Rais wa Burundi ametumia ndege ya Serikali ya Tanzania kurudi nchini kwao halafu CHADEMA wanadai sisi siyo Donor Country

Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata Chadema wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Complementary support in deep pains and losses (tozo ya miamala ya simu)!
 
Hahahaaaa...... Naelewa bwashee Bujibuji ni mnywa kimpumu fulani.
Sio kimpumu tu, na komoni, na ulanzi na mchujo, ni mzee wa kutagila na fwefwe.

Pichani ni kaka yangu mpendwa, mzee wa ma Heineken johnthebaptist akijiburudisha na Heineken yake.

Kitu cha kijani

1635069206659.png
 
Acha njoo unaitwa huku!?

Kwa hiyo kumpa mtu lift ya usafiri ni kuwa donor country!!!
So unataka kutuaminisha kuwa Burundi hawana uwezo wa kunua ndege ya rais wao au hawana ndege?
Diplomatic deeds msizichanganye na ujinga wenu wa chato
Na wewe kweli unajiona una akili timamu kweli?
 
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata Chadema wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Lini chadema wameshainenea mabaya nchi hii! Mi najua xhadema wanapinga uozo tu wa madictator kama jpm na mauaji alihoyafanya basi. Kwa hiyo katika wazalendo namba moja ni hadema na jpm hakuwa mzalendo kabisaaa! Ila kama we ni mbumbumbu huwezi wajua chadema utakshi kupapasa tu
 
Donor country wakati Kuna timu imeondolewa mashindanoni kwa kukosa mil 20 ili wakodiahe ndege. Just imagine 20 million shillings leads to disqualification from the tournaments!! ? What a shame to the so called donor country!
Vibali vya ndege zetu kutua walipokua wanacheza ndio vilikua changamoto
 
Lini chadema wameshainenea mabaya nchi hii! Mi najua xhadema wanapinga uozo tu wa madictator kama jpm na mauaji alihoyafanya basi. Kwa hiyo katika wazalendo namba moja ni hadema na jpm hakuwa mzalendo kabisaaa! Ila kama we ni mbumbumbu huwezi wajua chadema utakshi kupapasa tu
Msikilize aliyekuwa mbunge wenu Shilinde hapa chini kabla ya kuwakimbia

Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata Chadema wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Zimala ondi kuwahili gundu az nzutuwe
 
Ametumia kwa kulipa kwa maana kuna faida imeingia, au ni kwa hisani tu?
 
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata Chadema wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Jamaa ukishashiba matangadasi upo full vibweka.
 
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata Chadema wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Mpumbavu mkubwa kabisa wewe, mpuuzi na mjinga uliyelaaniwa na Mungu, Chadema imeingiaje kwenye Topic ya Rais wa Burundi kutumia ndege ya Tanzania?
Yaani unadhani CCM ndo Tanzania mpuuzi wewe?
 
Donor country wakati Kuna timu imeondolewa mashindanoni kwa kukosa mil 20 ili wakodiahe ndege. Just imagine 20 million shillings leads to disqualification from the tournaments!! ? What a shame to the so called donor country!
Tanzania chini ya CCM ni mkosi mtupu na Balaa
 
Back
Top Bottom