ABIBU CHENGULA
Senior Member
- Oct 15, 2017
- 162
- 102
Habari,naomba kujua kwa anaejua siasa ya Congo siku mbili hizi,ikiwa rais mpya anamiezi kazaa bila waziri mkuu
Waziri mkuu mpya ni professor Ilunga, nishaweka uziHabari mpya ni ya Moise Katumbi kukaribishwa arudi home, nahisi/labda ndiye waziri mkuu mtarajiwa. (maoni tu)
Shangwe DRC Moise Katumbi akaribishwa nyumbani.
Shangwe DRC Moise Katumbi akaribishwa nyumbani - BBC News Swahili
Kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidmeokrasi ya Congo Moise Katumbi amelakiwa na maelfu ya wafuasi Lubumbashi baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka mitatuwww.bbc.com
Waziri mkuu mpya ni professor Ilunga, nishaweka uzi
Sawa huppoliteHahahaha ,huwa nafurahi sana nikiona Mada za kuhusu Congo
HahahahaSawa huppolite
KanambeHahahaha
DRC kuna rais? au kuna shithole head imekaa hapo!Habari,naomba kujua kwa anaejua siasa ya Congo siku mbili hizi,ikiwa rais mpya anamiezi kazaa bila waziri mkuu
Hahahaha, hongera kwa kujua hayaKanambe
HahahahaDRC kuna rais? au kuna shithole head imekaa hapo!