RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Wakuu leo imetokea tu nikawa najiuliza hovi Rais wa Zanzibar huwa anashiriki katika shuguli za kimaendeleo ktk Tanganyika? Yaani kama kuzindua miradi, kulutana na wananchi na kutembelea wahanga wa natural disasters kama wale wa Kilosa? Sijawahi kusikia basi na ipo basi ni mara moja napo wanaishia Dar.
Vivyo hivyo kwa Rais wa Jamhuri, nilitegemea kuwa yeye kwa kuwa ni mkuu wa nchi nzima basi kule visiwani angekuwa anatembelea mara kwa mara hadi vijijini huko Pemba sio kuhudhuria tu sherehe ya Mapinduzi. Hii ingesaidia kuonyesha extension ya power lakini siioni hii au ni mimi tu?