Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

Hata mm nakubaliana nao. Maambukizi yamepungua coz kelele zimepungua kama sio kuisha kabisa, maana mwezi April mwishoni kelele kila kona.

Hata yule bwana wa tweeter wa proton.com kaacha kutangaza vifo.
 
Wakitoa takwimu wataalamu wa afya hamtaki, akisema Rais wa nchi hamtaki, akisema Waziri wa afya hamtaki, akisema Mbowe mnakubali, akisema Balozi wa Marekani mnakubali. Hivi nani kawaroga?
wewe mataga acha porojo zako weka hizo data za balozi wa marekani tuone. Au unabwabwaja tu mataga ili ulipwe?
 
Hata mm nakubaliana nao. Maambukizi yamepungua coz kelele zimepungua kama sio kuisha kabisa, maana mwezi April mwishoni kelele kila kona.

Hata yule bwana wa tweeter wa proton.com kaacha kutangaza vifo.
Mataga njoo hapa mwenge ule kitimoto, pole pole si amewalipa Jana?
 
Wagonjwa wamegoma kwenda hospitali kwani kinachofanyika huko ni siasa tu ambazo zinawafanya wapoteze maisha. Hivyo wagonjwa kupungua hospitali haimaanishi kuwa ugonjwa umeisha
 
Kupenda kufikiri uwezavyo,kujijibu na kuhukumu ni aina ya ujinga pia. unakaataje wakati wamesema wao,hapo ulipo usikute hujawahi kumuona hata mgonjwa wa Covid,wala hujafiwa na ndugu,rafiki na jirani ila unaongea tu..sasa hivyo vifo mitaani viko wapi?hata uongee na watu mia hutamuona anaekwambia kua kafiwa na ndugu au jirani kwa Covid,sisi wengine ni watu wa masafa mikoani kila kukicha na kupita huko mitaani lakini hatuoni vifo vya Covid-19. Sijui waTanzania mmerogwa na nani,natambua tatizo lipo lakini halipo kwa kiwango kisemwacho
Hivi hujioni kwamba wewe ndio mjinga mnadhimu au?,
 
Sio kila kitu kupinga pinga tu - wewe ulitakaje? Ulitaka madaktari wahitishe press conference wazungumzie masuala ya maabukizi ya virus Nchini wakiwa na lengo la ku pre empty kauli ya Serikali ambayo ndio mwajili wao - nchi haendeshwi kihuni kama mnavyo taka. Labda ni kuhoji swali dogo kama unafikiri maambukizi ya corona ni mengi sana nchini, ebu twambie umekwisha shuhudia misiba mingapi ya Corona katika mitaa unayo ishi, tuanzie hapo kabla hatuja jadiri horror stories zenu.
Mataga acha kubwabwaja. Sasa hapo point yako iko wapi?
 
Umesema maambukizi/wagonjwa wamepungua kutoka 90% mpaka chini ya 10%. Umewapima kwa vifaa vipi? Kwani maabara inafanya kazi? Wagonjwa umewapata wapi wakati watu wameamua kufia nyumbani?

Sikulaumu, short of that unarisk kazi yako. Lakini umeiaibisha taaluma yako! Kwa mwelewa atakosa imani na udaktari wako! Why not keep quiet? Labda kama ni maagizo uzungumze, then huna la kufanya
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu sn. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo.......
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
hivi umeelewa kweli ata ulichoandika
 
Mbona nimemsikia akisema kwamba "kati ya sampuli zinazopelekwa maabara, ni chache sana zinazokutwa na + kadri siku zinavyokwenda".

Inamaana maabara zinafanya kazi, na sampuli zinaendelea kupimwa kama kawaida.
 
Walisema utaratibu wa kupima unaendelea...Na juzi tu si walitangaza kuhusu hilo...Keep updated mzee
 
Sio kila jambo lipingwe kwa takwimu..tumia common sense..mengine yanapingwa kwa facts na reality.

#MaendeleoHayanaChama.
mbna umehamaki sana mkuu? Wew research na takwimu zako ziko wapi kupinga tamko la raisi wa madaktari Tz? Au una maabara na hospitali zako ulizo admit wenye korona? Jifunze kupinga kwa takwimu. Kama huna shut up.
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu sn. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo.......
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti

Mkuu, ulitaka waongee kile wewe unataka kusikia? Wao ndio wako field, wewe huku mtaani unatumia vigezo gani kuita walichosema ujinga?
 
Back
Top Bottom