Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Nani atakaye halalisha hapo Tanzania? Rais aliyeko madarakani?Kwa matumizi ya matibabu hasa ya msongo wa mawazo ihalalishwe tu
Nani atakaye halalisha hapo Tanzania? Rais aliyeko madarakani?
Wote ni machizi tayari, viwango tu ndio vinatofautianaUkivuta bangi wewe ni chiz wa baadae
Hahahaah we jamaa umetisha. Kama mjengoni wapo wabunge wenye mwelekeo kama wewe watapaza sauti zao ili hii kitu ihalalishweKati ya habari nzuri nilizopata leo yani hii ndio ya kipekee. Mungu aweze kumbariki huyu rais ampe hekima na amjalie uzima maisha marefu na afya. Nina uahakika atakumbukwa milele na vizazi vijavyo vya wakolombia.
Baada ya kusoma huu uzi ntatumia siku ya leo mahusus kuisoma hii nchi ya kolombia. Tayari wenzetu wameshaimarisha mustakabal wa nchi yao wameweka nguzo imara thabiti ambayo taifa Lao litanufaika katika nyanja tofauti za maendeleo ya kweli.
Na sisi hapa kwetu hatuta kataa tamaa tutazidi kupaza sauti zetu hadi kieleweke. Ila inaniuma kwa nini CCM walimpiga chini aliyekuwa mbunge wa mkuranga AM kwenye kura za maoni jimboni kwake jamaa alikuwa mmoja wetu tena benet na mqwere cjui tulikuwa wapi angetusaidia hii kitu ihalalishwe.
Legalize it
Umeelewa nnachomaanisha, usijitoe akiri. On the other side watu wote wana akiri lkn yule kipanga watu wanasema, 'ana akiri'Wote ni machizi tayari, viwango tu ndio vinatofautiana
Kupitia bunge la wananchi, ni kiasi cha kujenga hoja mahiri na kuandaa watu wa kuitetea kwa nguvu zoteNani atakaye halalisha hapo Tanzania? Rais aliyeko madarakani?
Akiri = akiliUmeelewa nnachomaanisha, usijitoe akiri. On the other side watu wote wana akiri lkn yule kipanga watu wanasema, 'ana akiri'