Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,907
- 6,697
Paul_Kagame ambaye ni rais nchini Rwanda ameifunga misikiti pamoja na makanisa zaidi ya 6000 . Na nukuu
" Nimefunga miskiti na makanisa zaidi ya 6000 kwa Sasa hakuna mtu yeyote ana uwezo wakufungua kanisa au muskiti Hadi aonyeshe cheti sahihi cha theologia . Hawa watu waache kucheza na imani za watu kiasi kwamba walishafanya makanisa na miskiti yao kua biashara ya kuwafaidisha wao na familia zao kwa hiyo Kama wanahisi Rwanda haiwezi kupata baraka, waambieni kua Rwanda imebarikiwa kitambo tuu " .
Muheshimiwa yupo sahihi ?
Sent using Jamii Forums mobile app