Rais wa Marekani mwaka 2082

SumadaVinci

Senior Member
Dec 27, 2018
161
328
Huko mwaka 2018 kulivuma habari, Marekani baada ya mtu mmoja asiyejulikana jina ....kutuma ujumbe wa sauti katika vyanzo mbalimbali ikiwemo vya habari

Mtu huyo alieleza kuwa 12-9-2018 atazaliwa mtoto wa kiume atakaeitwa JAYNOUE OLIVER BECK. ambaye atachaguliwa kuwa raisi wa marekani 3-11-2082

Lakini mtu huyo atauawa baada ya miaka miwili akiwa na cheo chake hicho hicho cha Urais na atakuwa miongoni mwa watu watakaopendwa zaidi katika historia ya dunia.

Mtu huyo ambaye wengi walimwita time traveller alieleza JAYNOU OLIVER BECK atakuja na kanuni zake za kifilosophi ambazo zitathibitisha uwepo wa MUNGU, na wengi watamwamini na hakuna atakayeweza kumpinga . na atauwawa ili kumzuia na kanuni zake hizo.

Na mpaka leo hii nchini marekani watoto wengi wa kiume waliozaliwa tarehe hiyo wamepewa jina hilo...JAYNOU OLIVER BECK

Na mtu huyo alijinadi sana na kusema yeye ni time traveller(msafiri wa nyakati) ....

Unaweza kugoogle mtandaoni kupitia jina hilo kupata habari zake zaidi.
 
HiKHi
Hii kitu niliisikiaga ngoja niingie chimbo nikalete every thing but ngoja hawa miamba Habibu B. Anga zitto junior Da'Vinci na @infrant soldier. Watakupa chochote kitu.
r
 
Back
Top Bottom