Rais wa Misri aitaarifu dunia kwamba, wakati wowote kuanzia sasa ataishambulia Ethiopia

Aisee huku Ethiopia ina matatizo ya kuwatuliza wananchi wake wa Tigray! najua IGAD ikiwemo Kenya wataitetea Ethiopia! Sudan wameigeuka Ethiopia toka Bashir kupinduliwa!

Vita baina ya Egypt na Ethiopia ikianza naiona Africa's newest Republic by the name Tigray Republic ikizaliwa! Jamhuriya Tigray kama Eritrea!

Tony254 Kenya ipo tayari kupeleka the mighty KDF?
 
Aisee huku Ethiopia ina matatizo ya kuwatuliza wananchi wake wa Tigray! najua IGAD ikiwemo Kenya wataitetea Ethiopia! Sudan wameigeuka Ethiopia toka Bashir kupinduliwa!

Tony254 Kenya ipo tayari kupeleka the mighty KDF?
Ethiopia ni vichwa maji kama Kenya, wacha washambuliwe, "I saw this coming "

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mshirika wake Kenya ataenda kuwasaidia! Mi sijaependa ile bully attitude ya Ethiopia ikijaribu kujimilikisha maji yote yao wakati kuna nchi 16 pia zinategemea maji ya mto Nile!
Nchi yenyewe ndani imegawanyika kwa ukabila kama ilivyo Kenya, kuna vita ndani ya Ethiopia vinaendelea karibu kila pembe ya nchi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mshirika wake Kenya ataenda kuwasaidia! Mi sijaependa ile bully attitude ya Ethiopia ikijaribu kujimilikisha maji yote yao wakati kuna nchi 16 pia zinategemea maji ya mto Nile!
Ww kumbe hujui naona..kwa tarfa yako egypt ndo wanajifanya kujimilikisha maji ya mto nile..wao hawatak uguswee hata kama utapita kwenye mipaka yako..kama hujui egypt hao hao kuna wakat walileta choko choko kuhusu matumiz ya Tz kwenye ziwe victoria kisa ndo chanzo cha mto nile...uzur sisi hatunaga shida na wapuuzi wanaochinjana wao kwa wao.. ngoja tuone huo mtanange mana ethiopia wako vzur tuu..ukizingatia hawakuwah kutawaliwa japo italy for sometime were settled there but not real dominating their teritories.
 
Waende kwa wenzao wenye kuendekeza ukabila na kiburi kama wao, sisi ni watu wastaarabu wenye kutatua matatizo yetu kwa kutumia mazungumzo kama tunavyofanya na Malawi, hatujitoi ICJ wala kulalamikia ICC.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ethiopia hamna ukabila ila ni mataifa yanadai uhuru wao. Hamna identity ya Ethiopia maana hao ni watu tofauti.

Mfalme wa Amhara, Menelik II alikuwa anavamia jamii nyingine na kuwalazimisha kuwa chini yake. Tigray, Oromo na wengineo hawataki kupoteza lugha zao na identities zao kwa hiyo wanapigania uhuru wao.

Tigray wana historia kubwa ambayo Amhara wanajaribu kuwaibia.

Hamna sababu ya watu tofauti kuishi pamoja. Kila jamii ikae peke yake na wajiongoze wenyewe.
 
Mshirika wake Kenya ataenda kuwasaidia! Mi sijaependa ile bully attitude ya Ethiopia ikijaribu kujimilikisha maji yote yao wakati kuna nchi 16 pia zinategemea maji ya mto Nile!
Ethiopia haijajimilikisha mto. Egypt na Sudan ndizo zimejimilikisha 100% ya mto Nile walipotia saini agreement na Mkoloni Britain kwamba Egypt itamiliki 80% na Sudan 20% ya mto Nile. Na kwamba Ethiopia ambayo ndio source ya Blue Nile haitamiliki asilimia yoyote ya mto Nile. Vile vile Uganda ambayo ndio source ya White Nile pia imetengwa na haimiliki asilimia yoyote ya maji ya mto Nile. Hio agreement ya kikoloni imepatia maji yote ya mto Nile kwa nchi mbili tu Egypt na Sudan. Halafu Egypt inalazimisha nchi za downstream kukubali agreement hii ya kikoloni. Anyway, haya mambo ya Gerd ni complex mno. Mimi sioni vita ikitokea zaidi ya vita ya maneno tu.
 
Ethiopia hamna ukabila ila ni mataifa yanadai uhuru wao. Hamna identity ya Ethiopia maana hao ni watu tofauti.

Mfalme wa Amhara, Menelik II alikuwa anavamia jamii nyingine na kuwalazimisha kuwa chini yake. Tigray, Oromo na wengineo hawataki kupoteza lugha zao na identities zao kwa hiyo wanapigania uhuru wao.

Tigray wana historia kubwa ambayo Amhara wanajaribu kuwaibia.

Hamna sababu ya watu tofauti kuishi pamoja. Kila jamii ikae peke yake na wajiongoze wenyewe.
Ethiopia hakuna ukabila?.... Wewe upo sayari tofauti na binadamu wengine, Ethiopia kuna ukabila zaidi ya Kenya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom