Rais wa kuchekacheka na waziri mkuu wa kulialia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa kuchekacheka na waziri mkuu wa kulialia.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KALABASH, Jun 20, 2011.

 1. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ama kweli Tanzania ya leo tunao mchanganyiko wa kiaina katika uongozi wa juu:Rais anayechekacheka hata pale anapotakiwa kuwa serious na waziri wake mkuu anayelialia na kulalamika badala ya kuchukua maamuzi. Wana JF tutafika kwenye nchi ya maisha bora tuliyoahidiwa?
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaa...............tufanyeje sasa ndio viongozi wetu hao!!!!tuliwachagua na kuwaamini matokeo yake ndio hayo je tutafika.............tafakari then chukua hatua 2015
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  makamu wa rais je?
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hivi kati ya kucheka cheka na kulia lia kipi ni afadhali?
   
 5. The mediator

  The mediator Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa maoni yangu kweli kazi tunayo kwa sababu PM wetu ameonyesha hawezi fanya kazi bila kushikiwa remote. Huwa analia kwa uchungu wa nchi yake lakini hawezi fanya maamuzi kwa kuwa ni mwoga sana wa kulaumiwa.

  Unajua ukiwa kiongozi unatakiwa usiogope lawama bali usimamie haki na ukweli wa mambo.Hapa ndipo PM anapochemka.Unajua kuna usemi unaosema "Kiongozi bora ni yule anayegundua tatizo mapema na si yule anayesubiri tatizo linakuwa kubwa sana na ni dharura kwa taifa"
   
 6. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  wa kununa nuna! Wote wanatengeneza serikali ya kufa kufa!
   
 7. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  zote ni kelele
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Yote hayo ni magonjwa! Psychological & Personality Disorders
   
 9. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Rais anacheka mahalia hata pakuwa serious and waziri mkuu yuko serious hata mahala pa kucheka ni usanii kwenda mbele/
   
 10. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bingwa wa kukenua meno tu.
   
 11. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  that combination is a bomb, no one is serious.
   
 12. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kwani vp speaker, yukoje?
   
 13. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  dracula/vampire
   
 14. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  vipi kuhusu Slaa?
   
 15. S

  Salimia JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyo mpora wake za watu tu.
   
 16. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bwahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:bange: mbavu zangu!!!!
   
 17. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimeipenda sana hii na sisi wananchi tutakuwa kina nani?
   
 18. m

  matawi JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mmesahau slaa ndo rais wa inji hii huyu nkwer alichakachua tu
   
 19. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Spika Betina, mvaa nyago la kutisha wapinzani.
   
 20. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  kwani nanihii amelia tena hivi karibuni?
   
Loading...