vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,803
- 2,185
Mwali alifanyiwa send-off jumapili iliyopita, leo naona nduguyake kapita hapa amevaa Dela jipya, chupi la zamani...teh
umemaliza kila kitu
Mwali alifanyiwa send-off jumapili iliyopita, leo naona nduguyake kapita hapa amevaa Dela jipya, chupi la zamani...teh
Nimeshuhudia misiba minane hadi LeoSio kila kitu kupinga pinga tu - wewe ulitakaje? Ulitaka madaktari wahitishe press conference wazungumzie masuala ya maabukizi ya virus Nchini wakiwa na lengo la ku pre empty kauli ya Serikali ambayo ndio mwajili wao - nchi haendeshwi kihuni kama mnavyo taka. Labda ni kuhoji swali dogo kama unafikiri maambukizi ya corona ni mengi sana nchini, ebu twambie umekwisha shuhudia misiba mingapi ya Corona katika mitaa unayo ishi, tuanzie hapo kabla hatuja jadiri horror stories zenu.
Bila kuwepo TESTING kama inavyofanyika katika Nchi nyingi duniani ili kujua idadi ya maambukizi mapya na ya vifo, hii kauli ya chama cha madaktari ni uongo wa kupindukia.
Unasemaje kwamba ugonjwa umepungua wakati hakuna TESTING kwa mwezi sasa? Kwanini hakuna TESTING wakati tumeambiwa kuna maabara mpya? Hiyo maabara imekuwa ni MUSEUM!?
Nimeshuhudia misiba minane hadi Leo
Mpumbafu sana wewe, yaan na elimu yako ya kaptura unakuja kupinga wenye akili zao?Huu ni ujinga wa hali ya juu sn. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo.......
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Kama kawa! Wewe na CHADEMA!Chadema bwana, mtaalamu kila mtu mwaka huu,
Wacha ujinga wewe,You don’t know common sense is common.
Mataga acha kubwabwaja. Sasa hapo point yako iko wapi?
100% correct!Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo...
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Good day matagaToo myopic to see my point - Goodday.
wanatafuta teuzi tu hao! au ni rushwa ili watangaziwe ajira?Watalaam nao wamegeuka wanasiasa. Walete takwimu sio hizi porojo.
Tumia akili, nimesema tatizo lipo lakini haliko kama linavyo kuzwa,unaowajua wewe utakuta ni hao hao na wala yamkini wasife kabisa, sasa kamata na watu kadhaa hata mia moja wasio na viashiria vya siasa za kipuuzi waulize kama wana wagonjwa wa covid majumbani au kwa majirani,hakuna!!Mkuu ofisi kwangu nina wagonjwa wawili,wanadalili zote za covid 19,wapo nyumbani tu maana hakuna utaratibu wowote wa kupima covid hapa Tz.wenzetu huwa wanasema,tume pima sampuli 2000 na hakuna kisa,Sasa wewe unasema maambukizi yamepungua na hujapima hata mtu mmoja? Tunadhani tunasikilizwa na wanaccm tu?
Mkuu, Watanzania kuna sehemu tunakwama sana, kupokea habari za kuskia na kusambaza bila kuwa na uhakika, naamini mitaani kungekuwa na vifo hivyo vinavyosemwa na hao wahabarishaji uchwara huko twita vingetosha kutufumbua macho na kuona wenyewe ukubwa wa tatizo. Ila tunaambiwa watu wanakufa wengi, mahospitali yamejaa wagonjwa wa covid, ila mtaani hatuoni hayo, unabaki kujiuliza kuwa hao wanaokufa wanatoka Mars au Jupita maana mtaani hatuoni hiyo misiba kwa kiwango hicho.
😂😂😂😂😂😂Nyie ni kati ya watu wapuuzi na wajinga sana. Kutumbuliwa kwenu kusiwafanye mtuaminishe kisicho kuwepo,tuko nchini humu humu na hatuna Covid mitaani, pumabvu zenu