Rais wa Liberia, George Weah awashukia wanaomvunjia heshima wakidai hawasaidii kama alivyoahidi kwenye kampeni

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais George Weah (54) amesema amekuwa akipokea mamia ya ujumbe yenye maudhui ya matusi na malalamiko kutoka kwa wanaodai kuwa wafuasi wake ambao wamekasirishwa kwasababu hawasaidii

Rais huyo ambaye ni mcheza mpira wa zamani anakaribia kutimiza nusu ya muhula wake, na kumekuwa na malalamiko Serikali anayoongoza imeshindwa kutengeneza fursa za ajira kama alivyoahidi wakati wa kampeni

Amesema hatatoa msaada wowote kwa watu ambao wameonesha kumvunjia heshima kupitia ujumbe hizo akisisitiza huwezi kumuomba msaada Rais wakati humuheshimu

Aidha, amekemea tabia ya vijana kutaka kujitegemea badala ya kukaa kwa wazazi akisema wanatakiwa kufirikia kufanya biashara badala ya kuondoka nyumbani

======

Liberia’s President George Weah has revealed in a church sermon that he receives a barrage of insults via text message from people claiming to be his supporters who are angry that he is not helping them.

The 54-year-old ex-footballer is approaching the half-way point of his term in office and some are complaining that his government has failed to create the job opportunities that Mr Weah had promised when running for president.

In a sermon transcribed by the FrontPage Africa newspaper, the president is quoted as telling worshippers that out of every 1,000 messages he receives, 999 are complaints are insults.

The president declared that he will not offer any help or assistance to people who continuously show him disrespect through text messages.

“You are arrogant and you’re asking me for something small; I will not do it. You can’t be asking for help and disrespecting the president,” Mr Weah is quoted as saying.

He blasted young people 19-20 years old who desire to live on their own instead of remaining with their parents.

“You know I was 18 years sleeping on the floor? Why are you rushing life?” he asked.

The president was raised by his grandmother in a slum in the capital, Monrovia, from where he rose to stardom and went on to become one of the greatest African soccer players of all time, winning the Fifa Player of the Year title in 1995.

He said young people should be thinking about going into business and not living on their own.

“Some of you telling me to pay your rent; you get your ma and pa and you asking me to pay your rent; “why you can’t go live with your ma. The money you want to pay your rent [with]; you can use it with your mother to do business.”
 
George Weah, kinasaba kile kile cha African leaders..
Kaingia madarakani na kujilimbikizia, na kuiba na kuua waliotaka kufichua mabaya yake hasa ya central bank..

Nafikiri kuna pepo fulani linawatembelea ukishakuwa kiongozi. Ubinafsi unashika hatamu.

Watu 18-19 wenyewe, wanataka kujitegemea, raisi unataka wawe mzigo kwa wazazi wao, ovyo!

Everyday is Saturday................................:cool:
 
'You are arrogant and you’re asking me for something small; I will not do it. You can’t be asking for help and disrespecting the president,” Mr Weah is quoted as saying.'

Mimi ni jiwe kweri kweri asiyefanya kazi na asile,mwafaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom