Rais wa Nchi hutakiwi kuwa na makundi

Huyu Mama ni hopeless and inept.Ni kama mtoto mdogo alievaa pampasi ambae hajui la kufanya.

Imagine jitu ni Rais halafu linasema kuwa 2025 litagombea urais ili liwabebe wanawake bila ya kujua kuwa Rais ni kiongozi wa watu wote na mtu hawi Rais kutokana na jinsia yake au kabila lake au dini yake au rangi yake🤡🤡🤡
Imagine now kila kitu kinapanda tu Bei

Halafu Rais anatangaza Nia ya kugombea 2025.
 
Halafu nchi si huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria?Ni katiba ipi hiyo inasema kuwa mwanamke sehemu yake ni jikoni?Kama kuna watu wanadai kuwa mwanamke sehemu yake ni jikoni kinyume na katiba yetu huna haja ya kuwajibu kwa sababu utajibu mangapi ambayo watu hawayajui juu ya katiba yetu?
Katiba pia Ina fahamu kuwa Tanzania ni nchi ya vyama vingi lakini chama kinachoruhusiwa kufanya mikutano na wananchi pia wafusi wake ni kimoja tu. Kuielewa katiba na kuitekeleza kunahitaji elimu ya ziada Tanzania.
 
Anatengeneza matabaka ya kijinsia.
Huyu mama yenu me kiukweli simuelewi hata, wa kupigwa chini mapema.
 
Kwani nini kinaendelea maana me nipo huku mwisho wa Tanzania ambako ukinunua juisi unaambiwa chupa urudishe yaani hatujui hata hii nchi inakwenda wapi
 
Hakika jamaa alikuwa na nepotism kiwango Cha juu sana, imagine Baraza lote la mawaziri, makatibu wakuu, makamu wa Rais, wakurugenzi wa mashirikka na halmashauri zote, wakuu wa mikoa na wilaya, wajumbe wa bodi mbalimbali, nk wote Kama hawakutoka Kanda ya ziwa Basi walikuwa wasukuma kutoka Chato ,,,, miradi yote ya maendeleo ilifanyikia Chato mpaka makao makuu ya nchi na ikulu ilihamia Chato.
 
Ahasnte mkuu kwa kunijuza hilo itabidi niwaeleze Hawa wananjilinji wenzangu ili wajue tunaenda wapi
 
Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru.

Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi kuongoza taifa.

Nyerere hakuwa na makundi ndio maana mpaka anaondoka ikulu hakuwai kuiba hata sent ya Nchi hii.

Ukiona Rais yeyote anakuwa na makundi ya kiutawala mwogope Kama ukoma.

Magufuli hakuwa na makundi ya Matajiri hii ilimsaidia kiasi kutoa maagizo na yakafanyiwa kazi haraka.
Ingawa alikuwa na makundi ya wasiojulikana ila haiondoi ukweli kwamba alikuwa mzalendo kiasi.

Ukiona Rais ukiingia unaingia madarakani halafu unatoa maagizo hayafanyiwi kazi jua kuwa una makundi ambayo yameweka mfukoni serikali yako.

Natoa tu angalizo kueleekea 2025 tunahitaji Rais ambaye Hana makundi ya mfumo ya kifisadi na wasio hongeka Kama walivyo.

1 Tundu Lissu
2: Anthony Mtaka
3: John Myika

Kazi kwenu watu mnaofanya vetting na kutaka kuindoa Nchi kwenye mkwamo wa wezi na mafisadi ya taifa hili.
Ndugu hakuna rais asiye na makundi , kuanzia ktk ngazi za uteuzi ktk chama chake kunakuwa na kambi ...nikupe mfano. Hayati magufuli aliwah kulalamikia kuhujumiwa na baadhi ya wanachama wenzake ktk zile kampeni za 2015 ..
Sasa usishangaae sanaa kuwa na makundi ni kawaida ktk maisha yetu
 
Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru.

Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi kuongoza taifa.

Nyerere hakuwa na makundi ndio maana mpaka anaondoka ikulu hakuwai kuiba hata sent ya Nchi hii.

Ukiona Rais yeyote anakuwa na makundi ya kiutawala mwogope Kama ukoma.

Magufuli hakuwa na makundi ya Matajiri hii ilimsaidia kiasi kutoa maagizo na yakafanyiwa kazi haraka.
Ingawa alikuwa na makundi ya wasiojulikana ila haiondoi ukweli kwamba alikuwa mzalendo kiasi.

Ukiona Rais ukiingia unaingia madarakani halafu unatoa maagizo hayafanyiwi kazi jua kuwa una makundi ambayo yameweka mfukoni serikali yako.

Natoa tu angalizo kueleekea 2025 tunahitaji Rais ambaye Hana makundi ya mfumo ya kifisadi na wasio hongeka Kama walivyo.

1 Tundu Lissu
2: Anthony Mtaka
3: John Myika

Kazi kwenu watu mnaofanya vetting na kutaka kuindoa Nchi kwenye mkwamo wa wezi na mafisadi ya taifa hili.
Mtandao ni kundi baya sanaaaaaaa
 
Ninadhani nia yake ilikua kutuma ujumbe kwa wale wanaoamini kuwa sehemu ya mwanamke ni jikoni. Ujumbe ni kuwa yeye ni Rais na ataendelea kuwa Rais.
Wapi ilisemwa kuwa yeye ni mtu wa jikoni labda tukumbushe ?!
 
Kama ishu ilikuwa ni kutuma ujumbe alipaswa atume ujumbe kuwa yeye ni Rais wa watu wote na kazi hiyo anaiweza vyema bila ya kutaja kuwa ataibeba jinsia fulani.

Tatizo limeanza pale alipoingiza masuala ya jinsia katika Urais wake.

Sisi kamwe hatutamhukumu kutokana na jinsia yake bali tutamhukumu kutokana na uwezo wake.

Sisi tunaangalia uwezo na wala siyo jinsia na ndiyo maana hata alipoteua mwanamke kuwa waziri wa ulinzi hakuna mtu hata mmoja hapa ambae alilalamika au kuchukia au kuguna kuwa kwa nini waziri wa ulinzi achaguliwe mwanamke.

Hata mkuu wa jeshi akichaguliwa mwanamke ni very fine as long as ana uwezo.

Sisi tunapinga mtu kujificha kwenye chaka la jinsia kwa namna yoyote ile.
Haya maneno aliyasema Nyerere mapema sana. Kuwa watu dhaifu wakipewa uongozi tazama kauli zao utaona zina elements za ubaguzi fulani ili tu wajinasibishe kuwa wao ni bora katika jamii.
 
MUNGU akipenda samia ni raisi hadi 2025 halafu akipitishwa kazi inaendelea ili walalamikaji na wazalendo uchwara waendelee na kazi za malalamiko na matusi.
 
Kwa kusummarize hii inatosha kusema yafuatayo: Inaonekana ama haielewi ama haikubali katiba aliyohapa kuilinda, ana uwezo mdogo sana wa kuongea kimantiki, hajiamini na haelewi vizuri ni nini nafasi ya raisi ktk taifa changa kama Tz.
 
Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru.

Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi kuongoza taifa.

Nyerere hakuwa na makundi ndio maana mpaka anaondoka ikulu hakuwai kuiba hata sent ya Nchi hii.

Ukiona Rais yeyote anakuwa na makundi ya kiutawala mwogope Kama ukoma.

Magufuli hakuwa na makundi ya Matajiri hii ilimsaidia kiasi kutoa maagizo na yakafanyiwa kazi haraka.
Ingawa alikuwa na makundi ya wasiojulikana ila haiondoi ukweli kwamba alikuwa mzalendo kiasi.

Ukiona Rais ukiingia unaingia madarakani halafu unatoa maagizo hayafanyiwi kazi jua kuwa una makundi ambayo yameweka mfukoni serikali yako.

Natoa tu angalizo kueleekea 2025 tunahitaji Rais ambaye Hana makundi ya mfumo ya kifisadi na wasio hongeka Kama walivyo.

1 Tundu Lissu
2: Anthony Mtaka
3: John Myika

Kazi kwenu watu mnaofanya vetting na kutaka kuindoa Nchi kwenye mkwamo wa wezi na mafisadi ya taifa hili.
Umemsahau Maria Sarungi
 
Mh. Samia anajikaanga kiasi fulani namna anavyo zungumzia kuchaguliwa viongozi kwa jinsia yao.

Atajipunguzia kura toka kwa wahafidhina wanaoshikilia mawazo mgando ya mfumo dume. Aongee kiujanja janja au mengine asiongee bali ayafanye kimya kimya kwa kushitukiza tu.
Hapo TUMEPIGWAAAAAAAA.
 
Hakika jamaa alikuwa na nepotism kiwango Cha juu sana, imagine Baraza lote la mawaziri, makatibu wakuu, makamu wa Rais, wakurugenzi wa mashirikka na halmashauri zote, wakuu wa mikoa na wilaya, wajumbe wa bodi mbalimbali, nk wote Kama hawakutoka Kanda ya ziwa Basi walikuwa wasukuma kutoka Chato ,,,, miradi yote ya maendeleo ilifanyikia Chato mpaka makao makuu ya nchi na ikulu ilihamia Chato.
chuki itakuua kijana....

Wivu wa nini, Tanzania ni yetu sote hata chato ni Tanzania Kama ilivyo Arusha, mwanza au dar.

Unaweza kuja kununua kiwanja chato ukajenga na maisha yakaendelea Kama ilivyo sehemu nyingine nchini
 
Back
Top Bottom