Rais wa Kenya asaini mkataba wa kuuza tikiti China,Rais Tanzania afungua msimu wa tumbaku,Waziri Mkuu hakuna shamra za Muungano

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Nianze uzi wangu kwa kumpongeza Rais wa kenya ndgu uhuru Kinyata kwa kusaini mkataba na nchi ya china kwa ajili ya kuuza TIKITI, HAYO NI MATUNDA YA ZIARA YA rais huyo nchini kenya.

Swali fikirishi Rais wangu alipoenda Malawi na kufungua MSIMU WA TUMBAKU,je manufaa ya ziara yake nchini Malawi ni zipi?

Ni mhm tukawa na utaratibu wa kutafakali faida za ziara za viongozi wetu hapa nchini hasa hawa wa AfricA.

Nije kwenye hoja,tangu Rais aingie madarakani amekuwa akifuta sherehe mbalimbali za kitaifa,ili pengine yeye huwa haoni umuhimu wowote wa sherehe hizo lakini je tuulizane elimu dhidi ya muungano imetolewa vyakutosha nchini Tanzania?

Je hatuoni umuhimu wa kutoa elimu kwa vijana wetu ili kuuendeleza kuulinda muungano wetu?

Moja ya kitu ambacho,kimekuwa kikiwajenga watt wetu waujue muungano ni sherehe hizo,kwani kupitia sherehe hzo watt wetu wa alaiki huwa wanapT kujifunza maana ya muungano kivitendo.

Tunapofuta sherehe hizi za muungano tufikilie njia ambayo itatusaidia kutoa elimu ya muungano kwa watt wetu.

Salamu zangu kwenu watawala na si viongozi.
 
Acha unyang'au wewe pimbi. Pambaneni kwanza na matukio ya Ugaidi kwanza ndio mjilinganishe na Tanzania.

Rushwa na Upigaji uliopo kwenye Serikali ya Kenyatta ni mkubwa sana haujawahi kutokea Kenya halafu mbwigga mmoja kama wewe anakuja kumsifia bwegge humu.

Mwambie aliyekutuma kwamba Wakenya fanyeni yenu lln sio kujilinganisha na Tanzania.

Huyo unayemsifia angekuwa na akili zaidi alishindwa nini Kuwin Mradi wa Bomba la Mafuta la Uganda lipitie Mombasa badala yake akaishia kupiga mihayo bomba hiloooo Tanzania - Tanga.

Mpelekee mhe. WHISKY najua anapenda sana hio makitu
 
Acha unyang'au wewe pimbi. Pambaneni kwanza na matukio ya Ugaidi kwanza ndio mjilinganishe na Tanzania. Rushwa na Upigaji uliopo kwenye Serikali ya Kenyatta ni mkubwa sana haujawahi kutokea Kenya halafu mbwigga mmoja kama wewe anakuja kumsifia bwegge humu. Mwambie aliyekutuma kwamba Wakenya fanyeni yenu lln sio kujilinganisha na Tanzania. Huyo unayemsifia angekuwa na akili zaidi alishindwa nini Kuwin Mradi wa Bomba la Mafuta la Uganda lipitie Mombasa badala yake akaishia kupiga mihayo bomba hiloooo Tanzania - Tanga. Mpelekee mhe. WHISKY najua anapenda sana hio makitu
Mkuu usicatch mafeelings sana, ni nyumbu hao jamaa.
 
Nianze uzi wangu kwa kumpongeza Rais wa kenya ndgu uhuru Kinyata kwa kusaini mkataba na nchi ya china kwa ajili ya kuuza TIKITI, HAYO NI MATUNDA YA ZIARA YA rais huyo nchini kenya.

Swali fikirishi Rais wangu alipoenda Malawi na kufungua MSIMU WA TUMBAKU,je manufaa ya ziara yake nchini Malawi ni zipi?

Ni mhm tukawa na utaratibu wa kutafakali faida za ziara za viongozi wetu hapa nchini hasa hawa wa AfricA.

Nije kwenye hoja,tangu Rais aingie madarakani amekuwa akifuta sherehe mbalimbali za kitaifa,ili pengine yeye huwa haoni umuhimu wowote wa sherehe hizo lakini je tuulizane elimu dhidi ya muungano imetolewa vyakutosha nchini Tanzania?

Je hatuoni umuhimu wa kutoa elimu kwa vijana wetu ili kuuendeleza kuulinda muungano wetu?

Moja ya kitu ambacho,kimekuwa kikiwajenga watt wetu waujue muungano ni sherehe hizo,kwani kupitia sherehe hzo watt wetu wa alaiki huwa wanapT kujifunza maana ya muungano kivitendo.

Tunapofuta sherehe hizi za muungano tufikilie njia ambayo itatusaidia kutoa elimu ya muungano kwa watt wetu.

