Rais Vladimir Putin amesema Urusi itaanza kuunda makombora mapya!

Naona umenishambulia sana mimi binafsi hadi ukapoteza mwelekeo mzima wa huu mjadala. Tafadhali usifanye hivyo tena, maana kama na mimi nikikujibu kwa kukushamulia wewe binafsi tunaweza kujikuta tumepoteza maana nzima ya huu mjadala mzuri. Tujibu hoja hata kama hatupendi kuzisikia. Naomba nikutaarifu kabisa kwamba leo sintatumia RT, BBC, CNN wala FOX News katika kukujibu, bali nitakupa tafiti za kitaalamu ambazo zimefanywa na wanazuoni wakubwa tena wale wa nchi za Magharibi. Hebu sasa tuanze kuchambua hoja zako ulizoziwasilisha hapo juu:

Naomba nikubali kwamba nchi ya Marekani ndiyo nchi kubwa sana duniani na yenye uchumi mkubwa kuliko zote ukitumia kiwango cha GDP. Pia Marekani ndiyo nchi yenye bajeti kubwa ya kijeshi kuliko zote ambapo ukichukua bajeti za nchi zote duniani ukaziunganisha hawawezi kufika kwa Marekani. Lakini sasa hoja yako uliyoileta hapa inaonyesha huna ufahamu mkubwa sana na mamcho ya Uchumi, kama ungekuwa nao basi ungekuwa na mtizamo tofauti kabisa: Upande wa pili wa hoja yako ni kwamba unaangalia upande moja wa shilingi bili kujifunza kupitia historia ya mataifa makubwa yaliwahi kutokea hapa duniani kabla ya Marekani.

Hoja ya kuwa na Uchumi mkubwa ni kuwa na jeshi kubwa ni nzito sana lakini siyo timilifu (Not decisive). Mara nyingi Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha Duniani (IMF) huwa zinapima uchumi wa nchi kwa kutumia mbinu kuu mbili: Gross Domestic Product (GDP) au Purchasing Power Parity (PPP). GDP inaonyesha jinsi gani Uchumi wa nchi ulivyo imara kwa kuangalia kiasi cha bidhaa na huduma ambazo zinazalishwa na kutumiwa ndani ya nchi husika mara nyingi ndani ya kipindi cha mwaka. Upande wa pili PPP inatumika kulinganisha nguvu ya fedha ya nchi mbili katika manunuzi ya bidhaa.

Kwenye GDP marekani hakamatwi lakini kwenye PPP wa kwanza ni Uchina. Katika hili tunakuja na kanuni ya kiuchumi iitwayo The BIG MAC INDEX iliyoandaliwa na jarida la The Economist. Ambapo wanasema unchukua dola ya kimarekani halafu ukaweka nchi ya Marekani na Uchina halafu unapima nguvu ya manunuzi. Leo hii ukichukua dola 10 halafu dola tano ukawa nazo kule Beijing na dola tano nyingine ukawa nazo kule Washington: Itakuwa hivi, Washington utanunua Beef Burger mbili, wakati Beijing utanunua Beef Burger tatu kwasababu maisha yako chini. Hii ndiyo PPP na mwaka 2014 IMF iliitangaza Uchina kuwa ndiyo nchi ya kwanza katika PPP hivyo basi GDP ya California kuwa kubwa kuliko Urusi isikudanganye na kusema Urusi ni nchi dhaifu. Hili linatujengea msingi mzuri katika kujibu hoja yako ifuatayo:

Ndiyo vita vinahitaji Uchumi imara, lakini Uchumi mzuri ni ule ambao unazalisha kwa bei ya chini bidhaa ambazo wenzake wanazalisha kwa gharama kubwa. Tukija kwenye PPP na GDP sasa: Marekani ana bajeti kubwa kwasababu Uchumi wake ujo juu na gharama za maisha ziko juu sana. Hivyo rasilimali ni gharama, kodi kubwa, wafanyakazi kuwalipa ni gharama sana ndiyo maana unakuta ana bajeti ya Bilioni 700. Lakini upande wa pili nchi kama Uchina na Urusi wananufaika na PPP, ambapo kama ukimpa Urusi na Marekani bilioni 10, ambapo Marekani atanunu vifaru 300 kutoka viwanda vya nchini kwake basi Urusi kwa bilioni 10 atanunua vifaru 350 vyenye kiwango kilekile nchini kwake. Unajua ni kwanini ?? Gharama za uzalishaji ni ndogo nchini Urusi.
Ndiyo maana Uchina na Urusi wanatengeneza hypersonic missiles ambazo ni Mach 10, unadhani hela wanazitoa wapi ??

Ushahidi wa hili amelisema mtu anaitwa Dr Peter Navarro kwenye vitabu vyake Death by China na The Crouching Tiger. Nadhani utakuwa unamjua vizuri huyu jamaa, yeye ndiye mshauri wa Raisi Donald Trump kwenye mambo ya Biashara na Sera za Viwanda: Kiufupi huyu ndiye mwanzilishi wa trade war baina Trump na Xi. Amekiri kabisa kwamba gharama ndogo za uzalishaji zinawabeba wachina na mataifa mengine.

NB: PPP ndiyo ilimpa Marekani uwezo wa kuwa na nguvu na taifa kubwa ambalo liliweza kuwafanya washinde vita zote za dunia dhidi ya Ujerumani. Kama ulikuwa haufahamu hadi mwaka 1900 Ujerumani ndilo lilikuwa taifa lenye nguvu kuba ya viwanda kuliko hata Uingereza na Marekani. Marekani alikuwa hashindani na Uingereza kwa lolote lile kuanzia nguvu ya sarafu na GDP, lakini Marekani alikuwa ndiyo taifa lenye PPP kubwa duniani tokea mwaka 1872. Huyu anayesema haya ni Proffesor Joseph Nye wa Harvard University.

Mfano mzuri: Ulikuwa ukiwapa Marekani na Uingereza kiasi sawa cha pesa, basi Marekani alikuwa ana uwezo wa kufanya nayo kazi nyingi kuliko Uingereza kwasababu ya maisha yake kuwa chini. Kwenye vita za dunia yeye ndiyo alikuwa anawauzia silaha na aliajiri wanajeshi wengi sana. Sasa ukikimbilia kuangalia GDP, Uingereza alikuwa kamwacha Marekani mbali sanaa, lakini kwa PPP Marekani alikuwa kamuacha Uingereza mbali sana. Hivyo bwana Jay One, Uchumi ni kitu kipana sana na ningezungumzia hapa mambo ya vita kuonesha udhaiufu wa hoja yako lakini sina muda kwasasa.......
mkuu umechambua vzr sana binafsi nmekuelewa uzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa Russia hata haufikii California State, wala Texas, wala New York, yaani ukichukua Russia GDP iko nyuma ya California kwa mbali sana, to make you understand kidogo tu, California alone GDP is twice that of Russia, Dec 2018 GDP.. au Texas au New York zimeipita Russia sana tu kiuchumi..!!

So US is the Super Power if compared to Russia, na hakuna nchi duniani itakuwa na nguvu ya kijeshi kali huku uchumi wake ni dhaifu.. So Russia military is weaker compared to US military due to economy..!! US military budget 2018 was $ 700 bil, while Russia military budget was $ 40 bil..

So just using the common sense, kama ww muelewa utajua kabisa Russia can not ever ever be able to engage in war with US.. Hana military muscles to sustain in the war for months..!! US GDP Dec 2018 $ 22 trillions.. Russian GDP 2018 $ 1.3 trillions

Vita vinahitaji uchumi imara kabisa..!!

Now njoo na data zako za mapenzi kwa Russia bila kuijua kiundani..!! Russia sio kwamba ni dhaifu kwa mataifa mengine, ila unapolinganisha au kutaka kusema anataka kuchuana na US hapo ndipo unajidanganya 100%, hayuko ktk level ya US in every step..!!

US ni kitu kingine kabisa..!! Putin mwenyewe kakiri muda US is only Super Power in the world..!! Ww nani Lumumba sasa? Kwanini unajidanganya hivyo?

Putin says accepts U.S. is sole superpower, dilutes Trump praise | Reuters
Ndyo uchumi unaakisi vpi vita vikianza itakuje kwa nchi yenye uchumi mdogo ilo ni kweli ila kuwa na bajeti kubwa kwenye jeshi c kuwa unauwezo mkubwa sana kivita marekani anahaki ya kutenga bajeti kubwa Yeye ndyo mwenye base katika nchi nyingi duniani wanajeshi wake wametanda katika kila nchi anatumia pesa nyingi kufanya research za silaha na technology ya computer anatumia pesa nyingi kununua taarifa ana maspy wengi wote awo inabidi uwe na pesa ili uwalipe na ili kazi zifanyike na ili ujilinde vizuri Russia hana haja ya kutenga bajeti kubwa maana yeye zaidi ya research za silaha za kivita kulipa spy na wanajeshi na kwenye production hakuna kingine na kingine angalia historia ya nchi katika vita Russia hakuna nchi itakayoweza kumpiga haitakuja kutoke amepigana vita vigumu watu wakajua amepigwa lakini alitusua na kushinda na marekani hawezi thubutu kujaribu ujinga uwoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sana hujui Military wars..!! Go, search and learn..!!
Wewe huna unacho kijua. Kwa taarifa yako nchi kama Urusi siku ukisikia kwamba inaweka Jeshi lake katika kiwango cha juu cha tahadhari basi tegemea huko New york na kwingineko masoko ya hisa kuporomoka vibaya.

Russia anamilii silaha za Atomic tena za masafa marefu na more power full.

Sasa linapo kuja swala la vita hasa vitakavyo husisha Nuclear tegemea maafa makubwa huko USA make mabomu yatakuwa yanatuna New york na Washing ton.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na watu wanshindwa kuelewa kwamba Siku zote na wakati wote sela ya Urusi na kujiandaa kwa vita kubwa nando maana hata Makombola yake ya masafaa marefu ni ya kutupwa kutokea Moscow.

Bomber zake kama TU- 160 zina weza rusha Makombola ya Nuclear kutokea Urusi hadi Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndyo uchumi unaakisi vpi vita vikianza itakuje kwa nchi yenye uchumi mdogo ilo ni kweli ila kuwa na bajeti kubwa kwenye jeshi c kuwa unauwezo mkubwa sana kivita marekani anahaki ya kutenga bajeti kubwa Yeye ndyo mwenye base katika nchi nyingi duniani wanajeshi wake wametanda katika kila nchi anatumia pesa nyingi kufanya research za silaha na technology ya computer anatumia pesa nyingi kununua taarifa ana maspy wengi wote awo inabidi uwe na pesa ili uwalipe na ili kazi zifanyike na ili ujilinde vizuri Russia hana haja ya kutenga bajeti kubwa maana yeye zaidi ya research za silaha za kivita kulipa spy na wanajeshi na kwenye production hakuna kingine na kingine angalia historia ya nchi katika vita Russia hakuna nchi itakayoweza kumpiga haitakuja kutoke amepigana vita vigumu watu wakajua amepigwa lakini alitusua na kushinda na marekani hawezi thubutu kujaribu ujinga uwoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa na Urusi anajua fika Marekani ana Base nyingi sana na Urusi yeye anawekeza mno kwenye Siraha zisizo hitaji base.

Urusi haihitaji Base kwenye vita kubwa na hicho Marekani anakijua fika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na watu wanshindwa kuelewa kwamba Siku zote na wakati wote sela ya Urusi na kujiandaa kwa vita kubwa nando maana hata Makombola yake ya masafaa marefu ni ya kutupwa kutokea Moscow.

Bomber zake kama TU- 160 zina weza rusha Makombola ya Nuclear kutokea Urusi hadi Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo marekani yeye hans bomber za kurusha makombora kutokea new york ama California mbona mnapenda kujitoa ufahamu kiasi hiki jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia ange-concentrate kwenye kujenga uchumi wake uliyo nyuma sio mambo ya kufanya mashindano ya utengenezaji silaha.
Assymetric strategy to beat US extravagant weapon manufacturing industry.
===
Melivita ya mabilioni ya dola inaharibiwa na 'electronic gadget' iliyofungwa kwenye ndege ya tumilioni tuchache twa dola. Kiufupi, Russia anatumia ela kidogo kugharamia research za silaha muhimu sana lakini za bei ndogo.
 
Kwenye "Conventional War" hakuna nchi humu duniani inaweza ikapambana na Marekani, hata mataifa yooote yaungane, atawapiga kwa "Knockout" tena mapema kabisa.

The US has the Battle Hardened Force no any country can match. The country like Russia falls far behind them by 50 solid years, even the Russians know this and that's why their military strategy is always defensive. Only idiots will argue this.
 
Umefika ukaiona hiyo miji?
KAMA WEWE NDIYO UNACHOFANYIWA HICHO ENDELEA MAANA UTAMU WAKE UNAUJUA LAKINI KAA UKIJUA YA KUWA MAREKANI PAMOJA NA NATO KWA PAMOJA WAKIPIGANA NA MRUSI NA KAMA WATATUMIA CONVETIONAL WEAPONS BASI HIYO VITA ITADUMU MIAKA ZAIDI YA 10 NA MSHINDI HAJULIKANI, LAKINI IKITOKEA UNCONVERSIONAL WEAPONS ZIKATUMIKA BASI US WATU 160.0 MIL. WATAAGA DUNIA NA URUSI 5.0 MIL. WATAAGA DUNIA WHY KWA SABABU URUSI NDIYE MWENYE MIJI MINGI ILIYOJENGWA CHINI YA ARDHI KULIKO NCHI YYTE NA HII NI KWA AJILI YA KUJIHAMI VS NUCLEAR EXCHANGE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umenishambulia sana mimi binafsi hadi ukapoteza mwelekeo mzima wa huu mjadala. Tafadhali usifanye hivyo tena, maana kama na mimi nikikujibu kwa kukushamulia wewe binafsi tunaweza kujikuta tumepoteza maana nzima ya huu mjadala mzuri. Tujibu hoja hata kama hatupendi kuzisikia. Naomba nikutaarifu kabisa kwamba leo sintatumia RT, BBC, CNN wala FOX News katika kukujibu, bali nitakupa tafiti za kitaalamu ambazo zimefanywa na wanazuoni wakubwa tena wale wa nchi za Magharibi. Hebu sasa tuanze kuchambua hoja zako ulizoziwasilisha hapo juu:

Naomba nikubali kwamba nchi ya Marekani ndiyo nchi kubwa sana duniani na yenye uchumi mkubwa kuliko zote ukitumia kiwango cha GDP. Pia Marekani ndiyo nchi yenye bajeti kubwa ya kijeshi kuliko zote ambapo ukichukua bajeti za nchi zote duniani ukaziunganisha hawawezi kufika kwa Marekani. Lakini sasa hoja yako uliyoileta hapa inaonyesha huna ufahamu mkubwa sana na mamcho ya Uchumi, kama ungekuwa nao basi ungekuwa na mtizamo tofauti kabisa: Upande wa pili wa hoja yako ni kwamba unaangalia upande moja wa shilingi bili kujifunza kupitia historia ya mataifa makubwa yaliwahi kutokea hapa duniani kabla ya Marekani.

Hoja ya kuwa na Uchumi mkubwa ni kuwa na jeshi kubwa ni nzito sana lakini siyo timilifu (Not decisive). Mara nyingi Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha Duniani (IMF) huwa zinapima uchumi wa nchi kwa kutumia mbinu kuu mbili: Gross Domestic Product (GDP) au Purchasing Power Parity (PPP). GDP inaonyesha jinsi gani Uchumi wa nchi ulivyo imara kwa kuangalia kiasi cha bidhaa na huduma ambazo zinazalishwa na kutumiwa ndani ya nchi husika mara nyingi ndani ya kipindi cha mwaka. Upande wa pili PPP inatumika kulinganisha nguvu ya fedha ya nchi mbili katika manunuzi ya bidhaa.

Kwenye GDP marekani hakamatwi lakini kwenye PPP wa kwanza ni Uchina. Katika hili tunakuja na kanuni ya kiuchumi iitwayo The BIG MAC INDEX iliyoandaliwa na jarida la The Economist. Ambapo wanasema unchukua dola ya kimarekani halafu ukaweka nchi ya Marekani na Uchina halafu unapima nguvu ya manunuzi. Leo hii ukichukua dola 10 halafu dola tano ukawa nazo kule Beijing na dola tano nyingine ukawa nazo kule Washington: Itakuwa hivi, Washington utanunua Beef Burger mbili, wakati Beijing utanunua Beef Burger tatu kwasababu maisha yako chini. Hii ndiyo PPP na mwaka 2014 IMF iliitangaza Uchina kuwa ndiyo nchi ya kwanza katika PPP hivyo basi GDP ya California kuwa kubwa kuliko Urusi isikudanganye na kusema Urusi ni nchi dhaifu. Hili linatujengea msingi mzuri katika kujibu hoja yako ifuatayo:

Ndiyo vita vinahitaji Uchumi imara, lakini Uchumi mzuri ni ule ambao unazalisha kwa bei ya chini bidhaa ambazo wenzake wanazalisha kwa gharama kubwa. Tukija kwenye PPP na GDP sasa: Marekani ana bajeti kubwa kwasababu Uchumi wake ujo juu na gharama za maisha ziko juu sana. Hivyo rasilimali ni gharama, kodi kubwa, wafanyakazi kuwalipa ni gharama sana ndiyo maana unakuta ana bajeti ya Bilioni 700. Lakini upande wa pili nchi kama Uchina na Urusi wananufaika na PPP, ambapo kama ukimpa Urusi na Marekani bilioni 10, ambapo Marekani atanunu vifaru 300 kutoka viwanda vya nchini kwake basi Urusi kwa bilioni 10 atanunua vifaru 350 vyenye kiwango kilekile nchini kwake. Unajua ni kwanini ?? Gharama za uzalishaji ni ndogo nchini Urusi.
Ndiyo maana Uchina na Urusi wanatengeneza hypersonic missiles ambazo ni Mach 10, unadhani hela wanazitoa wapi ??

Ushahidi wa hili amelisema mtu anaitwa Dr Peter Navarro kwenye vitabu vyake Death by China na The Crouching Tiger. Nadhani utakuwa unamjua vizuri huyu jamaa, yeye ndiye mshauri wa Raisi Donald Trump kwenye mambo ya Biashara na Sera za Viwanda: Kiufupi huyu ndiye mwanzilishi wa trade war baina Trump na Xi. Amekiri kabisa kwamba gharama ndogo za uzalishaji zinawabeba wachina na mataifa mengine.

NB: PPP ndiyo ilimpa Marekani uwezo wa kuwa na nguvu na taifa kubwa ambalo liliweza kuwafanya washinde vita zote za dunia dhidi ya Ujerumani. Kama ulikuwa haufahamu hadi mwaka 1900 Ujerumani ndilo lilikuwa taifa lenye nguvu kuba ya viwanda kuliko hata Uingereza na Marekani. Marekani alikuwa hashindani na Uingereza kwa lolote lile kuanzia nguvu ya sarafu na GDP, lakini Marekani alikuwa ndiyo taifa lenye PPP kubwa duniani tokea mwaka 1872. Huyu anayesema haya ni Proffesor Joseph Nye wa Harvard University.

Mfano mzuri: Ulikuwa ukiwapa Marekani na Uingereza kiasi sawa cha pesa, basi Marekani alikuwa ana uwezo wa kufanya nayo kazi nyingi kuliko Uingereza kwasababu ya maisha yake kuwa chini. Kwenye vita za dunia yeye ndiyo alikuwa anawauzia silaha na aliajiri wanajeshi wengi sana. Sasa ukikimbilia kuangalia GDP, Uingereza alikuwa kamwacha Marekani mbali sanaa, lakini kwa PPP Marekani alikuwa kamuacha Uingereza mbali sana. Hivyo bwana Jay One, Uchumi ni kitu kipana sana na ningezungumzia hapa mambo ya vita kuonesha udhaiufu wa hoja yako lakini sina muda kwasasa.......
Niliwahi kukutana na mtu mmoja humu, kwanza alianza kuni attack mimi binafsi badala ya uzi uliopo, pia akawa ananambia nikasome sijui kitu. Ikabidi nikae kimya

Wakaja wajuzi zaidi wakamuelewesha akaanza kusema alikua hajui, nikamuuliza mimi na wewe Nani anatakiwa akasome sasa, hakuwai kujibu

Ili jukwaa ni sehemu nzuri sana ya kujifunza, ila mtu akiweka mapenzi binafsi badala ya uhalisia hawezi pata kitu
 
Uchumi wa Russia hata haufikii California State, wala Texas, wala New York, yaani ukichukua Russia GDP iko nyuma ya California kwa mbali sana, to make you understand kidogo tu, California alone GDP is twice that of Russia, Dec 2018 GDP.. au Texas au New York zimeipita Russia sana tu kiuchumi..!!

So US is the Super Power if compared to Russia, na hakuna nchi duniani itakuwa na nguvu ya kijeshi kali huku uchumi wake ni dhaifu.. So Russia military is weaker compared to US military due to economy..!! US military budget 2018 was $ 700 bil, while Russia military budget was $ 40 bil..

So just using the common sense, kama ww muelewa utajua kabisa Russia can not ever ever be able to engage in war with US.. Hana military muscles to sustain in the war for months..!! US GDP Dec 2018 $ 22 trillions.. Russian GDP 2018 $ 1.3 trillions

Vita vinahitaji uchumi imara kabisa..!!

Now njoo na data zako za mapenzi kwa Russia bila kuijua kiundani..!! Russia sio kwamba ni dhaifu kwa mataifa mengine, ila unapolinganisha au kutaka kusema anataka kuchuana na US hapo ndipo unajidanganya 100%, hayuko ktk level ya US in every step..!!

US ni kitu kingine kabisa..!! Putin mwenyewe kakiri muda US is only Super Power in the world..!! Ww nani Lumumba sasa? Kwanini unajidanganya hivyo?

Putin says accepts U.S. is sole superpower, dilutes Trump praise | Reuters
Kichwa kimejaa mavi unazungumzia uchumi imara au nguvu za kijeshi....Marekani anahangaika na North Korea kila siku wakati north Korea Ina uchumi mbovu kuliko hata Tanzania yako ya jiwe, bila Urussi dunia yote ingetawaliwa na Marekani....god bless Russia state

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa kimejaa mavi unazungumzia uchumi imara au nguvu za kijeshi....Marekani anahangaika na North Korea kila siku wakati north Korea Ina uchumi mbovu kuliko hata Tanzania yako ya jiwe, bila Urussi dunia yote ingetawaliwa na Marekani....god bless Russia state

Sent using Jamii Forums mobile app

Utajuta kuishi sasa hv ukija na lugha za kishenzi kama hz, you look arrogant, utajuta hutaamini huna adabu, pumbaf
 
Definition:

argue
· v. (argues, argued, arguing)
give reasons or cite evidence in support of something.
– ORIGIN ME: from OFr. arguer, from L. argutari ‘prattle’, frequentative of arguere ‘make clear, prove, accuse’.
Source: Concise Oxford Dictionary, Tenth Edition
====
Nina imani ulisoma na kuelewa matumizi yake
Hujaelewa nini sasa hapo.!
 
Back
Top Bottom