Rais wa Senegal ajipunguzia muda wa kuwa madarakani

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,310
Rais wa Senegal, Macky Sally ameshangaza ulimwengu baada ya kupunguza muda wa Rais kuwa madarakani kutoka miaka 7 ya kikatiba hadi miaka mitano. Matekelezo ya uamuzi huo yanatarajiwa kuanza kufanyika mara moja bila kungoja Kura ya Maoni kuhusu jambo hilo iliyokuwa imepangwa kufanyika mwezi Aprili mwaka 2016.

Hatua hii muhimu inafuatia ahadi ya Bwana Sally kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka 2012 ambapo alifanikiwa kumuangusha Mwanasiasa Mkongwe na aliyekuwa Rais wakati huo, Aboulaye Wade.

Senegalese President Macky Sall has reduced his presidential term from seven to five years.

A statement released by the presidency announced that the reduction of the presidential term takes effect immediately.

This ultimately means that there will be no referendum on the issue as had previously been planned to happen in April 2016.

The statement said that the president’s decision was intended to end the confusion among politicians over the holding of the referendum.

President Sall said that the decision was among a 15-point constitutional development ‘action plan’ that he is advocating for.

The opposition have for months been arguing that the referendum would not be held due to cost concerns. At the same time, leaders from the opposition have accused the government of exaggerating the cost of the exercise.

Senegal inherited the seven-year presidential term limit at independence from France in 1960.

The West African country maintained the same up to 2000 when incoming president Abdoulaye Wade promised to reduce the tenure to five years but failed to do so in his 12-year rule that ended in 2012.

With President Sall’s decree that the reduction takes effect at once, it now means the next presidential election will be in 2017.
Chanzo: AfriclandPost
 
Rais wa Senegal, Macky Sally ameshangaza ulimwengu baada ya kupunguza muda wa Rais kuwa madarakani kutoka miaka 7 ya kikatiba hadi miaka mitano. Matekelezo ya uamuzi huo yanatarajiwa kuanza kufanyika mara moja bila kungoja Kura ya Maoni kuhusu jambo hilo iliyokuwa imepangwa kufanyika mwezi Aprili mwaka 2016.

Hatua hii muhimu inafuatia ahadi ya Bwana Sally kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka 2012 ambapo alifanikiwa kumuangusha Mwanasiasa Mkongwe na aliyekuwa Rais wakati huo, Aboulaye Wade.

Chanzo: AfriclandPost
huyu kaogopa kick za donald trumph
 
Ni nadra sana kwa viongozi wa namna hii kutokea barani Afrika.Watawala wengi wa Afrika ni walevi wa madaraka,wako tayari wainajisi Katiba ili wabaki madarakani.Hongera sana Macky Sall
 
haya ndio matunda ya kubadili kutoa chama tawala!!! inatakiwa ifike hatua kuwe na kiongoz ambaye anajua akivurunda atatolewa tu bongo bado sana cjui lini tutafika huko
 
haya ndio matunda ya kubadili kutoa chama tawala!!! inatakiwa ifike hatua kuwe na kiongoz ambaye anajua akivurunda atatolewa tu bongo bado sana cjui lini tutafika huko

Hapa kwetu Nchi haitolewi kwa vikaratasi.
 
Back
Top Bottom