Ila watu ambao hawapendwi huwa hawafi. Ila wale wanaopenda anakufa haraka.Safi sana,acha aendelee ku test hivyo hivyo kuna siku itamla kichwa mazima.
Ila watu ambao hawapendwi huwa hawafi. Ila wale wanaopenda anakufa haraka.
Kutokana na comments za watu mitandao mbalimbali baada ya taarifa kama hii. Wengi wamefurahi sana hii inamaanisha "hawampendi". Kwa mtazamo wangu. Ninaweza nisiwe sahihi.Ina maana kuwa rais wa Brazil hapendwi?
Hizo suluhu za kisayansi ndio zipi sasa?
Halafu what is your point? naona unabweka bweka tu
Hifadhi maneno yako!Nyie watu hii kitu ya korona imeonesha uwezo wenu wa kufikiri. Yaani mpaka sasa eti bado mnahangaika na habari za lock down na sijui cufew. Your gvt is very weak. Your people too, very shortsided and dependent minded.
Sometimes huwa nakubaliana na wale wanaosema kuwa mnaitumia korona kujinyong'onyeza kwa mabeberu mpewe misaada. I feel very sad for you tiny minded people. Leo nimesikia eti mmeuscrap mwaka huu wa masomo mpaka 2021. Kwa hiyo come next January ikiwa bado korona itakuwepo mta-i-freeze sekta ya elimu sio!
Kweli majirani tunao. No wonder mnalaumu Brazil kwa kutochukua maamuzi kama ya kwenu mapema.
Lakini nilimuona shujaa sana yule, yaani kuwa na kiongozi kama huyo kunahamasisha ushujaa na uzalendo.
Alikufa?Corona haichagui Kingunge wala kapuku inacheza kote kote. Muulize Boris Johnson ilivyomfanya kazi MAKEKE yake yote yameisha baada ya covid kumchungulisha kaburi.
Nafikiri wataalam wa kwenu walishazitolea maelezo, labda mliwapuuza.