Rais Wa JMTZ saivi yuko wapi, Dar au Dom!? Special Thread..

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,724
Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu ..

Hovyohovyo..

Tupeni bili..kodi....

Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!??

Lakini ile ndege ya Rais iko wapi!? TuloambiwA hata tule nyasi..!!!?
 
Rais anakaa popote alimradi ni Tanzania. Hata akikaa pemba kijijini kwake hakuna tatizo
 
Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu ..

Hovyohovyo..

Tupeni bili..kodi....

Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!??

Lakini ile ndege ya Rais iko wapi!? TuloambiwA hata tule nyasi..!!!?
Kuna fungu huwa nje ya bajeti ndio kazi yake hilo (kama ulivyokuwa unaona magu anagawa ovyo ovyo)hilo linachukuliwa kama lilivyo hata CAG hasuhusiwi kuuliza.
Naomba niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vasco Da Gama. The explorer. Mama anafanya excursions pande mbali mbali za nchi na dunia.

Ni muda wake wa kujidai na mbung'o wa ATCL hapo angani.
 
Acha mama aruke na dege kubwa auze sura kwa majirani......tozo inatosha kununua wese.
 
Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu ..

Hovyohovyo..

Tupeni bili..kodi....

Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!??

Lakini ile ndege ya Rais iko wapi!? TuloambiwA hata tule nyasi..!!!?
ATCL hawana ndege, Ndege ya Raisi na hizo ndege mpya zote zilizonunuliwa na JPM zipo chini ya Tanzania Government Flights Agency. Kwa Ndege yoyote atakayotumia Raisi bado ni mali ya TGFA, Cha kuhoji ni gharama za matumizi kati ya Airbus A220-300 na Gulfstream G550 gharama kubwa zinakuwa wapi?
 
Back
Top Bottom