Rais wa Burundi ametumia ndege ya Serikali ya Tanzania kurudi nchini kwao halafu CHADEMA wanadai sisi siyo Donor Country

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,415
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
 
Tatizo lenu Maccm munaangalia vitu vikubwa ambavyo watanzania wengi maskini hawafaidiki navyo sasa unasemea ndege wewe hapo ndege imekusaidia kipi huku ukiangalia Shule Nyingi hazina walimu wa Masomo ya sayansi na wewe hapo una Mtoto anahitaji elimu tena elimu kubwa au huna kizazi mkuu huzaagi?
 
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata Chadema wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!

Uwe una wa Cc:
Unawatag basi hao Chadema humu Mkuu johnthebaptist
 
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata Chadema wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu

Is donating same as borrowing?
 
Donor country wakati Kuna timu imeondolewa mashindanoni kwa kukosa mil 20 ili wakodiahe ndege. Just imagine 20 million shillings leads to disqualification from the tournaments!! ? What a shame to the so called donor country!
Mbona Simba walipelekwa Botswana bwashee.

Hao Biashara uswahili na ujanjaujanja ndio umewaponza.
 
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata Chadema wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Tatizo lako ni dogo tu, Bujibuji akiongea, wewe ndio unajua CHADEMA wameongea. Bujibuji ni muhuni fulani tu huko mtaani kwao, usimchukulie serious ki hivyo.
 
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata Chadema wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Ha ha ha ha

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Burundi kiasili kabisa ni ndugu zetu na marafiki wakubwa . Kinachodhoofisha uhusiano wa kijamii ni baadhi ya wahalifu wa kirundi wanaoingiza silaha nchini na kufanya uhalifu. Lakini wapo wengine wema kabisa ni wachapakazi wanatamani kuja kufanya kazi walau za vibarua bongo. Ukitaka kujua heshima walionayo warundi kwa Tanzania nenda katembelee burundi, wakijua ni mtanzania utapokelewa kifalme kwa ukarimu wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom