Rais wa Nigeria Mohammad Buhari ameomba maridhiano

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,267
Baada ya idadi ya viongozi wa dini wanaounga mkono maandamano Nigeria kuongezeka, Rais wa nchi hiyo ameomba maridhiano.

========

President Muhammadu Buhari has spoken up for the first time since the Lekki toll shooting of the #EndSARS protesters by security operatives on Tuesday.

The president revealed during his presidential address on Thursday, stating that it has become necessary to address Nigerians having concluded a meeting with all the Security Chiefs.

He said the government has accepted the demands of the #EndSARS protesters, the nation and the government is respecting the rights of its citizens, while pointing out that he has scrapped Special Anti-Robbery Squad (SARS).

During his statement, no mention on the Lekki toll gate shooting was made, nor sympathizing with families and friends who lost their loved ones during the unrest across the country. He paid tribute to officers of the Nigeria Police Force who have “tragically lost their lives in the line of duty”.

There’s more: The president ordered the discontinuation of street protests while calling on the youths to constructively engage government in finding solutions. Appealing to protesters to note and take advantage of the various well-thought-out initiatives, such as:
  • Paying 3-months salaries of the staff of 100,000 micro, small- and medium- enterprises.
  • Paying for the registration of 250,000 businesses at the Corporate Affairs Commission.
  • Giving a grant of N30,000 to 100,000 artisans.
  • Guaranteeing market for the products of traders
designed to make lives better and more meaningful and “resist the temptation of being used by some subversive elements to cause chaos with the aim of truncating our nascent democracy”.

He also stated that the international community should check the facts before rushing to conclusions.

Here’s Everything President Buhari Said in His Address on #EndSARS Protests in Nigeria
 
Hakuna cha maridhiano inatakiwa ang'oke ,wanaijeria wakaze tu ,No more dictators in africa ,inatakiwa madikteta wote waondoke!! Tar 29 tunaanza na sisi kumuondoa dikteta uchwara.
Amewaomba wampe muda zaidi, ameongea na Waziri wa vijana aanze kuyafanyia kazi madai hayo.

Inahisiwa Buhari ameshakimbia nchi. Vijana wamekinukisha.
 
He is not serious what? Baada ya watu kupoteza maisha ndio anakuja kusema nini?
Hii dhambi itamhukumu mpaka kaburini
Watawala wa Africa hapana kwa kweli
Ni wabinafsi wauwaji wachoyo wazinifu you name it...
 
He is not serious what? Baada ya watu kupoteza maisha ndio anakuja kusema nini?
Hii dhambi itamhukumu mpaka kaburini
Watawala wa Africa hapana kwa kweli
Ni wabinafsi wauwaji wachoyo wazinifu you name it...
Inasemekana amesha kimbia nchi yake.
 
Hakuna cha maridhiano inatakiwa ang'oke ,wanaijeria wakaze tu ,No more dictators in africa ,inatakiwa madikteta wote waondoke!! Tar 29 tunaanza na sisi kumuondoa dikteta uchwara.
Wenzako wako barabarani wanatenda wewe upo nyuma ya keyboard unachonga tu.
 
He is not serious what? Baada ya watu kupoteza maisha ndio anakuja kusema nini?
Hii dhambi itamhukumu mpaka kaburini
Watawala wa Africa hapana kwa kweli
Ni wabinafsi wauwaji wachoyo wazinifu you name it...
Watawala huendana na watawaliwa walivyo,haiwezekani tukawa sie tu tuna watawala waliyo tofauti na sie watawaliwa..tunawatoa wapi?
 
Back
Top Bottom