Rais wa Misri aitaarifu dunia kwamba, wakati wowote kuanzia sasa ataishambulia Ethiopia

Hili swali lako ni swali la ajabu sana, hivi unajua maana ya neno "Nation?". How many Nations in Africa?, how can in one country to have many " Nations ".

Kuna taifa moja tu, ambalo ni taifa la Ethiopia, hakuna taifa la Oromo wala Tigray, hayo ni makabila yanayounda taifa la Ethiopia.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
I told you "nationalistic sentiments" naomba uelewa kama hujui kiingereza just abandon it.
 
Ethiopia haijajimilikisha mto. Egypt na Sudan ndizo zimejimilikisha 100% ya mto Nile walipotia saini agreement na Mkoloni Britain kwamba Egypt itamiliki 80% na Sudan 20% ya mto Nile. Na kwamba Ethiopia ambayo ndio source ya Blue Nile haitamiliki asilimia yoyote ya mto Nile. Vile vile Uganda ambayo ndio source ya White Nile pia imetengwa na haimiliki asilimia yoyote ya maji ya mto Nile. Hio agreement ya kikoloni imepatia maji yote ya mto Nile kwa nchi mbili tu Egypt na Sudan. Halafu Egypt inalazimisha nchi za downstream kukubali agreement hii ya kikoloni. Anyway, haya mambo ya Gerd ni complex mno. Mimi sioni vita ikitokea zaidi ya vita ya maneno tu.
Wewe hujui geography nani kakwambia White Nile source ni Uganda pekee? Hivi unajua Kagera river na Mau river aside many other rivers in Victoria basin r main sources of water for Lake Victoria? Who has the lion share of Lake Victoria for the three riparian states? Kama hujui mambo nyamaza mzee!

Lake_Victoria1_vivek.jpg

And Blue Nile the Sudd swamp is also in Sudan and South Sudan too and drains water into Nile river aside Lake Tana!
slide_1.jpg

Mbona unatoa permission for Ethiopia's hegemony just like Egypt and Sudan?

Three countries Kenya (6%), Tanzania (51 %) and Uganda (43%) share the lake shoreline, and six countries share the basin: Burundi, DRC, Kenya, Rwanda, Tanzania and Uganda. The area around Lake Victoria has the fastest-growing population in East Africa, estimated to be more than 40 million in 2015.
 
Mbona unatoa permission foe Ethiopia hegemony just like Egypt and Sudan?
Sasa wewe unaweza kunifunza jiografia? Hata mimi nilienda shule. Ni wapi nimesema kwamba Uganda ndio source ya white nile pekee? Neno pekee nimelitumia wapi? Nionyeshe
 
Sasa wewe unaweza kunifunza jiografia? Hata mimi nilienda shule. Ni wapi nimesema kwamba Uganda ndio source ya white nile pekee? Neno pekee nimelitumia wapi? Nionyeshe
Nini maana ya Uganda ndio source ya White Nile? If Tanzania has 51% of Lake Victoria how dare do u say so?
 
Misri waache Ubabe bwawa limejengwa Ethiopia wao kinawauma nini
 
Mm
Wewe hujui geography nani kakwambia White Nile source ni Uganda pekee? Hivi unajua Kagera river na Mau river aside many other rivers in Victoria basin r main sources of water for Lake Victoria? Who has the lion share of Lake Victoria for the three riparian states? Kama hujui mambo nyamaza mzee!

Lake_Victoria1_vivek.jpg

And Blue Nile the Sudd swamp is also in Sudan and South Sudan too and drains water into Nile river aside Lake Tana!
slide_1.jpg

Mbona unatoa permission for Ethiopia's hegemony just like Egypt and Sudan?

Three countries Kenya (6%), Tanzania (51 %) and Uganda (43%) share the lake shoreline, and six countries share the basin: Burundi, DRC, Kenya, Rwanda, Tanzania and Uganda. The area around Lake Victoria has the fastest-growing population in East Africa, estimated to be more than 40 million in 2015.
Nilichosema kinabakia pale pale na sibadilishi chochote maana sijakosea mahali popote. Hasira zako pelekea mke wako. Hapa sio mahali pa watu wasioweza kucontrol emotions zao.
 
Nini maana ya Uganda ndio source ya White Nile? If Tanzania has 51% of Lake Victoria how dare do u say so?
Sawa Uganda sio source ya white Nile. Natumai umefurahi. Sikutumia neno pekee.
Jifunze logic. Logic linafunzwa shuleni na unaweza kujifunza pia mitandaoni. Sikutumia neno pekee.
 
Mm

Nilichosema kinabakia pale pale na sibadilishi chochote maana sijakosea mahali popote. Hasira zako pelekew mke wako. Hapa sio mahali pa watu wasioweza kucontrol emotions zao.
Najua post za huyu jamaa zimekutia hasira!
 
Kwahiyo Tigray wanapigania Uhuru wao pale tu walipotoka madarakani? Kipindi cha Meles Zenawi hawakuona tatizo? Wacha upuuzi hamna nchi ina ukabila na matabaka kama Ethiopia! BTW hawajioni kama wao ni Waafrika!
Hamna mtu anayelazimishwa kujiona kuwa ni Muafrika, Afrika ni utambulisho ulioletwa na wazungu.

Hayo matabaka unayosema yataisha kama kila watu wakipata uhuru wao.

Huwezi kulazimisha Tigray au Oromia wawe sehemu ya Ethiopia wakati hawataki upuuzi huo.
 
Sawa Uganda sio source ya white Nile. Natumai umefurahi. Sikutumia neno pekee.
Jifunze logic. Logic linafunzwa shuleni na unaweza kujifunza pia mitandaoni. Sikutumia neno pekee.
Unanifunza logic mzee wa OR, AND, XOR n NAND operations? Easter njema usiaharibu stimu yangu!
 
Utaifa uanza na lugha hata mataifa ya nchi za Magharibi yenye lugha nyingi ni matatizo angalia Belgium, angalia Switzerland na angalia Spain! Lazma lugha rasmi iwe moja as unifying factor!
Kitendo cha kuwa na lugha tofauti inaonesha kuwa hao watu siyo jamii moja.
 
mpk muda huu bado tu hajarusha kombora lake!!!!....isije ikawa mikara kama ya kina ayatollah
 
aisee hivi unajua hata nchi za ulaya zina makabila ila waliyavunja kujenga utaifa?
Kwa hiyo ndiyo uanze kuvamia watu na uwalazimishe wawe nchi moja? Huwezi kuwaita watu wana ukabila kisa wanapigania Uhuru wao.

Kuna jamii nyingi za Ulaya kama Sami na Catalunya wanataka uhuru wao ila ndiyo wanakandamizwa.

Ukiangalia documents za mkoloni hayo mnayoita makabila yalikuwa ni mataifa huru.

Siyo kila mtu anapenda kupoteza identity yake.
 
Elewa nilichoandika, Ethiopia ni muungano uliolazimishwa wa mataifa zaidi ya 80. Tigray ni taifa na wala siyo kabila, Oromia ni taifa n.k.

Hayo mataifa yanadai uhuru wao na hamna ubaya kwa hilo. Amhara na Oromo ni watu tofauti, Aari na Tigray ni watu tofauti. Huwezi kulazimisha watu tofauti kuishi pamoja.

Kila mtu apate uhuru wake na ajiongoze mwenyewe kama ilivyokuwa kabla ya uvamizi wa Menelik II
Mzee kwani wanywamwezi na wachaga ni watu wamoja, mbona tunaishi pamoja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom