RAIS WA IRAN MWENDAWAZIMU.... LAKINI?..... CASTRO wa pili.

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,772
8,958
Barua ya Rais wa Iran kwa Bush!

Agence France Presse -- English
May 9, 2006 Tuesday 4:47 PM GMT
HEADLINE: Text of Ahmadinejad's letter to Bush
DATELINE: WASHINGTON, May 9 2006

Iran's foreign ministry on Tuesday said it was waiting for a response from US President George W. Bush to a surprise letter sent by the Islamic republic's hardline President Mahmoud Ahmadinejad.

Here is the text of the letter, obtained by AFP.

Mr. George Bush,

President of the United States of America

For sometime now I have been thinking, how one can justify the undeniable contradictions that exist in the international arena -- which are being constantly debated, especially in political forums and amongst university students. Many questions remain unanswered. These have prompted me to discuss so me of the contradictions and questions, in the hopes that it might bring about an opportunity to redress them.

Can one be a follower of Jesus Christ (PBUH), the great Messenger of God, Feel obliged to respect human rights, Present liberalism as a civilization model, Announce one's opposition to the proliferation of nuclear weapons and WMDs,Make "War and Terror" his slogan, And finally,
Work towards the establishment of a unified international community -- a community which Christ and the virtuous of the Earth will one day govern, But at the same time,Have countries attacked. The lives, reputations and possessions of people destroyed and on the slight chance of the presence of a few criminals in a village, city or convoy for example, the entire village, city or convoy set ablaze.

Or because of the possibility of the existence of WMDs in one country, it is occupied , around one hundred thousand people killed, its water sources, agriculture and industry destroyed, close to 180,000 foreign troops put on the ground, sanctity of private homes of citizens broken, and the country pushed back perhaps fifty years. At what price? Hundreds of billions of dollars spent from the treasury of one country and certain other countries and tens of thousands of young men and women -- as occupation troops -- put in harms way, taken away from family and loved ones, their hands stained with the blood of others, subjected to so much psychological pressure that everyday some commit suicide and those returning home suffer depression, become sickly and grapple with all sorts of aliments; while some are killed and their bodies handed to their families.

On the pretext of the existence of WMDs, this great tragedy came to engulf both the peoples of the occupied and the occupying country. Later it was revealed that no WMDs existed to begin with.

Of course Saddam was a murderous dictator. But the war was not waged to topple him, the announced goal of the war was to find and destroy weapons of mass destruction. He was toppled along the way towards another goal; nevertheless the people of the region are happy about it. I point out that throughout the many years of the imposed war on Iran Saddam was supported by the West.

Mr. President,

You might know that I am a teacher. My students ask me how can theses actions be reconciled with the values outlined at the beginning of this letter and duty to the tradition of Jesus Christ (PBUH), the Messenger of peace and forgiveness?
There are prisoners in Guantanamo Bay that have not been tried, have no legal representation, their families cannot see them and are obviously kept in a strange land outside their own country . There is no international monitoring of their conditions and fate. No one knows whether they are prisoners, POWs, accused or criminals.

European investigators have confirmed the existence of secret prisons in Europe too. I could not correlate the abduction of a person, and him or her being kept in secret prisons, with the provisions of any judicial system. For that matter, I fail to understand how such actions correspond to the values outlined in the beginning of this letter, i.e. the teachings of Jesus Christ (PBUH), human rights and liberal values.

Young people, university students, and ordinary people have many questions about the phenomenon of Israel. I am sure you are familiar with some of them. Throughout history many countries have been occupied, but I think the establishment of a new country with a new people, is a new phenomenon that is exclusive to our times.

Students are saying that sixty years ago such a country did not exist. They show old documents and globes and say try as we have, we have not been able to find a country named Israel.

I tell them to study the history of WWI and II. One of my students told me that during WWII, which more than tens of millions of people perished in, news about the war, was quickly disseminated by the warring parties. Each touted their victories and the most recent battlefront defeat of the other party. After the war they claimed that six million Jews had been killed. Six million people that were surely related to at least two million families. Again let us assume that these events are true. Does that logically translate into the establishment of the state of Israel in the Middle East or support for such a state? How can this phenomenon be rationalized or explained?

Mr. President,

I am sure you know how -- and at what cost -- Israel was established:

- Many thousands were killed in the process.
- Millions of indigenous people were made refugees.
- Hundreds of thousands of hectares of farmland, olive plantations, towns and villages were destroyed.

This tragedy is not exclusive to the time of establishment; unfortunately it has been ongoing for sixty years now. A regime has been established which does not show mercy even to kids, destroys houses while the occupants are still in them, announces beforehand its list and plans to assassinate Palestinian figures, and keeps thousands of Palestinians in prison. Such a phenomenon is unique -- or at the very least extremely rare -- in recent memory.
Another big question asked by the people is "why is this regime being supported?" Is support for this regime in line with the teachings of Jesus Christ (PBUH) or Moses (PBUH) or liberal values? Or are we to understand that allowing the original inhabitants of these lands -- inside and outside Palestine -- whether they are Christian, Muslim or Jew, to determine their fate, runs contrary to principles of democracy, human rights and the teachings of prophets? If not, why is there so much opposition to a referendum?

The newly elected Palestinian administration recently took office. All independent (observers) have confirmed that this government represents the electorate. Unbelievingly, they have put the elected government under pressure and have advised it to recognize the Israeli regime, abandon the struggle and follow the programs of the previous government.

If the current Palestinian government had run on the above platform, would the Palestinian people have voted for it? Again, can such position taken in opposition to the Palestinian government be reconciled with the values outlined earlier? The people are also saying "why are all UNSC (UN Security Council) resolutions in condemnation of Israel vetoed?"

Mr. President,

As you are well aware, I live amongst the people and am in constant contact with them -- many people from around the Middle East manage to contact me as we ll. They do not have faith in these dubious policies either. There is evidence that the people of the region are becoming increasingly angry with such policies.

It is not my intention to pose too many questions, but I need to refer to other points as well.

Why is it that any technological and scientific achievement reached in the Middle East region is translated into and portrayed as a threat to the Zionist regime? Is not scientific R and D one of the basic rights of nations?

You are familiar with history. Aside from the Middle Ages, in what other point in history has scientific and technical progress been a crime? Can the possibility of scientific achievements being utilized for military purposes be reason enough to oppose science and technology altogether? If such a supposition is true, then all scientific disciplines, including physics, chemistry, mathematics, medicine, engineering, etc. must be opposed.

Lies were told in the Iraqi matter. What was th e result? I have no doubt that telling lies is reprehensible in any culture, and you do not like to be lied to.

Mr. President,

Don't Latin Americans have the right to ask why their elected governments are being opposed and coup leaders supported? Or, Why must they constantly be threatened and live in fear?

The people of Africa are hardworking, creative and talented. They can play an important and valuable role in providing for the needs of humanity and contribute to its material and spiritual progress. Poverty and hardship in large parts of Africa are preventing this from happening. Don't they have the right to ask why their enormous wealth -- including minerals -- is being looted, despite the fact that they need it more than others?

Again, do such actions correspond to the teachings of Christ and the tenets of human rights?

The brave and faithful people of Iran too have many questions and grievances , including: the coup d'etat of 1953 and the subsequent toppling of the legal government of the day, opposition to the Islamic revolution, transformation of an Embassy into a headquarters supporting, the activities of those opposing the Islamic Republic (many thousands of pages of documents corroborate this claim), support for Saddam in the war waged against Iran, the shooting down of the Iranian passenger plane, freezing the assets of the Iranian nation, increasing threats, anger and displeasure vis-a-vis the scientific and nuclear progress of the Iranian nation (just when all Iranians are jubilant and celebrating their country's progress), and many other grievances that I will not refer to in this letter.

Mr. President,

September Eleven was a horrendous incident. The killing of innocents is deplorable and appalling in any part of the world. Our government immediately declared its disgust with the perpetrators and offered its condolences to the bereaved and expressed its sympathies.

All governments have a duty to protect the lives, property and good standing of their citizens. Reportedly your government employs extensive security, protection and intelligence systems -- and even hunts its opponents abroad. September Eleven was not a simple operation. Could it be planned and executed without coordination with intelligence and security services -- or their extensive infiltration? Of course this is just an educated guess. Why have the various aspects of the attacks been kept secret? Why are we not told who botched their responsibilities? And, why aren't those responsible and the guilty parties identified and put on trial?

All governments have a duty to provide security and peace of mind for their citizens. For some years now, the people of your country and neighbors of world trouble spots do not have peace of mind. After 9/11, instead of healing and tending to the emotional wounds of the survivors and the American people -- who had been immensely traumatized by the attacks -- some Western media only intensified the climates of fear and insecurity -- some constantly talked about the possibility of new terror attacks and kept the people in fear. Is that service to the American people? Is it possible to calculate the damages incurred from fear and panic?

American citizens lived in constant fear of fresh attacks that could come at any moment and in any place. They felt insecure in the streets, in their place of work and at home. Who would be happy with this situation? Why was the media, instead of conveying a feeling of security and providing peace of mind, giving rise to a feeling of insecurity?

Some believe that the hype paved the way -- and was the justification -- for an attack on Afghanistan. Again I need to refer to the role of media. In media charters, correct dissemination of information and honest reporting of a story are established tenets. I express my deep regret about the disregard shown by certain Western media for these principles. The main pretext for an attack on Iraq was the existence of WMDs. This was repeated incessantly -- for the public to finally believe -- and the ground set for an attack on Iraq.

Will the truth not be lost in a contrived and deceptive climate? Again, if the truth is allowed to be lost, how can that be reconciled with the earlier mentioned values? Is the truth known to the Almighty lost as well?

Mr. President,

In countries around the world, citizens provide for the expenses of governments so that their governments in turn are able to serve them.

The question here is "what has the hundreds of billions of dollars, spent every year to pay for the Iraqi campaign, produced for the citizens?"

As your Excellency is aware, in some states of your country, people are living in poverty. Many thousands are homeless and unemployment is a huge problem. Of course these problems exist -- to a larger or lesser extent -- in other countries as well. With these conditions in mind, can the gargantuan expenses of the campaign -- paid from the public treasury -- be explained and be consistent with the aforementioned principles?

What has been said are some of the grievances of the people around the world, in our region and in your country. But my main contention -- which I am hoping you will agree to some of it -- is:

Those in power have a specific time in office and do not rule indefinitely, but their names will be recorded in history and will be constantly judged in the immediate and distant futures.

The people will scrutinize our presidencies. Did we (manage) to bring peace, security and prosperity for the people or insecurity and unemployment? Did we intend to establish justice or just supported (special) interest groups, and by forcing many people to live in poverty and hardship, ma de a few people rich and powerful -- thus trading the approval of the people and the Almighty with theirs? Did we defend the rights of the underprivileged or ignore them? Did we defend the rights of all people around the world or imposed wars on them, interfered illegally in their affairs, established hellish prisons and incarcerated some of them? Did we bring the world peace and security or raised the specter of intimidation and threats? Did we tell the truth to our nation and others around the world or presented an inverted version of it? Were we on the side of people or the occupiers and oppressors? Did our administrations set out to promote rational behavior, logic, ethics, peace, fulfilling obligations, justice, service to the people, prosperity, progress and respect for human dignity or the force of guns, Intimidation, insecurity, disregard for the people, delaying the progress and excellence of other nations, and trample on people's rights? And finally, they will judge us on whether we remained true to our oath of office -- to serve the people, which is our main task, and the traditions of the prophets -- or not?

Mr. President,

How much longer can the world tolerate this situation? Where will this trend lead the world to? How long must the people of the world pay for the incorrect decisions of some rulers? How much longer will the specter of insecurity -- raised from the stockpiles of weapons of mass destruction -- hunt the people of the world? How much longer will the blood of the innocent men, women and children be spilled on the streets, and people's houses destroyed over their heads? Are you pleased with the current condition of the world? Do you think present policies can continue?

If billions of dollars spent on security, military campaigns and troop movement were instead spent on investment and assistance for poor countries, promotion of health, combating different diseases, education and improvement of mental and physical fitness, assistance to the victims of natural disasters, creation of employment opportunities and production, development projects and poverty alleviation, establishment of peace, mediation between disputing states, and distinguishing the flames of racial, ethnic and other conflicts, (where) would the world be today? Would not your government and people be justifiably proud? Would not your administration's political and economic standing have been stronger? And I am most sorry to say, would there have been an ever increasing global hatred of the American government?

Mr. President, it is not my intention to distress anyone. If Prophet Abraham, Isaac, Jacob, Ishmael, Joseph, or Jesus Christ (PBUH) were with us today, how would they have judged such behavior? Will we be given a role to play in the promised world, where justice will become universal and Jesus Christ (PBUH) will be present? Will they even accept us?

My basic question is this: Is there no better way to interact with the rest of the world? Today there are hundreds of millions of Christians, hundreds of millions of Moslems and millions of people who follow the teachings of Moses (PBUH). All divine religions share and respect one word and that is "monotheism" or belief in a single God and no other in the world.

The Holy Koran stresses this common word and calls on all followers of divine religions and says: (3.64) Say: O followers of the Book! Come to an equitable proposition between us and you that we shall not serve any but Allah and (that) we shall not associate aught with Him and (that) some of us shall not take others for lords besides Allah; but if they turn back, then say: Bear witness that we are Muslims. (The Family of Imran)

Mr. President,

According to divine verses, we have all been called upon to worship one God and follow the teachings of divine Prophets. "To worship a God which is above all powers in the world and can do all He pleases." "The Lo rd which knows that which is hidden and visible, the past and the future, knows what goes on in the Hearts of His servants and records their deeds." "The Lord who is the possessor of the heavens and the earth and all universe is His court" "Planning for the universe is done by His hands, and gives His servants the glad tidings of mercy and forgiveness of sins" "He is the companion of the oppressed and the enemy of oppressors" "He is the Compassionate, the Merciful" "He is the recourse of the faithful and guides them towards the light from darkness" "He is witness to the actions of His servants" "He calls on servants to be faithful and do good deeds, and asks them to stay on the path of righteousness and remain steadfast" "Calls on servants to heed His prophets and He is a witness to their deeds" "A bad ending belongs only to those who have chosen the life of this world and disobey Him and oppress His servants" and "A good end and eternal paradise belong to those servants who fear H is majesty and do not follow their lascivious selves."

We believe a return to the teachings of the divine prophets is the only road leading to salvation. I have been told that Your Excellency follows the teachings of Jesus (PBUH) and believes in the divine promise of the rule of the righteous on Earth.

We also believe that Jesus Christ (PBUH) was one of the great prophets of the Almighty. He has been repeatedly praised in the Koran. Jesus (PBUH) has been quoted in Koran as well: (19.36) And surely Allah is my Lord and your Lord, therefore serve Him; this is the right path. Marium

Service to and obedience of the Almighty is the credo of all divine messengers.

The God of all people in Europe, Asia, Africa, America, the Pacific and the rest of the world is one. He is the Almighty who wants to guide and give dignity to all His servants. He has given greatness to Humans.

We again read in the Holy Book: "The Almighty God sent His prophets with miracles and clear signs to guide the people and show them divine signs and purify them from sins and pollutions. And He sent the Book and the balance so that the people display justice and avoid the rebellious."

All of the above verses can be seen, one way or the other, in the Good Book as well. Divine prophets have promised: The day will come when all humans will congregate before the court of the Almighty, so that their deeds are examined. The good will be directed towards (Heaven) and evildoers will meet divine retribution. I trust both of us believe in such a day, but it will not be easy to calculate the actions of rulers, because we must be answerable to our nations and all others whose lives have been directly or indirectly affected by our actions.

All prophets speak of peace and tranquility for man -- based on monotheism, justice and respect for human dignity.

Do you not think that if all of us come to believe in and abide by these principles, that is, monotheis m, worship of God, justice, respect for the dignity of man, belief in the Last Day, we can overcome the present problems of the world -- that are the result of disobedience to the Almighty and the teachings of prophets -- and improve our performance?

Do you not think that belief in these principles promotes and guarantees peace, friendship and justice?

Do you not think that the aforementioned written or unwritten principles are universally respected?

Will you not accept this invitation? That is, a genuine return to the teachings of prophets, to monotheism and justice, to preserve human dignity and obedience to the Almighty and His prophets?

Mr. President,

History tells us that repressive and cruel governments do not survive. God has entrusted the fate of men to them. The Almighty has not left the universe and humanity to their own devices. Many things have happened contrary to the wishes and plans of governments. These tell us that there is a higher power at work and all events are determined by Him.

Can one deny the signs of change in the world today? Is the situation of the world today comparable to that of ten years ago? Changes happen fast and come at a furious pace.

The people of the world are not happy with the status quo and pay little heed to the promises and comments made by a number of influential world leaders. Many people around the world feel insecure and oppose the spreading of insecurity and war and do not approve of and accept dubious policies.

The people are protesting the increasing gap between the haves and the have-nots and the rich and poor countries.

The people are disgusted with increasing corruption.

The people of many countries are angry about the attacks on their cultural foundations and the disintegration of families. They are equally dismayed with the fading of care and compassion. The people of the world have no faith in international organizations, because the ir rights are not advocated by these organizations.

Liberalism and Western style democracy have not been able to help realize the ideals of humanity. Today these two concepts have failed. Those with insight can already hear the sounds of the shattering and fall of the ideology and thoughts of the Liberal democratic systems.

We increasingly see that people around the world are flocking towards a main focal point -- that is the Almighty God. Undoubtedly through faith in God and the teachings of the prophets, the people will conquer their problems. My question for you is: "Do you not want to join them?"

Mr. President,

Whether we like it or not, the world is gravitating towards faith in the Almighty and justice and the will of God will prevail over all things.

Vasalam Ala Man Ataba'al hoda

Mahmood Ahmadi-Nejad

President of the Islamic Republic of Iran
 
Mzee Bob,

Huyu jamaa sio mwenda wazimu, lakini sio genius pia maana kiongozi yoyote mwenye akili timamu huwezi kuiprovoke dunia nzima ukategemea kushinda, I bet you tayari wazee huko West wamehsaanza kumtayarishia mashitaka ya Tribunal, kama ya Taylor!
 
Mzee ES,
Aaaah vipi tena mwenzangu...hilo neno mwandawazimu siku hizi linatumika kwa mtu asiyejali, ogopa, mchukua risk pale kila mtu huchomoa. Hata muuza unga hasa wale wameza vipipi ama ambaye hupita sehemu zisizopitika na kushinda huitwa mwendawazimu...Yaani sifa yenye risk kubwa na bado unashinda..
Nilipoisoma hiyo barua ya huyu mshirika mwenyewe nilinywea, maanake huyu jamaa siku zote nashindwa kuelewa ubavu kaupata wapi! Nasikia Washington walipoipata barua wenyewe wametaka mazungumzo zaidi ya usalama badala ya agenda yao ya kuishambulia ama kuweka vikwazo. Libya nao wamekubali kuongeza kutoa mafuta kwa Marekani kufidia upungufu, sasa hivi urafiki umerudi tena kwa nguvu zaidi yaani Marekani sasa hivi amekuwa yeye ombaomba na kuwakumbatia madikteta wote!
Hivi, ni kitu gani hasa kinampa kichwa Ahmednajed kusimama na Bush hali majeshi ya Bush yako puani mwake!. Huu kama sii wendawazimu sijui niite nini.
 
Tunahitaji viongozi wanaothubutu kuiambia ukweli Marekani. Kwa Afrika Museveni amejaribu, japokuwa yeye huuma na kupuliza. Sioni uwendawazimu hapo.
 
Muda unakaribia kuifuta Israel kwenye ramani huu ni uendawazimu kabisa .Juweka maisha ya Wairan at rrisk kisa kukoroma ni uenda wazimu kabisa .Hamasi walisema wana nguvu na Iran na waarabu wakasema watasaidia kwenye Conference yao bado wanahitaji watu wa Ulaya .Nguvu ya Iran ni China na Urusi lakini vikiwaka hapo itakuwa kama Iraq ngoja mtaona .

Kuzoza ni jambo zuri tu lakini uangalie kwa marefu na mapana .Sasa wanaanza kunywea wao wazungu yeye anadhani wananywea kumbe wanaytaka support ataondolewa huyu maana anavimba kichwa .Ni hatari sana Iran kuwa na Nuklia tuache upenzi .Wana right ya kuwa nayo lakini wakiwa nayo basi Dunia itakuwa mbaya zaidi ya Osama sasa .
 
Mkandara,
Castro amenasa kwenye kile wanaita "time warp." Mapinduzi yake yalikuwa ya kihistoria lakini ameshindwa kupiga hatua sawa na mabadiliko kwingineko ulimwenguni. Si kwamba akane sera zake, la hasha, lakini atambue tu kwamba ulimwengu wa sasa sio ule wa mwaka 1958 na arekebishe mwelekeo wa nchi yake na kwamba mapinduzi ya wakyuba si ya uongozi wa mtu mmoja tu. Lakini vinginevyo amekuwa kiboko.
 
Huyu Mu-Iran ni mwenda wazimu, tazama yanayoendelea kwenye serikali ya Hamas, hela toka West hakuna tena, wananchi wanakufa kama mbuzi maana sasa hata hospitali hamna dawa, yaani mpaka European Union wameshituka nao hawapeleki tena misaada, huyu mzee wa Iran angejitahidi kuwasaidia Hamas kwanza, kuliko kuwa-provoke watu wa West kwani kipigo kipo njiani, nasikia mzee Bush ameapa kuwa hataondoka madarakani kabla hajaishughulikia Iran,

Ameshawatisha West inatosha sasa anahitaji kutulia ili angalau na chi zingine za wanyonge ziweze kupata pa kuegemea, kuendelea kwake na vitisho ni upumbavu tena ujuha! maana ni debe tupu ndio linapiga kelele siku zote sio lilojaaa kama Israel, so far wamenyamaza kimya, sasa wewe mzee Mwanasiasa usishangae siku moja huyu pumbavu akaifuta Israel kwenye ramani halafu akatugeukia bongo kuwa tunaitesa ZNZB, kwa hiyo akatufuta na sisi, sometimes muwe waangalifu na hizi tofauti zetu za kisiasa zisije zikawa-blind mpaka hamuwezi kuona ukweli,

Mzee Jasusi, kuhusu Castro hakuna cha kuongezea!
 
Mzee ES,
Ndugu yangu huyu jamaa sidhani kama anaweza kupiga mabomu kama madai ya Marekani... Huu ni uongo na uzushi kama vile tulivyokuwa tukiambiwa wakati wa Russia. maelezo ya huyu mshirika hakuna kiongozi yeyote ktk Western world anaweza kuyasema haya kwa mdomo wake. Hata sisi waafrika wenyewe tunashindwa kufungua vinywa vyetu, cheki kile kipengele alichosema:-
The people of Africa are hardworking, creative and talented. They can play an important and valuable role in providing for the needs of humanity and contribute to its material and spiritual progress. Poverty and hardship in large parts of Africa are preventing this from happening. Don't they have the right to ask why their enormous wealth -- including minerals -- is being looted, despite the fact that they need it more than others? Again, do such actions correspond to the teachings of Christ and the tenets of human rights?

Sijamsikia kiongozi yeyote Afrika akimsemea mbovu Bush hali tunaelewa kabisa huo ndio ukweli uliosimama. Jamani acheni, jamaa huyu zungu kweli kweli...Na labda anaweza kufanyiza kiukweli wakithubutu kumwondoa maanake inasemekana Mchina na Russia wameisha apa ikitokea vita basi wapo nae. Huyu bwana ni Castro wa karne hii mpya na kijasho kitaendelea kuwatoka Marekani. Huyu jamaa zungu kama Mkorea, wamesha kubali machungu yote kama ya Mugabe na sijui hatima yake lakini tu isije kuwa Bush ndiye anafanya makosa ukawa mwisho wa Marekani kuwa Super power maanake Mchina na Mrusi wote wanachokitafuta ni hicho... Kuikamata wao dunia.
 
ninakubaliana na Mkandara juu ya huyu jamaa. Mimi nimesoma ile barua iko very clear tena ameongealea nia ya kuwa na amani kwa wote waislam na wakristu na ndiyo matakwa ya mitume wetu!


Kinachoniuudhi ni siasa za unafikia za hawa ndugu wa magharibi na marekani! wao hawako consistent wanatataka siku zote tuseme ndiyo!!


India, Paksitani wana nyuklia lakini juzi hapa tumeona marekani inakubaliana na india etc.

Israel ina nyuklia, kama west au US ingelikuwa ndiyo inayoweka mitambo huko iran mambo yangelikuwa safi lakini kwa vile ni Russia makelele kibao! hapa kuna factor ya biashara mradi huo ni wa mabilioni. Africa tumenyonywa tumedhulumiwa na hawa jamaa! wamejemga miji yao kutokana na utajiri wetu lakini hadi leo hii wanaendelea kutuibia BILA HURUMA!!! MUGABE YUKO SAWA , CASTRO ALIKUWA SAWA ILA TU WANACHOFANYA NI KUVURUGA MAMBO YAKO ARTIFICIALLY ILI MAISHA YA WATU WAKO YAWE MABAYA HALAFU WAANZE KUSEMA SI MNAONA HUYU MWENDAWAZIMU ETC. LEO HII WAMERUDI KUTUNYONYA KWA MIKATABA FEKI YA MADINI KWA MFANO TUNAPATA 3% WAO 97%.

KELELE TUNAZOPIGA ILI JK AFUATILIE MIKATABA NINAJUA WATAKATAA NA TUKITUMIA NGUVU HAWA JAMAA WA WEST NA MAREKANI UTAONA WATAKAVYOVURUGA UCHUMI WETU ARTIFICIALLY NA HAPA HALI ZA WANANCHI ZITAKUWA MBAYA UKILINGANISHA NA WAKATI WA BMW. TUTAANZA JK DIKTETA ETC. USIPOKUBALIANA NA WEST NA MAREKANI WEWE NI DIKTETA!!
 
I have a problem na rais wa nchi moja, anapojaribu ku-question uhalali wa kuwepo kwa nchi nyingine, thta is out of civilization na international law, West wana matatizo yao so is the whole world,

lakini ni lazima tukumbuke historia, Hitler alianza hivi hivi Idd Amini alianza hivi, Saddam alianza hivi hivi, na hawa wa-Iran sio muda mrefu uliopita walikuwa vitani kwa hiyo kuna pattern ya behavior ya viongozi wa aina ya huyu Mu-Iran,

Now we can debate tabia za West na unafiki wao, lakini we cannot debate kitakachotokea huyu Mu-Iran akiwa na hilo bomu especially when the man is questioning the exsitence ya nchi nyingine ambayo ni jiran, Now yes kumpa Bush maneno yake ni lovely kwa sisi wanyonge tena plus, lakini kuifuta nchi nyingine kwenye ramani, NO1 that is insane!
 
Es na wengine nakubaliana nan hoja za kila mmoja wetu kwa kuwa sote tuna haki ya kusema tunavyo ona . Lakini nakubaliana an hoja ama point moja kwamba huyu jamaa ni hatari tena zaidi ya Saddam ama Hitler.Wabayo haki kweli ya kuwa na Utaalamu huo lakini sasa kama wana nia njema kwa nini wanakataa kuishia kwenye kiwango amvacho kinatakiwa kimataifa ?Hapa tu ndipo naona hawa jamaa hawana nia njema na tayari wamesha onyesha nia ya kuifuta Israel kweney ramani na na baadaye wataifanay Iraq kuwa mkoa na wengine wote .

The guy preaching to image as the voice of Islam on earth jamani lootk at this statement.Huyu jamaa ana akili na watu wake lakini hana Utashi hata kidogo na hapa kuna hatari .Leo mtasema wa west ni wabaya lakini kwa njia nyingine mna faida nao .Hata Waislam wengi wanao piga kelele za Ubaya wa West lakini walikimbia Nchi zao ikiwemo Iran wakaenda kweney West leo wamepata kila kitu na sasa wanaruhusiwa kupiga kelele na hata kugombea Uongozi nk .

Nakubaliana na wewe Es kwamba watu waangalie hali halisi kabala ya kuweka ushabiki .India wangalikuwa kama Iran wana nuclear nakueleza angalisha iwasha zamani sana kwa Pakistani lakini wapi wako kimya muda wote hiki tu ndiyo kitu nasema Bush iokoe Dunia .Mtadhani ni money deal leo kwa kuwa Russia na China wako huko lakini madhara yake kesho ni mabaya .Russia na China ni Nchi ambazo hazijali hata haki za binadamu kwa namna yeyote ile .Sawa na Iran sasa sitashangaa kuona upinzani lakini nasema Iran akiendelea hivi ataishia kama Saddam maan yalisemwa haya lakini leo hii China na Russia bado wanatizama tu .

Hawa wako after mafuta na deals lakini kwa hili kwa Uwazi US na EU wako kwa ajili ya Dunia tulivu na tuishi kwa amani .
 
Ndugu zanguni huyu jamaa nafurahisha tu wanyonge mchina na mrusi hawana ubavu hapo. Mchina hawezi kufanya ujinga kama alioufanya Yugoslavia mwaka 1999, kumsaidia milosovic; ule ubalozi wake uliripuliwa na nato na kuteketezwa.
Waulize Warusi mwaka 2003, walivyonaswa na balozi wao walipshindwa na kuanza kukimbia walivyoona majeshi ya marekani yanaelekea bagdadi, zile mbinu na technologia za night vision specs na zingine ziliishia wapi?

Hizi nchi mbili zina majukumu mengi mno na marekani kwa sasa hivi kwenye biashara na masuala mengi ya ushirikiano. Wanasema tu watasaidia ofcorse kuonekana kuwa diplomasia yao inafanya kazi lakini ukija wakati watasema Ahmedinajadi ni kichaa. Sadam kaishia wapi? Kila mtu anamwona mjinga. Kalalama ana WMD kumbe geresha toto akawaamsha wababe.

Sasa hivi suala la kuipiga au kotopiga iran ni suala la humanitalian baada ya vita, ambao labda itachukua mwezi mmoja au miwili. kumbuka iraqi ilichukuliwa baada ya siku 23. Kero kubwa sasa hivi ni athari ya matokeo ya vita. Kuongezea tena iran ndiyo inaumiza vichwa westerners.
 
Iran isijidanganye, itaamka siku moja hivi karibuni na kukuta moto unawaka. Siku Iran itaamua kupiga bomu Israel ili kuiondoa katika ramani ya dunia ndo siku Taifa la Irani litafutwa. Watu wasifanye dhihaka, Marekani haitasita even for a second, kutumia nguvu za Nyuklia dhidi ya Iran. Kama AhmedNajad anadhania anakauwezo ka kusimama dhidi ya Marekani anajidanganya na anaiweka nchi yake hatarani.
 
Wanabodi,
Ukweli uliosimama ni kwamba hakuna hata nchi moja ya kiarabu inayoamini kuwa Israel ni nchi ya hao wayahudi wa Urusi (Zion). Kila kiongozi hata huyo wa Saudia anaamini kuondolewa kwa utawala wa Israel. Nadhani hawa wote ni hatari zaidi kuliko hata Iran.. Hadi hapo tutakapo kuja elewa hasa undani wa issue ya waarabu na Israel labda hapo tunaweza kuchukua side ya haki ipo wapi. Kila kinachoonekana kati ya mataifa haya ni sura mbili mbaya zenye kila maovu. Nionavyo mimi kinachotuendesha sote hapa ndani ni imani zetu na haki za kibinadamu kwa sura moja ambayo kila mmoja wetu kaichagua..
Kama walivyodai makaburu South Africa miaka ileeee, Nyerere, Steve Bhiko, Oliver Tambwe na wengine wengi tu walisema ovyoo kishenzi nakuonekana wendawazimu. Uzuri wa mwendawazimu kusema kweli husema makusudio yake na wewe inatakiwa ukae naye mbali ama jiandae.. Lakini hakuna mtu mbaya kama yule anayecheka na wewe hali anakutafutia siku. Bush leo hii kiongozi mbaya kwa sababu ya uwemdawazimu wake, sawa huyo wa Iran, lakini yote haya yasemekana kwa habari za ndani ametumwa!... watu wamechoka na Marekani kuburuta dunia. Na Hakuna kabisa jambo litakalo mfanya Mmarekani aanze kurusha sumbwi kama utazungumzia Israel. Hapa swala sio kabisa Israel kwani Iran inatambua wazi hata wakisimama wao tu hamwezi Israel isipokuwa natumia jina kama vile Marekani alivyotumia jina la Cuba enzi za cold war!...
 
