Hata Gadaffi alilewa mvinyo huu huu, na museven nae ameshafanya mambo ya namna hii, wanajiandalia uzee mbaya wao wenyewe, utawala wenye dhuluma ukifika mwishoni mungu huunyima maono.
Maana hata Ghadafi anaota mpaka leo yeye bado atasalia madarakani.
Huo ndio ujinga wa marais wengi wa kiafrika , mara nyingi hujisahau na kulewa madaraka na kujifanya miungu watu kumbe they are also made of flesh and blood hivyo nao watakufa! Mutharika's days are numbered na mwisho wake utakuwa mbaya kuliko wa mtangulizi wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.