Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Uwenda watu wengi hawajuwi na huwenda wengi tunafikiri baada ya Rais wa Taifa kufa basi wakisha fukia na kupiga mizinga basi kazi imeisha. Na sasa kila mtu anaona kuna fursa basi aanze kupiga tarumbeta zake..

Jibu ni hapana.

Rais yeyote wa taifa anapo fariki Taifa huwekwa ktk hali ya hatari kwa siri kwa kipindi kisicho julikana. Wakati huo team ya watu maalumu inayo undwa na maofisa wa idara nyeti za usalama huingia kazini na kuanza kutafuta tarifa nyeti na nzito ambazo hata yule alie kaimu huwenda hajuwi... Team hii ya makachero maalumu huwa na makachero maalumu kutoka idara nyeti za mataifa rafiki kufuatilia sababu za kifo za Rais alie kuwa madarakani. Nahii huwa hasa pale kuna siri uwenda hujuma au taifa fulani limetajwa ktm lile tukio. Ikumbukwe japo kifo kipo kwa kila mwanadam ila kifo kwa kiongozi mkubwa wa Taifa kama Rais huwa nijambo zito sana kwa idara za usalama.

Kipindi chote cha upelelezi team hii ugawanyika ktk makundi yasiojulikana kuhakikisha yeyote alie ktk kikundi kile hatowi wala kuvujisha taarifa za siri kwa mtu au kikundi chochote. Nikipindi cha hatari na dhahima kwa yeyote anaye waingilia makachero hawa.

Nikipindi ambacho kama upo smart utasikia taarifa za vifo vya top government officer silence pasipo sababu zinajulikana ila moja wapo ni natural death. Alilala hakuamka, alikuwa kikao akasema hajisikii vizuri au covid19.

Niwakati wale walikuwa wandani wa Rais alie kufa hupita nyakati ngumu na mara nyingi kifo na uzima ubaki mikononi ya team inafuwatilia kifo cha rais. Sio wakati hata kama umepata nafasi ya juu sana unapaswa kuonyesha una hatamia au unaona kwako ni fursa maana unaweza kuwa mchawi pasipokujuwa mchawi na mwisho ukaingia ktk report ya siri ya usalama wa Taifa.

Labda niseme hapa kidogo ktk Taifa lolote lenye mifumo imara ya ulinzi hasa idara hii ya usalama wa Taifa nivigumu sana Rais wa nchi kuwa huru kama vile unasikia. Idara hii nyeti ya Taifa lolote huwa ni idara inayo angalia zaidi masilahi mapana ya Taifa na mara nyingi kama Rais wa taifa akienda kinyume na taratibu hii idara ubadilika kuwa adui wa siri wa kiongozi.

Labda nitoe mfano kule Israel mtendaji mkuu wa shughuli za taifa ni waziri mkuu. Waziri mkuu wa Taifa la Israel ni mtu mwenye nguvu sana na mpaka majeshi anaweza yapeleka vitani na kwa wenzetu wame advance huwezi fikia nafasi ya uwaziri mkuu kama hujafanya jambo zito lakijasiri kuitegea nchi yako. Una ambiwa kwa mfano waziri mkuu mstaafu Bwana Benjamin Netanyau ni moja ya mawaziri alie fikia level ya ukomandoo na sio tu komandoo tu jamaa na IQ 153 kama sijakosea yani ni moja ya mawaziri ana akili sana na sio hivyo tu ila kaka yake ni among most intelligent and among the special unity ktk kukomboa mateka kule uganda ila alikufa kwa bahati mbaya na mpaka leo taifa lina omboleza juu ya kifo chake.

Niende kwenye kile nataka kuwaambia kule israel alitokea waziri mkuu mmoja anaitwa Isack Rabin waziri mkuu huyu alifanya tukio ambalo kwa taifa la Israel nikuuwawa alifikiri kwa ushawishi aliokuwa nao na nguvu atawaunganisha Israel na Palestinian na kurudisha ardhi ya Palestinian. Jambo hili alofanikiwa ila aliporudi nyumbani Isack Rabin alipigwa Risasi na kufa hapo hapo na kijana alie kuwa ktk team ya wafuwasi wake.

Jambo la ajabu sana ktk tukio hili nikuwa kulikuwa na taarifa za siri sana kwamba kijana alie muuwa waziri mkuu alikuwa ni kijana alie pikwa kwa siri na team ya mossad ili kumu eliminate waziri huyu kwasababu alikuwa aki hatarisha masilahi mapana ya usalama wa Taifa hilo.

Mossad ni moja ya idara za usalama wa taifa la israel inayo ogopwa na mataifa hata makubwa na kama ulikuwa ujuwi idara hii inaheshimika mpaka na idara nyeti kama CIA, M16 ya UK pamoja na KGB nk. Idara hii haijawahi shindwa na data zake mara zote 100% Mpaka leo kijana huyo yupo mahabusu na haijajulikana nani alie mtuma.

Rais wa Taifa kufa madarakani ni jambo lahatari sana maana huwa ni kama kibali cha kuuwa kwa jina la jamuhuri. Watu hufa watu hupotea kwa jina la jamuhuri niwakati hata wale wapo madarakani yawapasa kuwa makini na midomo yao ama mawazo yao. Niwakati ambao kama umepewa kurithi kiti basi kuongoza mka pale muda unaisha wa alie fariki na kukaa pembeni wenye nchi wamchaguwe wanaye mtaka ama usubiri kuona giza mbele kama giza liliwakumba watu wa Zambia.

Sio muda eti kutangaza nia hapana epuka huwo mtego maana utaonekana mchawi. Nakufanya walio ktk upelelezi wa kifo cha Rais alie kufa kukuweka ktk list ya mambo yakuhisi.

Vyama vya upinzani nilazima kuwa makini hasa hiko kipindi maana unaweza jikuta mna hangaika na mtu msie muona why ni aina hii ya kazi ile team wanafanya.

Naandika haya kama elimu kwa watanzania na makada kujuwa hiki kipindi nikibaya sana kuunda makundi au kuanzisha vuguvugu la nani awe Rais nikitisho kwa usalama wa Taifa na Taifa.
NB

Ndugu msomaji huu uzi una nia moja kuwaelimisha watanzania kuepuka piga siasa wakati Rais ana fariki akiwa madarakani uzi huu hausiani au kumuhusu mtu au kikundi cha watu ktk siasa. Hii ni elimu ya siri ya bure.
End
Nchi iliviziwa na wahuni waliokuwa wanaigiza unyenyekevu kwa bulldozer na yeye bila kujua akatoa mwanya kupitia kwenye upenyo ambao hakuuhisi chochote 'until it was too late to fend off the black mission'
JPM shall prevail to be a true executive president acting on the land's dwellers will
1695826657462.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom