Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

Godfrey-K

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
1,657
2,000
Sio kila kitu kupinga pinga tu - wewe ulitakaje? Ulitaka madaktari wahitishe press conference wazungumzie masuala ya maabukizi ya virus Nchini wakiwa na lengo la ku pre empty kauli ya Serikali ambayo ndio mwajili wao - nchi haendeshwi kihuni kama mnavyo taka. Labda ni kuhoji swali dogo kama unafikiri maambukizi ya corona ni mengi sana nchini, ebu twambie umekwisha shuhudia misiba mingapi ya Corona katika mitaa unayo ishi, tuanzie hapo kabla hatuja jadiri horror stories zenu.
Nimeshuhudia misiba minane hadi Leo
 

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
14,079
2,000
Bila kuwepo TESTING kama inavyofanyika katika Nchi nyingi duniani ili kujua idadi ya maambukizi mapya na ya vifo, hii kauli ya chama cha madaktari ni uongo wa kupindukia.

Unasemaje kwamba ugonjwa umepungua wakati hakuna TESTING kwa mwezi sasa? Kwanini hakuna TESTING wakati tumeambiwa kuna maabara mpya? Hiyo maabara imekuwa ni MUSEUM!?
Wewe umezoea ku-copy and paste ndio sababu unataka kulazimisha Tanzania yote tuinge hiyo tabia, hatutaki. Madaktari ni waongo ambao wanafanya kazi kwenye hizo Hospitali sema ukweli wewe sasa, wacha kulialia.

Unakubali kwamba kuna maabara mpya lakini mengine unayoambiwa huamini, kwa nini usikubali kwamba hata hiyo maabara mpya hakuna? Kumbe unachagua vya kuamini? Another useless bugger wasting our time and space.
 

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
1,152
2,000
Huu ni ujinga wa hali ya juu sn. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo.......
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Mpumbafu sana wewe, yaan na elimu yako ya kaptura unakuja kupinga wenye akili zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
9,621
2,000
Idadi ya kupungua ni ipi? Na imepungua kutokea ngapi? Na speed ya visa vipya ni ngapi? Je, katika kupungua huko, wangapi wanaondoka duniani kwa style ya one way?
 

Asiye na Chama

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
1,204
2,000
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo...
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
100% correct!
 

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,112
2,000
Mkuu ofisi kwangu nina wagonjwa wawili,wanadalili zote za covid 19,wapo nyumbani tu maana hakuna utaratibu wowote wa kupima covid hapa Tz.wenzetu huwa wanasema,tume pima sampuli 2000 na hakuna kisa,Sasa wewe unasema maambukizi yamepungua na hujapima hata mtu mmoja? Tunadhani tunasikilizwa na wanaccm tu?
Tumia akili, nimesema tatizo lipo lakini haliko kama linavyo kuzwa,unaowajua wewe utakuta ni hao hao na wala yamkini wasife kabisa, sasa kamata na watu kadhaa hata mia moja wasio na viashiria vya siasa za kipuuzi waulize kama wana wagonjwa wa covid majumbani au kwa majirani,hakuna!!

Mimi siyo mwana siasa lakini nafanya kazi ya shirika binafsi na tunatembea kuliko unavyo fikiri na hatuwaoni hao wagonjwa,msipende kukuza mambo,ingekua kama isemwavyo si tungekua tunaona miili mitaani imelala tu imekufa,sasa iko wapi?

Mmesahau kuna Malaria na HIV mbona yenyewe hamsemi ilihai inachukua watu?kuweni wastaarabu acheni idara husika zifanye kazi, msikasirike kwa kutumbuliwa kwenu au mapenzi yenu ya siasa iwapo mnashabikia siasa
 

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,112
2,000
Watu wengi wanao piga makelele utakuta ni kati ya wale waliotumbuliwa na wenye vyeti feki,wapenzi wa siasa pia na wala si waTanzania wastaarabu wa siku zote. Hawa ni watu wapuuzi wanaotafuta kuchafua yamkini Rais na Serikali na yanajisahau hata yenyewe ni mazaliwa ya nchi hii hii,sa sijui wanamchafua mtu au wanajichafua wenyewe bila msingi
Mkuu, Watanzania kuna sehemu tunakwama sana, kupokea habari za kuskia na kusambaza bila kuwa na uhakika, naamini mitaani kungekuwa na vifo hivyo vinavyosemwa na hao wahabarishaji uchwara huko twita vingetosha kutufumbua macho na kuona wenyewe ukubwa wa tatizo. Ila tunaambiwa watu wanakufa wengi, mahospitali yamejaa wagonjwa wa covid, ila mtaani hatuoni hayo, unabaki kujiuliza kuwa hao wanaokufa wanatoka Mars au Jupita maana mtaani hatuoni hiyo misiba kwa kiwango hicho.
 

Goliati mbishi

Senior Member
Apr 2, 2020
109
225
Nadiriki kuwaza WATANZANUA NI WATU WA HOVYO ingawa si wote!!! Raise wa madaktar katoa tsarifa covid19 inapungua, wewe Ni Nani hata upinge Haya let na we analysis yako kuonyesha Corona inaongezeka! Ww unaepinga Ni mwehu sawa na mwehu mwingine!

Ulitegemea WATANZANUA tufe Iki upate nn? NDO HIVYO SASA CORONA IMEPUNGUA KAJINYONGE PUMBI WEWE. HAKUNA JEMA LINALOFANYWA NA SERIKALI KILA SIKU KUPINGA TUU!!

Yaani we Ni wa hovyoooo! Natamani nikupe za uso ila unaudhi Sana. Hiii Ni taarufa nzuri mungu kasaidia ugonjwa inapungua si tushukuru mungu basi! MJINGA KABISA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom