Rais wa Iran kuishtaki TV ya taifa afidiwe kwa kutukanwa

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuka wanajamvi!

Rais wa Iran Hassan Rouhani ana mpango wa kuishtaki 'TBC' ya Iran Iran Broadcasting Corporation (IRIB),kwa kumtukana na kumkosea heshima.

Rais huyo ambaye anafahamika kwa upole amekereka sana na kuhuzunika baada ya kuambiwa eti anatumia na kuvuta madawa ya kulevya akiwa nyumbani kwake hadi mawaziri wake wanashindwa kuonana naye.

Hayo yalisemwa na mkufunzi na mrengo mkali wa Kiislamu anayeheshimika sana Iran na pia mshauri wa serikali Ahmed Jahan Bozorgi alipokuwa anahojiwa na TV iyo ya taifa. Lakini baadaye kukana kwa haraka.

itr.jpg


Mkufunzi huyo pia alilalamika vikali kwa nini Rais Rouhani ana urafiki na Joe Biden na analegeza sana mitandao ya kijamii.

Wanadai rais Rouhani ni 'softi' sana. Na Hizi ni harakati za 'hardliners' kufanikisha Rouhani harudi tena kuwa rais.

General Qassem Soulaymane aliyeuliwa na makombora ya drones ya Marekani ndie aliyeandaliwa na kuungwa mkono kumrithi Rouhani kwenye uchaguzi mkuu ujao na kuungwa mkono na wenye mrengo wa siasa kali.

Kuna msemo wa Rouhani unaheshimika sana EYES ARE THE MIRRORS OF THE SOUL!

616fc3fb2d4bee635c03cf992c4e8809.jpg

Source:
Aljzeera and The Telegraph
 
Mkuu acha utani yaani television ya taifa imtukane rais?
Yaan TBC ccm imukashifu jiwe.
 
Usichokijua Ni kwamba katika Iran raisi Rouhan Ni Kama picha tu. Rouhan Hana mamlaka ya maana. Ayatollah ndo contawa ama tunaweza kusema boss kubwa. Rouhan kachaguliwa tu ili kutimiza matakwa ya wamagharibi wanaotaka uchaguzi wa kidemokrasia.
 
Back
Top Bottom