Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi, aleta neema Tanzania Kiuchumi, Elimu, Afya na Utalii, Kiwanda cha nyama Kujengwa

sioni jipya tunadanganyana tu labda kaja na mbinu za kidicteta utegemee mapya toka misri zaid ya uzwazwa maskin wenzetu hawa!Bakuli la awam hii tutaomba hadi SUDAN KUSIN utaambiwa wanaleta neema!alietuloga kafa
 
bado durtete wa Phillipines au yule miwizi wa kura venezuela,awamu hii wageni wa ajabu ajabu kweli aisee.
 
Hivi al-Sisi ndiye yule alipindua raisi aliyechaguliwa kihalali na kila uchwao anawahukumu kifo wapinzani wake pamoja na kuwafunga?
Cha kushangaza ni kwamba taifa la Misri tangu enzi za Musa juzi tu ndio walipata demokrasia kuchagua kiongozi wao mara ya kwanza.
 
Wabongo bwana. Masters of negativity. Hatuoni jema sisi watanzania. Ni kama vile wabongo wanaogopa maendeleo. Any way waoga wakae pembeni wasiogopa wasonge mbele.
 
Back
Top Bottom