Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja

Je ataweza kutuambia kwa nini raia zake wengi wanakamatwa kama wahamiaji haramu tena wana-risk maisha yao kwa kusafirishwa katika njia hatarishi na maisha yao?
Maisha ya mtu mmoja mmoja yana thamani kuliko siasa chafu za kukandamiza watu na maendeleo yasiyoakisi hali za watu.
Ethiopia or Somalia 🤔 au umeona vibaya? Mie sisikiag wa Ethiopia wakikamatwa sana, n normal tuu
 
Hata hamuwezi kufikiri. Dodoma ikulu bado ujenzi unaendelea huenda amepisha ujenzi halafu Chato sio mahali pa kawaida kwa sasa ni nyumbani kwa rais wa jamhuri na ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Kama mtu roho inauma gombea urais ukipata utaona kama mtu atakukataza kwenda kwenu hasa kama mama yako ni mgonjwa.
Kwa hiyo akiwa Chato huwa anafanya hivyo kuisha ujenzi Siyo....!!
 
Mabavicha yalichobaki nacho kwa sasa ni kuipigia debe corona tu basi
Ushauri basi hata wabure ,waongelee wale mwewe wetu waliogeuka kuku na kubaki kutafuta windo ardhini,ili mambo yaende.Kama uumzalendo wa kweli,ila kama maslahi piga kimya.
 
Ushauri basi hata wabure ,waongelee wale mwewe wetu waliogeuka kuku na kubaki kutafuta windo ardhini,ili mambo yaende.Kama uumzalendo wa kweli,ila kama maslahi piga kimya.
Huyo ni mpigania tumbo lake tu kila kukicha anajipendekeza ili angalau apate kauteuzi
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom