The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 2,478
- 6,764
Mzuqa wanajamvi!
Kama mnavyojua yanayoendelea Angola sasa hivi ni kuandamwa kwa binti yake Rais mstaafu wa Angola Isabel Dos Santos pamoja na familia ya rais Dos Santos kwa ujumla kwa ufisadi.
Ki ukweli Joao Lourenco rais wa sasa Angola ana maumivu makali sana festledi mke wake alipokuwa Waziri wa mipango enzi za awamu ya Dos Santos na huyu Lourenco alikuwa Waziri wa ulinzi Dos Santos alikuwa akitembea naye sana.
Jamaa ilimuuma kichizi. Kama kuiba Lourenco naye kaiba sana tu na hata sasa anaendelea kuiba chini ya mwavuli wa uzalendo. Festledi kamjia juu rais kwanini anaawaandama sana Isabel na baba yake?
Waangola kwenye JF zao wanamdhihaki festledi anampenda bado dos santos kwasababu ya good time waliyokuwa nayo.
Kuna mgawanyiko mkubwa sana serikalini Luanda na tiss yao. Bado Dos Santos anaungwa mkono na watu wenye nguvu ambao wanadai kama kuiba wote tumeiba.
Licha ya kijana wa Dos Santos kuwa wachumba na binti ya Lourenco bado ti Lourenco amedhamiria kuteketeza kabisa familia ya joao edwardo dos Santos kisa papuchi.
Kinachowashangaza wengi ni jinsi rais Lourenco alivyobadilika ghafla Pah kwasababu aliaminika atawalinda.
Savimbi aliwaonya sana wa Angola na alitabiri yote haya nchi kutafunwa. Wakamuua. Sasa hivi anakumbukwa na wa Angola wengi kama shujaa.
Edwardo dos Santos yuko zake Madrid anakula good time na majopo ya changudoa kwenye swimming pool akila ice-cream. Pia siyo Muangola asili bali asili yake ni Sao Tome and Prinxcipe alikuja Angola akiwa mdogo.
Binti yake Isabel kipenzi chake alizaa namrusi.
Sasa hivi jamvi za JFza Angola zinachanganya kichiz
Senior chie JF International political correspondent
Self declared PhD holder