Rais wa mioyo ya watu yuko wapi?

Elimu ya hapa na pale

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
846
825
Wapendwa naomba niulize na mnisaidie
Toka tuingie kwenye hilisakata la madawa ya kulevyaa, sijamsikia rais wa mioyo ya watu akitamka kitu.
Sijui yuko wapi?
Naomba msaadaaa
 
Wadhamini wamepigwa nyundo..kapata ganzi..hajui rostam aziz, Fred lowasa na bashe nao watatajwa lini.. Huyu Mzee kitakachomuua ni presha.
 
Wanasiasa hewa hufanya siasa hewa wanasiasa makini hufanya siasa safi ukikimbizana na kichaa na wewe unaweza kuonekana kichaa
 
Yule mzee ana busara sana sio kama huyu aliyesema rais wa Libya anaitwa sadam hussein
kua bubu ndio busara? unyumbu unawatesa.
unaona kukosea jina la rais wa libya ni ajabu ila kutumbua majibu na kukamata wauza unga unaona ni makosa. trump mwenyewe alikosea jina la tanzania ila la maana anatimiza ahadi zake kwa wamarekani kama jpm anavyotimiza ahadi zake kwa watanzania.
 
Wewe yule kilaz na kiwanda cha dangote kipo tabora? Tatizo umerogwa ata kufikiri hauwezi unafananisha Trump na vitu vya hovyo. Basi sadam hussein wa Kuwait
 
Back
Top Bottom