Rais wa malawi "atoa"uwaziri kwa MKEWE na kaka yake

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Rais wa malawi Bingu wa Mutharika ameamua kumteua mkewe kuwa waziri wa afya na wanawake huku kaka yake akimpa uwaziri wa mambo ya nje,,,,,,,,
 
Husseni Mwinyi na Liziwan J.K nao wanaandaliwa kuongoza dola,pia kama angekuwa na kishule kidogo Ist Land angepewa wizara.
 
charity start at home mkuu. Kama wana sifa twawaombea kila lakheri. Ulevi wa madaraka huo.
 
Hata Gadaffi alilewa mvinyo huu huu, na museven nae ameshafanya mambo ya namna hii, wanajiandalia uzee mbaya wao wenyewe, utawala wenye dhuluma ukifika mwishoni mungu huunyima maono.
Maana hata Ghadafi anaota mpaka leo yeye bado atasalia madarakani.
 
Huo ndio ujinga wa marais wengi wa kiafrika , mara nyingi hujisahau na kulewa madaraka na kujifanya miungu watu kumbe they are also made of flesh and blood hivyo nao watakufa! Mutharika's days are numbered na mwisho wake utakuwa mbaya kuliko wa mtangulizi wake.
 
Back
Top Bottom