Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,635
- 218,067
Tuliambiwa Tanzania itakuwa Donor country imekuwaje tena mnakinga bakuli kila kukicha ?Mahiga anafanya kazi kubwa sana...!
Tuliambiwa Tanzania itakuwa Donor country imekuwaje tena mnakinga bakuli kila kukicha ?Mahiga anafanya kazi kubwa sana...!
Tuitumie fursa hii kumtaka Rais wa Misr atupatie wataalamu wa kilimo cha umwagiliaji kutoka Misr.
Misr wana mto mmoja tu wa maana, Nile, na wana uhaba wa mvua na maji kulinganisha na hapa kwetu lakini wanalima kwa kumwagilia kutumia mto huo chakula cha kuwatosha wao wenyewe na kuuza nje.
Amazing.
Duh.Mwenzio ndio kaendelea hivyo..!!
Mahiga Kifaa sana, nchi za Afrika Mashariki sasa hivi wajiharishia tu jamaa anavyowatesa kidiplomasia.Diplomasia ya nchi sasa iko kiuchumia sana, ila kwa wapinga kila kitu tunawapa muda wa miaka michache watashanga nchi hii itakapofika kimataifa. Hatuwaiti wanakuja weneywe kwa mapenzi ya kwa TanzaniaMahiga anafanya kazi kubwa sana...!
Ni ushauri mzuri. Bora mtu akupe ndoano kuliko samaki!Tuitumie fursa hii kumtaka Rais wa Misr atupatie wataalamu wa kilimo cha umwagiliaji kutoka Misr.
Misr wana mto mmoja tu wa maana, Nile, na wana uhaba wa mvua na maji kulinganisha na hapa kwetu lakini wanalima kwa kumwagilia kutumia mto huo chakula cha kuwatosha wao wenyewe na kuuza nje.
Amazing.
Mkuu huyu hajaalikwa ? Hebu pitia source zako vizuri halafu urudi urekebishe comment yako.Mahiga Kifaa sana, nchi za Afrika Mashariki sasa hivi wajiharishia tu jamaa anavyowatesa kidiplomasia.Diplomasia ya nchi sasa iko kiuchumia sana, ila kwa wapinga kila kitu tunawapa muda wa miaka michache watashanga nchi hii itakapofika kimataifa. Hatuwaiti wanakuja weneywe kwa mapenzi ya kwa Tanzania
Leo sijui mtaomba hela ya nini..
Reli SGR iliyobuma..!!
Jamaa enu hajui hata wa kuwaomba..
Hata akija Rais wa Chad anaomba tu!!
Mahiga Kifaa sana, nchi za Afrika Mashariki sasa hivi wajiharishia tu jamaa anavyowatesa kidiplomasia.Diplomasia ya nchi sasa iko kiuchumia sana, ila kwa wapinga kila kitu tunawapa muda wa miaka michache watashanga nchi hii itakapofika kimataifa. Hatuwaiti wanakuja weneywe kwa mapenzi ya kwa Tanzania
Ndugu ukifuata kelele za wabongo hutafika popote. Magufuli anawapatia sana wabongo kama hao.Hivi SGR imebumaje? maana naona posts za kazi zishatoka watu wanapeleka CV zao... Madereva wasaanza interviews... Ina maana hayo yote ni geresha?
Unapotoa maoni uangalie na kesho mara mkanda Leo udini stupidity perception in your mindset!!
ndie huyo huyo,Hivi al-Sisi ndiye yule alipindua raisi aliyechaguliwa kihalali na kila uchwao anawahukumu kifo wapinzani wake pamoja na kuwafunga?
Watanzania hawapendi kujikweza ingekuwa ni Kenya tungekoma na madoido yao.Mahiga Kifaa sana, nchi za Afrika Mashariki sasa hivi wajiharishia tu jamaa anavyowatesa kidiplomasia.Diplomasia ya nchi sasa iko kiuchumia sana, ila kwa wapinga kila kitu tunawapa muda wa miaka michache watashanga nchi hii itakapofika kimataifa. Hatuwaiti wanakuja weneywe kwa mapenzi ya kwa Tanzania