Rais wa Kenya Mwai Kibaki ampelekea Kikwete ujumbe maalum

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
GO9G8484.JPG
JK akipokea ujumbe toka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya leo Ikuku Dar uliowasilishwa kwake na Mwakilishi wa Rais Mwai kibaki Bwana Githae ambaye pia ni waziri
 
Nini ujembe-hatujui; au kupeana pole kwa mkanganyo na mstakabari wa tanzania. Au mauaji ya raia wake wa kenya-arusha??
 
sasa mkuu... tunachoona ni bahasha tu... wewe ulitaka tufanyeje... tuchangie nini...? .... au tuangalie hiyo picha tu...?
 
We unataka uambiwe nini? Kinachoendelea nchini wakijua na kama kuna ujumbe unafika kwake toka kwa viongozi wenzake ni dhahiri ushauri kama si mtazamo wao kwa yanayoendelea kama si ushirikiano wa kimataifa.

Kilicho ndani ya bahasha ni siri yake Kikwete
 
Hii ni kampeni ya kidiplomasia ya Kenya ya kutaka nchi za Afrika ziigomee mahakama ya kimataifa ICC ya the Hague na kujitoa, kwakua viongozi wadhalimu wameshtakiwa, ili wakuu wake wasifikishwe mbele ya sheria wanapoamuru mauaji ya raia kama vile yaliyofanyika Kenya na hapa kwetu Arusha. Mahakama ya kimataifa ni muhimu sana kwa haki za wanyonge wa bara hili! Ocampo karibu kwetu Tanzania pia!
 
Sasa tumeanza kuchoka kuleta hoja janvini sasa hiyo baasha ina nini ndani labda anamsalimia tu! Hicho maalum kwako ni kipi hapo? Acha hizo bwana
 
GO9G8484.JPG
JK akipokea ujumbe toka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya leo Ikuku Dar uliowasilishwa kwake na Mwakilishi wa Rais Mwai kibaki Bwana Githae ambaye pia ni waziri

Ndani ya bahasha kuna ujumbe ualiopelekewa kupitia mjumbe maalumu.

Lakini, napomuangalia Kikwete, mmh. wote wana nywele fupi lakini zake, mmh. Ngozi za usoni na mkononi (ukii-zoom picha) mhh.
Haya!!
 
Kenya seeks Africa support over Hague (source JF International Forum)
DnKalonzoNzuma1201.jpg


This emerged as the Kenya government launched a charm offensive to seek Africa's help to block The Hague from opening cases against the suspects.

Mr Musyoka who was in South Africa to meet President Jacob Zuma on Wednesday, also flew to Uganda for talks with President Yoweri Museveni ahead of the AU summit on January 29 in Addis Ababa. Read full story: Daily Nation:*- Politics*|Kenya seeks Africa support over Hague
VP1.jpg

Above: Ugandan President Yoweri Museveni and Kenya's Vice President Kalonzo Musyoka in Kyenjo, Uganda on January 13, 2011. Photo/FELIX BASIIME
GO9G8484.JPG

Mjumbe maalum wa Rais Mwai Kibaki wa Kenya, Mhe.Robinson Njeru Githae akimkabidhi RaisDr.Jakaya Mrisho Kikwete ujumbe kutoka kwa Rais Kibaki ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana 14/01.2011.Bwana Githae ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya jiji la Nairobi aliambatana na maofisa waandamizi kutoka ubalozi wa Kenya nchini Tanzania. Picha na mdau Freddy Maro wa IKULU DSM.
 
We unataka uambiwe nini? Kinachoendelea nchini wakijua na kama kuna ujumbe unafika kwake toka kwa viongozi wenzake ni dhahiri ushauri kama si mtazamo wao kwa yanayoendelea kama si ushirikiano wa kimataifa.

Kilicho ndani ya bahasha ni siri yake Kikwete
True
 
There efforts of getting out of Moreno's clutches will be futile whether they get out of ICC or not, their former neighbor El- Bashir is not signatory but every smart person knows his ultimate destiny.

It is further proving to the world that the life of six indicted people holds more value than of more than 1000 kenyans who lost their dear lives!

Viva Ocampo Africa badly need you now!
 
Back
Top Bottom