Mzee Bob,

Kuichukia US ni one thing na kuuliza uhalali wa nchi nyingine kuwepo duniani ni another story of itself, now should we go back kufuatilia mipaka ya nchi zetu kabla ya wakoloni kuja, then tutakua na a big problem hasa Africa,

Israeli is not goin' anywwhere, Iran ana beef gani na US ambayo inamfanya huyu jamaa kila kukicha ana something to say kuwachokoza US? Bob what if rais wa nchi nyingine akishauri kuwa ubalozi wetu ulipopigwa mabomu tuliupiga sisi wenyewe kama anavyoshauri kuhusu Sept/11 kule US kuwa walijipiga wenyewe?

Halafu anauliza kama Holocaust ni kweli ilifanyika? I mean watu millioni sita walikufa bila sababu na ushahidi wote upo kwani hata survivals wapo sasa, sasa Bob huyu jamaa Mu-Iran ni mawili either ni kichaa au ni political genius hakuna definition nyingine, kwa maneno yako huyu a genius?

What has Castro done kwa nchi yake, na wananchi wake? Mambo ya wananchi kuendesha mabaiskeli wakati yeye amepanda limousine ndio kiboko ya US hiyo? Sababu za Cold war hazifanani kabisa na matatizo ya waarabu na Israel, halafu huyu mu-Iran aache maneno mengi, kama ameamua kutengeneza bomu basi amlize kwanza halafu ndio aseme, I am afraid kuwa atawaponza wananchi wake bure,

halafu hawa wa-Iran ni waongo hawa, kwani at one point US ilishaamua kuingia vitani nao kwa makusudi US wakaenda Pakistani border na afgahanstan ambako kulikuwa na basi lililobeba madiplomats wa Iran karibu 40 na kulilipua lile basi makusudi ili kui-provoke Iran waingie nayo vitani, Iran kwanza wakapiga kelele weeee baadaye walipogundua who was behind it, wakanyamaza kimyaaaa.

Huyu jamaa mzee Bob mimi ninasema ni mwenda wazimu kwa sababu leo US, hata dunia nzima tukiungana against US bado hatuwezi kuwapiga, huyu mu-Iran anaweza kuwa na haki ya kuuliza policies za US, lakini anakuwa tatizo kwetu wote dunia nzima anapojaribu ku-question uhalali wa nchi kama Israel kuwepo na kwamba ni lazima ifutwe hapo tu ndipo anapoharibu, Israel is not goin anywhere labda yeye ndiye ataishia kule the Hague kwenye tribunal!

Ni lazima tuheshimu sheria za kimataifa kwa kuheshimu uhalali wa nchi zote duniani kuwepo, huyu mu-Iran ni bully mdogo sasa anataka kuchokoza bully mkubwa US, guess what very soon atapata anachataka nacho ni kupigwa bila huruma!
 
Mzee Es

Mimi naweza kuongea hapa watu mkadhani ni ushabiki lakini ukweli ni kwamba Rais wa Iran ni kichaa na walio mzunguka wana akili kama yeye ila hawana Utashi.Huyu jamaa anaonyesha ukichaa wake mkubwa kwa kuzunguka majukwaani na ku rally watu wake ambaye wengi wao hata kusoma hawajui na hawajahi kutoka hata Iran jimbo moja kwenda jingine .Pili si wanajeshi wale . Kaanza kwa ku test missiles na kusema ni unique hata Marekani hana .Anashikwa mkono na EU anakataa sasa moto utamwakia maana anawaweka pabaya jata Russia na China ambao wanasema zitumike Diplomatic means.

Huyu jamaa ni muoga maana anasema wakishambuliwa wao watapiga Israel haya yalikuwa maneno ya Saddam Hussein lakini aliishia wapi .Hapa si Ushabiki bali ni ukweli huyu jamaa siku zake za kuwa makujkwaani na kusema hovyo zinaisha.Iran na China na Russia lazima wajiulize kwa nini Iran agombane na US lakini EU wanahangaika ?US wako kimya wao wanajua na kutafuta kwa nini aseme hivyo na mwishowe mtaona wote hapa .

Kuendelea kumsemea huyi Mgonjwa wa akili Rais wa Iran ni kuhatarisha maisha ya watu mpaka kijijini kwangu .Mafuta ni juu na hatujui hadi lini .Maisha TZ yamependa kisa mafuta na mjinga mmoja kuja Visa vyake . Huyu jamaa ni msema hivyo lakini nasema China na Russia hawana msaada na huyu atakuja kushangaa akiwa kizimbani .

Huyu ni hatari san na hata Waarabu na wajanja kama Egypt wanajua kwamba Iran ana ajenda ya siri na nguvu yake si ya N.Korea akadhani US watafanya mistake ya maongezi marefu hapana maana wameona madhara yake .Na kama kweli ataishambulia Israel naami Waarabu watajuta maana itakuwa si mchezo .

Iran wanaleta matatizo na wala si Bush na kama kweli wanataka kwua na Umeme tu wa Nuclear mbona wanapewa msaada waachane na Urenium wanakataa ????Hawa wanaitaka Nuclear na hapa ndiyo mwisho wao .
 
Sijui kwanini tunazunguka zunguka na hatutaki kukiita "kijiko kijiko"? Barua aliyoandika huyu Rais wa Iran inanikumbusha barua ambayo Mtume alizituma kwa nchi zisizokuwa za Kiislamu na kuwataka wawe tayari kusilimu ama sivyo watakiona cha mtema kuni. Mwaka 628BK (6AH) Muhammad alituma barua kwa watawala wa mashariki ya kati na wale wa nchi za Magharibi zilizokaribu. Barua hii ilikuwa ni mwaliko kwa viongozi hao kupokea Uislamu au watakiona "Pokeeni Uislamu na amani na usalama vitakuwa vyenu".

Muhammad alituma barua hizo kabla ya kufanya mashambulizi. Hiki ndicho ninachokiona. Katika akili zake Rais wa Irani anajiona kuwa ni mwakilishi wa Waislamu wote na anafikiri kuwa wakati umefika wa Waislamu kusimama kidete dhidi ya magharibi na hivyo kuchukua nafasi ya kujenga tena umma wao, nafasi waliyoipoteza baada ya kuvunjika kwa utawala wa Ottoman.

Sasa miye sikutunga dhana hii. Tarehe 10 May (wiki iliyopita) akiwa ziarani Indonesia Rais Ahmedinajad aliulizwa kuhusu barua yake hiyo na waandishi wa habari na alikiri wazi kuwa lengo lilikuwa ni kutoa mwaliko kwa Rais Bush kurudi kwenye imani ya Mungu Mmmoja. Ulaya hawako tayari kushughulika na Iran kwani wao wana jamii ya Waislamu wengi na hawako tayari kuona mabomu yanalipuka tena!!!

Ukweli ni kuwa, Irani haitakuwa na silaha za Nyuklia, Marekani na Israel sasa hivi wameshaanza mazoezi ya kivita (visual war games). Wanachosubiri ni a clear and present threat toka Iran na wanataka Iran iendelee kuwasukuma, ila watakaposhambulia kila mtu ataelewa ni kwa nini. Sitashangaa, wakaacha hadi Irani ijaribu silaha ya Nyuklia au yenye uwezo wa kubeba kichwa cha nyuklia!!!! Halafu, Kaboom!!!
 
Am convinced na Waislam wa Ulaya nao wana uona moto sasa maana kwanza ni wakimbizi hawana sauti kwao wanaanza kusema wakiwa ugenini wanaminywa na kurudishwa sasa ili wakasemee huko kwako na mwa maana hiyo watakaa kimya maana nani anataka kurudi Iran kwa mfano ?
 
Mzee ES,
sasa umeona ukweli unavyozidi kujitokeza hapa?...
Kuna huyu anayejiita Mzee mwanakijiji ambaye anakuja na mapenzi yake bila hata kufikiri, jitu zima linasema ovyo! Yaani sikuelewa kama huyu jamaa mwenyewe ndio kundi la hao ambao kwamba!
Ebu nambieni jamani Mtume aliandika barua mwaka 628BK hiyo BK imesimama kama kifupi cha nini? Before Christ!.. hii mpya, na hata kama ikiwa baada ya Christ.
Je anafahamu kwamba Mtume hakujua kusoma wala kuandika zaidi ya hapo nchi gani za magaharibi ambazo anazungumzia zilikuwepo kiutalawa wakati ya mtume na waliweza kusoma Kiarabu. Huko Saudia kwenyewe wasomi walihesabika tena wanaojua kusoma na kuandika ndio elimu kubwa wakati huo nani aliweza kuandika lugha nyingine tofauti na kuzituma ktk mataifa.. pia hizo barua zilikwenda kwa njia gani.. DHL?... nani alimtambua Mtume kama kiongozi hali - waarabu wajulikanao kama Wasabi (Kureish) ndio walikuwa watawala. Yeye kama nani aandike barua hali maisha yake yote mwenyewe alikuwa akijificha kati ya Mecca na Madina.
Jamani acheni upuuzi wenu tunazungumzia mtu mmoja ambaye kaja na agenda yake. Siwezi kuutukana Ukristu kwa sababu ya agenda za Bush na kusema anafuata mafundisho yaa. Tuwe watu wazima, na ndio maana sikutaka kabisa kujiunga na hiyo site yake maana anaongea kama MLOKOLE!... Siasa na Dini vitu tofauti ndugu yangu unaonekana Mchawi tu. Mawazo yako yanaweza kuwa mazuri sana lakini kwa siasa za Bongo unaonekana sawa na huyo mwendawazimu Ahmadinejad.
 
Tukianza kufanya ushabiki wa dini, Hatutafika mbali!

Kwanza lazima mjue wote tunajua kuwa Marekani ina nguvu hakuna asiyejua kama washabiki mnavyofikiri! Sasa kuwa na nguvu isiwe watu iwe taabu duniani? nmara Marekani itawapiga Wairani, mara ilishaua watu wake kwenye bus etc! hapo ni nani mbaya?

Rais wa Irani naye hapaswwi kusema Israel ifutike kwenye ramani ya dunia! Ila ushabiki wa kushabikia Marekani eti simply kwa sababu ina nguvu za kivita!

Basi mwambieni JK aache kabisa kujaribu kupitia mikataba maana wakikataa Marekani na Uk iakuwa upande wao na tukitumia nguvu hapo mtasemaje? maana nguvu za marekani ni kubwa lakini Bush asizitumie vibaya!

Marekani na Uk walikuwa wanaunga mkono Makaburu, lakini leo hii waguse uone! Huko Libya inasemekana Manesi wazungu waliaambuka watoto Virus lakini hadi leo mnasikia Marekani na ulaya wanavyowatetea!

Kinachonumiza kichwa ni unafiki wa hawa jamaa halafu na tunavyogeuzwa vichwa nao!

Labda jadili hili kwa msalho ya taifa letu. Watoto wanapata taabu kumbe wengine wanatesa!
http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2006/05/18/66665.html
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom