. On a positive note, six people were discharged on Sunday after they completed treatment for the virus and tested negative.

Meanwhile, across the border in neighbouring Guinea, the authorities recorded 43 new cases, bringing its total 622.

Some 35 people who recovered from the viral disease were also discharged.

They include the country’s minister of Public Works, Moustapha Naïte, and the Minister of Security and Civil protection, Albert Damantang Camara.

In Liberia, there are 99 confirmed cases.

Source: Daily Nation
 
Kwahiyo na yeye anaelekea chato ya uko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beth na Miss Zomboko ni watu wanaonifurahisha sana; mara zote wamekua reporter tu na wala hawachangii wala kujibu maswali yanayoulizwa na wachangiaji kuhusu habari walizoleta hapa jukwaani.
Hawa binadamu wanafurahisha sana.
 
Hata mimi walishanishinda Tabia,

Mkuu ndo maana nashangaa Watanzania humu wanasmea Mara hop GPM amekimbia Wakati mtu anachukua tahadhari kabla ya hatari na anatakiwa kuongoza nnchi
 
Beth na Miss Zomboko ni watu wanaonifurahisha sana; mara zote wamekua reporter tu na wala hawachangii wala kujibu maswali yanayoulizwa na wachangiaji kuhusu habari walizoleta hapa jukwaani.
Hawa binadamu wanafurahisha sana.
Inaweza kitaaluma wakawa ni wahandishi wa habari.
 
Usikute na wa kwetu kajitenga baada ya mtoto wake first born Bashite kua na corona!
 
Back
Top Bottom