Rais ungerudisha bunge live na siyo michezo. Wananchi wengi wamemiss bunge

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Burudani bora inayoleta afya ya ubongo kwa watanzania wengi ni bunge live .

Wananchi wengi wanatamani kuona bunge live, mnyukano wa kimawazo pale bungeni, kuwasikia wabunge wao wakitetea maslahi yao, etc

Kuona bunge live ni moja ya haki ya msingi sana kwa Watanzania, ni miaka 5 sasa hatujasikia wabunge wanajadili nini.

Hata kama siku ni chache, zilizobaki bado tuna nafasi ya kuwasikiliza wabunge wetu.
 
Aisee tuwe wapole tu hadi November 2025 tutakapoanza tena kuona bunge live!
 
๐๐ฎ๐ง๐ ๐ž ๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ฅ๐ข๐ฏ๐ž ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐”๐“๐•(๐š๐ณ๐š๐ฆ) ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐ค๐ฎ๐š๐ง๐ณ๐ข๐š ๐ฌ๐š๐š 8 ๐ฆ๐œ๐ก๐š๐ง๐š

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikifika zamu ya chadema , wanazima
๐๐ฎ๐ง๐ ๐ž ๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ฅ๐ข๐ฏ๐ž ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐”๐“๐•(๐š๐ณ๐š๐ฆ) ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐ค๐ฎ๐š๐ง๐ณ๐ข๐š ๐ฌ๐š๐š 8 ๐ฆ๐œ๐ก๐š๐ง๐š

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Burudani bora inayoleta afya ya ubongo kwa watanzania wengi ni bunge live .

Wananchi wengi wanatamani kuona bunge live, mnyukano wa kimawazo pale bungeni, kuwasikia wabunge wao wakitetea maslahi yao, etc

Kuona bunge live ni moja ya haki ya msingi sana kwa Watanzania, ni miaka 5 sasa hatujasikia wabunge wanajadili nini.

Hata kama siku ni chache, zilizobaki bado tuna nafasi ya kuwasikiliza wabunge wetu.
Mlileta utoto sana tukaona haina haja yakuionyesha jamii utovu wa nidhamu wa hasa wabunge wa chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu sa hivi mnamuomba ka vile kageuka mungu, tunaomba baba jiwe rudisha bunge hahaha wananchi wote ndiyo sababu nchi imefika hapa, sifiasifia zimezidi amejaa kichwa, sasa hivi hakuna kufanya chochote bila kumuomba mtukufu. Niambie utofauti wake na kiongozi wa china au north korea.

Shithole country
 
Burudani bora inayoleta afya ya ubongo kwa watanzania wengi ni bunge live .

Wananchi wengi wanatamani kuona bunge live, mnyukano wa kimawazo pale bungeni, kuwasikia wabunge wao wakitetea maslahi yao, etc

Kuona bunge live ni moja ya haki ya msingi sana kwa Watanzania, ni miaka 5 sasa hatujasikia wabunge wanajadili nini.

Hata kama siku ni chache, zilizobaki bado tuna nafasi ya kuwasikiliza wabunge wetu.
Bunge gani hili hili lenye sabufa mbovu?????!!!! Mana ni bunge lisilo na mvuto kuliko yote niliyowah kuyashuhudia kiufup ni utopolo tu bunge limejaa chuki, wivu, ubabe na itikad zisizo na maana

Its not over until its over...
 
Burudani bora inayoleta afya ya ubongo kwa watanzania wengi ni bunge live .

Wananchi wengi wanatamani kuona bunge live, mnyukano wa kimawazo pale bungeni, kuwasikia wabunge wao wakitetea maslahi yao, etc

Kuona bunge live ni moja ya haki ya msingi sana kwa Watanzania, ni miaka 5 sasa hatujasikia wabunge wanajadili nini.

Hata kama siku ni chache, zilizobaki bado tuna nafasi ya kuwasikiliza wabunge wetu.

Too late
 
Back
Top Bottom