Rais wa DRC arudi aja Kenya tena kujadili usalama wa nchi yake

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa.

=======

DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city.

He was last in Nairobi early this month for the signing of the treaty for the accession of the DRC into the East African Community together with Kenyan President Uhuru Kenyatta, who is the current EAC chairman.

During the early April visit, he also attended the mini-summit on regional security that brought together the two leaders and President Yoweri Museveni of Uganda and President Paul Kagame of Rwanda.

DR Congo President Felix Tshisekedi and Kenyan Foreign Affairs CS Raychelle Omamo.

DR Congo President Felix Tshisekedi and Kenya's Foreign Affairs Cabinet Secretary Raychelle Omamo in Nairobi on April 20, 2022. PHOTO | COURTESY | KENYA'S MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS

According to the Congolese president's communication office, “during their last quadripartite meeting which took place early April at State House in Nairobi, the four heads of state had made a commitment to meet again in a fortnight to continue their discussion, on the thorny issue of insecurity in the region, particularly in the eastern border provinces of the DRC.”

Tshisekedi's communication office says that five heads of state will take part in the mini-summit which should “lead to a commitment by the member states.”

Source: The Eastafrican
 
Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa......

DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city.

He was last in Nairobi early this month for the signing of the treaty for the accession of the DRC into the East African Community together with Kenyan President Uhuru Kenyatta, who is the current EAC chairman.

During the early April visit, he also attended the mini-summit on regional security that brought together the two leaders and President Yoweri Museveni of Uganda and President Paul Kagame of Rwanda.

DR Congo President Felix Tshisekedi and Kenyan Foreign Affairs CS Raychelle Omamo.

DR Congo President Felix Tshisekedi and Kenya's Foreign Affairs Cabinet Secretary Raychelle Omamo in Nairobi on April 20, 2022. PHOTO | COURTESY | KENYA'S MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS
According to the Congolese president's communication office, “during their last quadripartite meeting which took place early April at State House in Nairobi, the four heads of state had made a commitment to meet again in a fortnight to continue their discussions…on the thorny issue of insecurity in the region, particularly in the eastern border provinces of the DRC.”

Tshisekedi's communication office says that five heads of state will take part in the mini-summit which should “lead to a commitment by the member states.”

Kenya offers a good example of what insecurity is all about. While tribalism is at its peak, especially during this election time, Al shabab is terrorizing major part of the country, where good wananchi can't have calm nights. Tanzania should widen its area the area of patrol so as to help our neighbors experiencepeace peace at least once in their lifetime. It's more alarming,as rogues in Kenya are close to take over the government.
 
Tuliwaambia humu ujio wa DRC ndani ya EAC ndio mwisho wa maringo yenu, endeleeni na hizo ngonjera zenu, hebu ona Mtanzania mwenzako alivyoidadavua Ole Mushi: Watanzania tumejipangaje kuipokea Congo kwenye EAC?
 
Hapo ni sawa na mgonjwa aliyetoka wodini akaenda kumuomba mwinzie aliyepo ICU amuongezee damu.

Tanzania itendelea kuwa kiini cha EAC kwa sababu mbalimbali ikiwepo, ndiye member anayepakana na members wengi zaidi kwenye jumuiya.

Kati ya nchi saba za EAC, ni Tanzanian pekee inayopakana na nchi zote isipokuwa S. Sudan. Hilo peke yake ni faida. Zingatia bado hatujakamilisha kuwashawishi majirani zetu kama vile Malawi, Zambia, na Mozambique wajiunge EAC.

Tuendako EAC itastawi sana(hasa ikiwa Kenya mtaacha tabia za udokozi na unafiki) kitu kitakacho tamanisha nchi nyingi kujiunga kwenye jumuiya.

Hata kipindi ambacho EAC itakuwa kwenye kilele chake cha ukubwa, Tanzania bado itendelea kuwa center ya EAC na members wengi wata revolve around Tanzania.
 
Endeleeni kuwa kiini na sijui mavitu gani mengine mnapenda kujiita, sisi tunapiga hela, mpaka hapo mabenki yetu yanaongoza DRC bila ya wao kuwa nasi kwenye muungano wala kuchangia mpaka, sasa tuko nao ndani ya muungano, jamaa hata wiki mbili hazijaisha amerudi Nairobi kuendelea kuweka show sawa.
DRC batoto bakongo Boyei bolamu
 
Kutangulia siyo kufika, hata Bongo kuna banks za Kenya lakini zimepelekeshwa mpera mpera na za kibongo.
Sector ya bank Tanzania tayari ilishakomaa hadi kuvuka mipaka. Bank ya CRDB wapo Burundi kitambo, process za kupenya nchi zote jirani zinaendelea.

Mji wa pili kwa ukubwa DRC ni Lubumbashi, linapokuja swala la kutumia bandari hawana option nyingine zaidi ya Dar port. So wafanyabiashara wataona ni afadhali zaidi kuwa na account kwenye bank ya kitanzania, wasafirishaji nao hivyo hivyo.
Huyo ni kwa Mkongo pekee bado Zambia, Malawi, Rwanda, Uganda, na Burundi wanapitisha mizigo yao Tanzania. Ukumbuke Tanzania ndiye major exporter wa mazao na hasa ya vyakula kuliko member yeyote so wafanyabiashara wengi jirani watafanya shughuli zao TZ.
Hata kama banks za Kenya zitafungua matawi Bongo ili kudaka wateja wa nchi zinazotegemea Tanzania kibiashara, Tanzania itanufaika kutokana na hizo bank za Kenya sababu mtalipa kodi ya eneo, leseni ya biashara, zitalipia umeme TANESCO, Wafanya kazi wa hizo banks wataishi na ku spend mishahara yao Tanzania.
Tanzania kuwa mnufaika Mkuu wa EAC halizuiliki. Siku Bank za Bongo zikipenya kwa majirani wengine kisawa sawa, banks za Kenya zitakuwa na wakati mgumu kibiashara.
 
Bongo mumelala, mlitangulia kitambo kuwa nao kwenye muungano wa SADC, mkawa nao kwenye mpaka mrefu lakini hadi leo ni ngonjera, tatizo lenu maneno mengi na matendo zero, uzembe wa kijamaa umewalemaza sana nyie, nashangaa sana eti mpaka leo kuna baadhi ya hayo mataifa yanaatumia bndari yetu, mataifa ambayo yako mbali sana na sisi ila yanalazimika kuhangaika kuja hadi Mombasa.
 
Ukiona mtu wa mbali anatumia bandari zenu wakati mwingine wanavusha magendo ambayo ingewawia vigumu kuyapitisha Tanzania sababu ya ulinzi imara.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ukiona mtu wa mbali anatumia bandari zenu wakati mwingine wanavusha magendo ambayo ingewawia vigumu kuyapitisha Tanzania sababu ya ulinzi imara.

Hehehe! Umesababisha nimecheka sana, nyie hapo mumetafunwa raslimali zote zikiwemo madini ndio una jeuri ipi ya kuongea dhidi ya magendo.
 
Huku nchi inaliwa na wenye nchi siyo na mchwa kama Kenya.
 
Ingekua inaliwa na wenye nchi, mngekua nchi tajiri sana, lakini licha ya raslimali zote hizo nyie bado maskini wa kutupwa, mnazidiwa kiuchumi na kainchi kadogo kama Kenya, ambako hakana raslimali na nusu ya nchi ni kame tupu.
Mumeliwa sana nyie watu...
 
Nyie mnaweza kuwa ns GDP kubwa ila kwa maisha bora wabongo tumewaacha mbali sana.
 
Mimi huwa nawashangaa sana wakenya wa JF, huwa wanapenda kuja hapa JF na mada uchwara ili kujifariji kwa vitu vidogo sana kwa kujilinganisha na Tz. Kenya kiuchumi (kwenye makaratasi) iko juu zaidi ya Tz, sasa kulazimisha kushindana na Tz kwenye uchumi bado sijui mantiki yake?

Hizi blah blah za kusema mimi mkenya, yule mtanzania katika karne ya 21 ni utoto sana. Ukiwa na pesa kwa dunia ya sasa unaweza kwenda popote kuwekeza na hata uraia wa hiyo nchi ukitaka utapewa kwa heshima.

Toka DRC inapata uhuru haijawahi kuzuia mgeni kwenda kufungua benki Kinshasa na wala hakuna ubaguzi au upendeleo wa kinchi, sasa hii ajabu ya wakenya kwenda DRC inatokea wapi?
 
Mkileta za kuleta huwa mnajbwa kama mlivyokuja, soma tena hili bango upya kama kuna sehemu niliitaja Tanzania.
 
Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa.

=======

DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city.

He was last in Nairobi early this month for the signing of the treaty for the accession of the DRC into the East African Community together with Kenyan President Uhuru Kenyatta, who is the current EAC chairman.

During the early April visit, he also attended the mini-summit on regional security that brought together the two leaders and President Yoweri Museveni of Uganda and President Paul Kagame of Rwanda.

DR Congo President Felix Tshisekedi and Kenyan Foreign Affairs CS Raychelle Omamo.

DR Congo President Felix Tshisekedi and Kenya's Foreign Affairs Cabinet Secretary Raychelle Omamo in Nairobi on April 20, 2022. PHOTO | COURTESY | KENYA'S MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS

According to the Congolese president's communication office, “during their last quadripartite meeting which took place early April at State House in Nairobi, the four heads of state had made a commitment to meet again in a fortnight to continue their discussion, on the thorny issue of insecurity in the region, particularly in the eastern border provinces of the DRC.”

Tshisekedi's communication office says that five heads of state will take part in the mini-summit which should “lead to a commitment by the member states.”

Source: The Eastafrican
Remember UK is currently heading the EAC chair,so,DRC must come to Nairobi to him,na sio bilateral visit.
 
Back
Top Bottom