Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi kufanya ziara nchini Tanzania kesho June 10, 2021

Uliiona hiyo 10% wakiweka mfukoni?

Sasa kama wananunua sababu nchi zao zinajitegemea wewe utaanza kujitegemea lini?

Magufuli alinunua hizo ndege ili hela itakayopataikana ndio iende kusomesha watoto, sema kosa lake ni kwamba alikuwa anaongoza taifa la watu wapumbavu ambapo malipo yake ni matusi!

Ngoja sasa tuendelee kutrmbeza mibakuli huku tukijaziwa hela mifukoni

..sijui kwanini mnajidanganya kwamba atcl ni mradi unaoleta faida na kuongeza mapato ya serikali.

..atcl ni KUPE anayenyonya mapato ya serikali kutokana na kupokea ruzuku inayotokana na kodi zetu, na kuendeshwa kwa hasara mwaka hadi mwaka.

..serikali inatembeza bakuli kwasababu ya kufanya matumizi makubwa ktk miradi isiyo na tija kama ununuzi wa midege toka kwa mabeberu.
 
Back
Top Bottom