Rais wa Chad/Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika alifata nini nchini?

Sasa mkuu kama alikutana tu wawili wakaogea yao we unadhani kuna mwenye fununu tofauti na rais mwenyewe?

Labla uwatafute kati ya hao waliokutana ndiyo wenye ukweli
Hiki kitakacho jadiliwa hapa hakina tofauti na vijiwe vingine vya ghahawa!

Labla umshtue super Intelegencia wa internet C.E.O the former Rusia intelegency Yericko Nyerere
 
Nadhani hilo ndilo lililomleta.
Sipingani na hilo wazo lako, tusubiri application ya hizo mbinu.........ukizingatia operation mpya imetangazwa, tutasikia kubwa kuliko lile la mikutano hadi ''20.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom