Rais wa Chama cha Madaktari kufikishwa mahakamani leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa Chama cha Madaktari kufikishwa mahakamani leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Olesambai, Aug 6, 2012.

 1. O

  Olesambai Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Rais wa chama cha madaktari Dr. Namala Mkopi anafikishwa mahakamani leo kujibu tuhuma zinazomkabili.

  Namala anashtakiwa kwa kukaidi kutii maagizo ya mahakama ya kuwataka madaktari kuacha mgomo kwa kushindwa kutangazia umma kuwa mgomo umesitishwa. Wanajamvi mlio karibu na mahakama mfuatilie ili mtujuze.

  Source: Radio Free Africa.
   
 2. m

  mob JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,028
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 280
  Hivi wakuu ndugu yetu mpiganaji ulimboka anaendeleaje au ndo tumemtelekeza?
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Serikali dhaifu ya JK inatapatapa sana naona karibu inakata roho.RIP serikali dhaifu.
   
 4. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Hii nchi ya ajabu sana, kesi ya Madaktari inaamuliwa ndani ya siku 3 lakini ya Mafisadi miaka 3!!! ndio maana mm naona hizi mahakama ni za kienyeji,zinaongozwa kienyeji na watu wale wale ambao hawana usafi wowote...
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  naona malaria yako imepanda.nenda haraka hospitali upate vipimo na dawa.
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ngoja apambane na mkono wa sheria. Hata kama unatumiwa unatakiwa kushauriana na wanaokutumia ilim kuheshimu sheria za nchi pale inapohitajika.
   
 7. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  sirikali ipo necked kabisa...bishaa?
   
 8. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,234
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  Hilo neno kwenye red linamaanisha nini?
   
 9. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Rais dhaifu siku hizi kawa jaji anaingilia mahakama, shame on you dhaifu.
   
 10. m

  mamajack JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe mwehu hakuna mkono wa sheria hapo ni mkono wa wapuuzi magamba wanyonyaji wezi walafi wazambiki wanafiki wehu wapuuzi,........huyo hakutumiwa wewe ndo unatumiwa tena wanakutumia sana ndo maana mbinafsi.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mahakama ipi? mmmhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!! Nimekumbuka Kumbe ni ile mahakama yao iliyoko Misitu ya Pande walikoenda kumhukumu Dr Ulimboka
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Wewe mtumwa wa mafisadi ulikuwaga wapi?
  Ni takrban miezi kadha imekatika cjakuona jamvini,Je? Kuna usalama huko ulikopoteleaga?
   
 13. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  wanamuonea bure mkopi, mgomo uliitishwa na jumuiya ya madaktari inayoongozwa na dr ulimboka sasa dr mkopi anahusika vipi wakati yeye ni rais wa MAT ambayo haikuitisha mgomo? mahakama katika hili imepepesa machk
   
 14. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  By T. Lissu
   
 15. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Kwani ulikuwa hujui ? Mahakama za Gachacha si ndo zimebakia Bongo
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe si ndiye mwenye Malaria Sugu. Kwa bahati mbaya malaria yako yatatibika tu itakapokufa serikali dhaifu ya CCM. Nina maana utakufa nayo maana maiti hukoma kuongea.
   
 17. b

  bdo JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280

  hapo kwenye blue: Tundu Lisu alishasema, kuwa uteuzi wa majaji ni wa hovyo
   
Loading...