Rais wa nchi maskini hapaswi kufungamana na mawazo ya “ushujaa wa kimaskini”

Whitesmith

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
386
517
Awamu ya nne kuna ubinafsishaji mkubwa ulifanyika katika ardhi hasa mashamba ya mkonge na mengineyo. Ubinafsishaji huo kwa asilimia kubwa ulinufaisha jamii ya watanzania wenye asili ya kihindi. Hawa jamaa kuna maeneo wanashinda ndo maana mashamba makubwa wakachukua wao
Sababu kuu ni Masoko na exposure ya biashara ya kimataifa
Lengo ilikuwa haya mashamba yaanze uzalishaji baada ya muda mrefu kukaa bila uzalishaji unaoeleweka, hivyo ilikuwavutia watuvkuwekeza serikali ilikubali ubinafsishaji utakaowaruhusu muwekezaji hasa wazawa kumudu gharama za kufufua mashamba nakutafuta masoko. Kwa asilimia kubwa wahindi wazawa walishinda tenda kwa asilimia kubwa. Sasa rais wa maskini na ushujaa wa kimaskini ni vyema hayo mashamba yarudi serikalini sababu kama walichukua bure. Rais wa maskini mteue maskini mmoja katika nchi ya wanyonge mpe shamba bure mwambie avune hilo shamba kwa gharama zake means alipe vibarua, asafishe mkonge, aweke katika madaraja then ahifadhi hilo tu. Nakuhakikishia hao wanaokusukuma ukimpa shamba ambalo liko tayari avune hataweza. Au livune ww alafu mwambie apeleke sokoni, hakika hataweza. Ushujaa wa maskini haupaswi kuwa sehemu ya mawazo ya Rais wa maskini.
Mwisho
Rais punguza mihemuko waulize watangulizi kwann walifika maamuzi then boresha...
 
Back
Top Bottom