Rais wa indonesia alivyowasili kwenye asian games 2018

Daah kwa kweli ni balaa. Hivi hapo suala la ulinzi linakuwaje? As far as the presidence is concerned

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hana makuu kwa wananchi wake sidhani kama ana la kuhofia..... Angalia huyu waziri mkuu huko Nertherland anaenda ofisini kwa baiskeli yake
Screenshot_20180824-160856.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom