maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,345
Nimepiga hesabu zangu na jawabu ninalopata ni kwamba Rais wangu una kura za wajumbe za kutosha, usikubali vya bwelele eti upewe uwenyekiti wa CCM mezani.
Mbona kujipanga ulikojipanga si haba? Mtaji wako wa kura za wajumbe wa mkutano mkuu mpaka sasa unasoma unit nyingi tu, mzee unajua kucheza JK ni cha mtoto.
a. MaRC 26
b. MaDC 139
c. MaDAS wengi wao ni wajumbe wa mkutano mkuu
d. Wabunge wote wa CCM
Ili mradi utumie mbinu ile ile ya Bunge Maalum la Katiba zipigwe kura za dhahiri za kunyoosha mikono, mbonyeze JK ajaribu kuwatisha kidogo wabunge ndiyo vichwa ngumu kwamba hakuna cha kura za siri hao wengine ni mteremko.