Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf atembelea Tanzania

Kwa taarifa,

Rais wa Liberia, Mhe. Ellen Johnson Sirleaf, anawasili nchini leo mchana mida ya saa nane hivi. Atapokelewa na JK (mwenyeji wake na kuelekea "White House", katika dhifa iliyoandaliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)

Kesho atahutubia pale UDSM, "The Role Of Women In Africa Development" (Majukumu ya Wanawake katika Maendeleo ya Afrika)

Keshokutwa atakuwa Arusha, akitembelea kiwanda cha vyandarua katika kiwanda cha A to Z

Ziara yake ni ya kiserikali (Kikazi).

:behindsofa:

Bush alienda kiwanda cha neti.
Huyu naye kiwanda cha neti.
Hivi kunasiri gani arusha kiwanda cha neti cha A to Z.
 
Hiki kiwanda cha neti hiki, halafu kiko karibu na "properties" za Ridhiwani JK. eneo la Kisongo, jirani na niliponunua kiwanja/uwanja wa kujenga nyumba ya kuishi.
 
Back
Top Bottom