Salamu zangu kwenu watawala na si viongozi.
Maparachichi yenyewe watachukua bongo....
 
Acha unyang'au wewe pimbi. Pambaneni kwanza na matukio ya Ugaidi kwanza ndio mjilinganishe na Tanzania.

Rushwa na Upigaji uliopo kwenye Serikali ya Kenyatta ni mkubwa sana haujawahi kutokea Kenya halafu mbwigga mmoja kama wewe anakuja kumsifia bwegge humu.

Mwambie aliyekutuma kwamba Wakenya fanyeni yenu lln sio kujilinganisha na Tanzania.

Huyo unayemsifia angekuwa na akili zaidi alishindwa nini Kuwin Mradi wa Bomba la Mafuta la Uganda lipitie Mombasa badala yake akaishia kupiga mihayo bomba hiloooo Tanzania - Tanga.

Mpelekee mhe. WHISKY najua anapenda sana hio makitu
Sasa wewe unalinganisha wakenya na matakataka??

Mnapigwa 2.4 trillion majuha ninyi
 
Hi

Hilo Bomba wanalopigia debe liko wapi au nalo limekwama kama SGR, S Gorge au Chato Airport? Kama viongozi, Lumumba kwa maneno na kujisifu hawajambo.
 
Ni mfanya biashara,pia ni tajiri. Hawa wetu masikini,wanataka kila MTU awe masikini.
Yaap, huyu jamaa hata kama ni mwizi na pure capitalist lakini unaona kuna kitu anafanya, kuna sehemu anaiyelekeza nchi yake tofauti na Kamongo wengine unaona kabisa haya ni maigizo hakuna anachofanya
 
Sasa wewe unalinganisha wakenya na matakataka??

Mnapigwa 2.4 trillion majuha ninyi
Manina zako wewe Kenge tu. Wakenya mmngekuwa na akili ndio mngekubali utawala wa BMW(BABA MAMA NA WATOTO). Kwahiyo huyo Kiongozi wako boyya mliyechaguliwa na makaburu ndio unamuona mwelevu. Nenda kapimwe akili wewe usisahau na Kufanya TOHARA maaana hayo Magov:i nayo huenda yanawawasha mnooo akili zimeyumba. Mind you hata manzie wenu sikuhiz wakimbilia Tzieee kusuguliwa maaaana mmeshindwa kazi kutwa kucha Umbea.
 
Na sisi c tuna mkataba wa mihogo hatujawah fika hata theluthi ya mahitaji wewe untamani na maparachichi,tens ambayo Kenya itakuja tu kuynunua Njombe
What if tungekuwa na zote na hiyo ya mapalachichi wakati tunaendelea Ku boost miogo ifike kwenye hiyo theluthi ya mahitaji, tofauti na kuwe na huyo middle man (Kenya), ndio haya yanakuwa ya Tanzanite, mfanyabiashara mkuu s. Africa wakati inapatikana tz. peke yake. Tujitasmini.
 
Manina zako wewe Kenge tu. Wakenya mmngekuwa na akili ndio mngekubali utawala wa BMW(BABA MAMA NA WATOTO). Kwahiyo huyo Kiongozi wako boyya mliyechaguliwa na makaburu ndio unamuona mwelevu. Nenda kapimwe akili wewe usisahau na Kufanya TOHARA maaana hayo Magov:i nayo huenda yanawawasha mnooo akili zimeyumba. Mind you hata manzie wenu sikuhiz wakimbilia Tzieee kusuguliwa maaaana mmeshindwa kazi kutwa kucha Umbea.
Mind you usilinganishe wakenya na matakataka

Rudia kusoma ulicho kiandika kama utakielewa

Ninyi ni matakataka hatarishi mnajua kuimba na kusifu mbwa na Mkia wako
 
Manina zako wewe Kenge tu. Wakenya mmngekuwa na akili ndio mngekubali utawala wa BMW(BABA MAMA NA WATOTO). Kwahiyo huyo Kiongozi wako boyya mliyechaguliwa na makaburu ndio unamuona mwelevu. Nenda kapimwe akili wewe usisahau na Kufanya TOHARA maaana hayo Magov:i nayo huenda yanawawasha mnooo akili zimeyumba. Mind you hata manzie wenu sikuhiz wakimbilia Tzieee kusuguliwa maaaana mmeshindwa kazi kutwa kucha Umbea.
Muda wote unawaza ngono
 
Muda wote unawaza ngono
We Kenge achana na mimi nitakuzingua ujue! Kwani huko Kenya unakokusifia hakuna majukwaa pendwa kama JF? Imagine unatumia jukwaa lililotengenezwa na Watanzania halafu unawaita Takataka?? Believe me kama Id yako ingejulikana kesho ungehama nchi hiii we pimbi.
 
Back
Top Bottom