nelly nashon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 242
- 521
Mambo yako shagharabaghara
sana awamu hii ya tano..
Jitihada zote zilizofanywa na awamu nne zilizo pita naona zikitoweka kwa speed kali sana.
Umasikini umetanda kila kona, pato la mtanzania linashuka kwa speed kali.
Hofu, watanzania tuna hofu sana, tuna ogopa kuhoji kwa hofu ya kufungwa bila dhamana.
Vijana hatuna ajira, hata zile ambazo zilikuwa zikitolewa kwa kipaumbele kwa awamu hii tutasubiri sana.
Demokrasia yetu imetekwa na wenye mamlaka ya juu, hii ni hatari sana.
Uchumi ndo huo, unashuka...hili bado wanapinga, ila ukweli unaonekana..
Hayo ni baadhi tu,
Rais ajae kama atakuwa na dhamira ya kuijenga nchi, atapata wakati mgumu sana kunyoosha haya madudu ya awamu ya tano.
Panic at your own risk'